Swali hili hii ni kwa wasomi wa na wabobezi wa dini ya Kikristo na sio washabiki

Swali hili hii ni kwa wasomi wa na wabobezi wa dini ya Kikristo na sio washabiki

Umhimu wa Kujua Historia

Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
  • Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili wa maisha na maendeleo ya kijamii.
Hapa kuna orodha ya manabii waliotajwa katika Agano la Kale na Qur'an, pamoja na maeneo ambapo walizaliwa
Manabii Katika Agano la Kale:
  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Bethlehemu, Israeli
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
  5. Nabii Isaya (Isaiah)
    • Nchi: Palestina
  6. Nabii Yeremia (Jeremiah)
    • Nchi: (inayokaliwa na, Israeli)
  7. Nabii Ezekieli (Ezekiel)
    • Nchi Palestina(inayokaliwa na, Israeli)

Manabii Katika Qur'an:

  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq) na Kanaani (sasa sehemu ya Israeli na Palestina)

    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  5. Nabii Isa (Jesus)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  6. Nabii Muhammad ﷺ
    • Nchi: Arabia (sasa Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Makka, Saudi Arabia
  7. Nabii Yunus (Jonah)
    • Nchi: Ninawi (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Ninawi, Iraq
  8. Nabii Hud (Heber)
    • Nchi: Arabia (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Aadil, Saudi Arabia
  9. Nabii Salih (Methuselah)
    • Nchi: Thamud (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Thamud, Saudi Arabia
Katika waislam misikiti mikuu 3
Msikiti wa Al-Haram (Masjid al-Haram)- Mahali: Makkah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Masjid an-Nabawi (Masjid al-Nabawi)- Mahali: Madinah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Aqsa (Masjid al-Aqsa)-Mahali: Yerusalemu, Palestina

WAKIRISTO MAKANISA MAKUU
Kanisa la Mtakatifu Petro (St. Peter's Basilica) -Mahali: Vatican City, Roma, Italia
Kanisa la Mitume watatu (Trinity Church)- Mahali: Boston, Massachusetts, Marekani
Kanisa la Hagia Sophia (Aya Sofya)- Mahali: Istanbul, Uturuki
Kanisa la Westminster (Westminster Abbey)- Mahali: London, Uingereza
Kanisa la Martin Luther (Lutherkirche)-Mahali: Wittenberg, Ujerumani

KWANINI MAKANISA MAKU YAPO ULAYA? NA SIO MASHARIKI YA KATI?
Mashariki ya kati bado hawana imani hata leo
 
Alafu wanavowachukia waarabu sasa utazani mitume na manabii walikua wazungu
 
Canaan na Egypt hazikuwa nchi za Kiarabu wakati wa Roman Empire. Pia Mythologies za maeneo yote hayo matatu ni tofauti sana. Mythologies za Wamisri ni tofauti sana na za Mesopotamia, Wa-Israeli pia hata wa Mwanzo hawakuwa Waarabu, hiyo Mesopotamia yenyewe lilikuwa ni eneo pana sana lilikowa na jamii nyingi zaidi ya Waarabu (Iran, Turkey, Syria, Kuwait na Iraq )
Unapotaka kujifunza kitu unatakiwa kuwa open minded..

Usilazimishe vitu ambavyo unataka kuamini wewe. Mara
useme Romans awakufika M.E enzi hizo sasa how did the same Romans persecute Jesus kama hawakufika middle east .

Where is Turkey main resident ya Constantine? Kama Romans awakufika maeneo ya dini.

Mada Inasema inataka scientific arguments, wewe unaleta hadithi za blind support na kulazimisha facts unazotaka wewe. Maeneo ya waarabu unalazimizha yalikuwa na wazungu.

Anyway imani ni swala la mtu, mimi nilikuwa nachangamsha baraza tu.

Good morning 👋
 
إِنَّ اللَّهَ يُحِبُّ الَّذِينَ يُقَاتِلُونَ فِي سَبِيلِهِ صَفًّا كَأَنَّهُم بُنْيَانٌ مَّرْصُوصٌ

(ASS'AF - 4)
Kwa hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wanao pigana katika Njia yake kwa safu kama jengo lilio kamatana.
 
Unapotaka kujifunza kitu unatakiwa kuwa open minded..

Usilazimishe vitu ambavyo unataka kuamini wewe. Mara
useme Romans awakufika M.E enzi hizo sasa how did the same Romans persecute Jesus kama hawakufika middle east .

Where is Turkey main resident ya Constantine? Kama Romans awakufika maeneo ya dini.

Mada Inasema inataka scientific arguments, wewe unaleta hadithi za blind support na kulazimisha facts unazotaka wewe. Maeneo ya waarabu unalazimizha yalikuwa na wazungu.

Anyway imani ni swala la mtu, mimi nilikuwa nachangamsha baraza tu.

Good morning 👋
Wewe ndiye unatakiwa kujifunza na kutokulazimisha ujinga wako wa kutokujua Historia. Kwanza ujue kutofatutisha kati ye Middle East(M.E) na Uarabuni, Middle East sio eneo la Waarabu peke yao, Ukifika Israel, Uturuki, Cyprus au Iran hujafika nchi za Kiarabu. Misri ya Pharaoh na ya wakati wa utawala wa Warumi pia haikuwa nchi ya Kiarabu. Eneo kutokuwa la Waarabu haina maana lilikuwa la wazungu, Majority ya Wa-Iran ni Persians, Majority ya Waturuki ni Turkish na Kurds, usiwe na kichwa kigumu kama nazi kuelewa.
 
Wekeni vitu, Wekeni vitu ndugu zetu katika bwana na ndugu zetu waislam 😃😃
 
Umhimu wa Kujua Historia

Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
  • Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili wa maisha na maendeleo ya kijamii.
Hapa kuna orodha ya manabii waliotajwa katika Agano la Kale na Qur'an, pamoja na maeneo ambapo walizaliwa
Manabii Katika Agano la Kale:
  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Bethlehemu, Israeli
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
  5. Nabii Isaya (Isaiah)
    • Nchi: Palestina
  6. Nabii Yeremia (Jeremiah)
    • Nchi: (inayokaliwa na, Israeli)
  7. Nabii Ezekieli (Ezekiel)
    • Nchi Palestina(inayokaliwa na, Israeli)

Manabii Katika Qur'an:

  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq) na Kanaani (sasa sehemu ya Israeli na Palestina)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  5. Nabii Isa (Jesus)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  6. Nabii Muhammad ﷺ
    • Nchi: Arabia (sasa Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Makka, Saudi Arabia
  7. Nabii Yunus (Jonah)
    • Nchi: Ninawi (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Ninawi, Iraq
  8. Nabii Hud (Heber)
    • Nchi: Arabia (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Aadil, Saudi Arabia
  9. Nabii Salih (Methuselah)
    • Nchi: Thamud (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Thamud, Saudi Arabia
Katika waislam misikiti mikuu 3
Msikiti wa Al-Haram (Masjid al-Haram)- Mahali: Makkah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Masjid an-Nabawi (Masjid al-Nabawi)- Mahali: Madinah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Aqsa (Masjid al-Aqsa)-Mahali: Yerusalemu, Palestina

WAKIRISTO MAKANISA MAKUU
Kanisa la Mtakatifu Petro (St. Peter's Basilica) -Mahali: Vatican City, Roma, Italia
Kanisa la Mitume watatu (Trinity Church)- Mahali: Boston, Massachusetts, Marekani
Kanisa la Hagia Sophia (Aya Sofya)- Mahali: Istanbul, Uturuki
Kanisa la Westminster (Westminster Abbey)- Mahali: London, Uingereza
Kanisa la Martin Luther (Lutherkirche)-Mahali: Wittenberg, Ujerumani

KWANINI MAKANISA MAKU YAPO ULAYA? NA SIO MASHARIKI YA KATI?
Kanisa ni mtu sio jengo mkuu. Jielimishe. Huko ulaya yapo makanisa mengi kwasasa ni misikiti au club za starehe. Mungu haji kwenye jengo anakuja ndani yako na Mungu unazungumza nae kupitia maandiko. Pale unaposema ni kanisa ni kusanyiko la waumin sio kanisa. Ndio maana cku ya hukumu kinachosomwa ni Biblia na wewe ulichotenda sio kanisa ulilotoka.
 
MAISHA YA MTUME

Maisha ya Mtume Muhammad (SAW) yana umuhimu mkubwa si tu kwa Waislamu bali pia kwa wasomi na watu wa dini nyingine kwa sababu ya mchango wake katika historia, maadili, na utamaduni. Hapa kuna muhtasari wa maisha yake kwa wasio Waislamu na wasomi:

1. Maisha ya Mtume

2. Kipindi cha Utume

  • Kupokea Wahyi: Mnamo mwaka 610 BK, alipopokea wahyi kutoka kwa Malaika Jibril (Gabriel) akiwa peke yake katika pango la Hira. Wahyi huu ulianzisha Uislamu.

Kumbe baada ya kupokea WAHYI ndio Uislamu ukaanza?
Kwamba kabla ya ilo tukio hakukuwa na Uislam!!
Asante sana kwa kusema ukweli huu
Wenzio wa Kisiju wanasema ata Adam alikua Muislam.
 
Umhimu wa Kujua Historia

Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
  • Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili wa maisha na maendeleo ya kijamii.
Hapa kuna orodha ya manabii waliotajwa katika Agano la Kale na Qur'an, pamoja na maeneo ambapo walizaliwa
Manabii Katika Agano la Kale:
  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Bethlehemu, Israeli
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
  5. Nabii Isaya (Isaiah)
    • Nchi: Palestina
  6. Nabii Yeremia (Jeremiah)
    • Nchi: (inayokaliwa na, Israeli)
  7. Nabii Ezekieli (Ezekiel)
    • Nchi Palestina(inayokaliwa na, Israeli)

Manabii Katika Qur'an:

  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq) na Kanaani (sasa sehemu ya Israeli na Palestina)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  5. Nabii Isa (Jesus)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  6. Nabii Muhammad ﷺ
    • Nchi: Arabia (sasa Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Makka, Saudi Arabia
  7. Nabii Yunus (Jonah)
    • Nchi: Ninawi (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Ninawi, Iraq
  8. Nabii Hud (Heber)
    • Nchi: Arabia (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Aadil, Saudi Arabia
  9. Nabii Salih (Methuselah)
    • Nchi: Thamud (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Thamud, Saudi Arabia
Katika waislam misikiti mikuu 3
Msikiti wa Al-Haram (Masjid al-Haram)- Mahali: Makkah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Masjid an-Nabawi (Masjid al-Nabawi)- Mahali: Madinah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Aqsa (Masjid al-Aqsa)-Mahali: Yerusalemu, Palestina

WAKIRISTO MAKANISA MAKUU
Kanisa la Mtakatifu Petro (St. Peter's Basilica) -Mahali: Vatican City, Roma, Italia
Kanisa la Mitume watatu (Trinity Church)- Mahali: Boston, Massachusetts, Marekani
Kanisa la Hagia Sophia (Aya Sofya)- Mahali: Istanbul, Uturuki
Kanisa la Westminster (Westminster Abbey)- Mahali: London, Uingereza
Kanisa la Martin Luther (Lutherkirche)-Mahali: Wittenberg, Ujerumani

KWANINI MAKANISA MAKU YAPO ULAYA? NA SIO MASHARIKI YA KATI?
Usifuatilie mambo yasiyokuhusu
Halafu unaishi kwa kukaririshwa kwamba ukristo ni RC, KKKT na Anglican
Wakristo tumegawanyika sana
Mfano kanisa kuu la mwamposa lipo kawe.....ufufuo na uzima ubungo.....mzee wa upako riverside
Kwa hiyo hilo swali lako waulize walengwa wa hayo madhehebu walokole hatuhusiki hapo 😁😁
 
HALAFU MBONA UNACOPY NA KUPASTE

MUHAMMAD ALIKUWA NABII BANDIA, HAKUWA MUISLAM, HAKUFUATA MILA, DESTURI NA SHERIA ZA KIISLAM​

Hebu tuanze moja kwa moja kwa ushahidi kuhusu huyu Mtume wa Allah aliyeitwa Muhammad.
Ningependa mfahamu kuwa, Mohammad s.a.w hajawahi kuwa Muislamu japo aliwaongoza Waislamu.
Kwa sababu: alikuwa na wake wengi (Quran 33:50) huku Waislamu wakitakiwa kuwa na wake 4 tu (Quran 4:3).
Alipokufa hakukamuliwa Ngama (kinyesi), huku Waislamu leo wanapokufa hukamuliwa Ngama (kinyesi).
Alipokufa aliagwa siku tatu huku Waislamu leo wanafichwa kama madawa ya kulevya wala hakuna kuagwa.
Aliamuru watu wapigane ndani ya mfungo wa ramadhani huku Qurani ikikataza vita yoyote katika mwezi mtukufu (9:5).
Alikuwa hajui kuandika wala kusoma (7:157) huku Waislamu leo wakiwa wanajua kusoma na kuandika.
Je huyu bado ni Muislamu?
Poleni sana Waislamu kwa kufuata Nabii Bandia.
Lakini Mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu na hawakufanya huo uchawi wa Allah aka Jibril aka Muhammad incarnate.
1. Musa anoangea na Mungu: Kutoka 3:1-21. Muhammad hakuwai ongea na aliye mtuma.
2. Elia anaongea na Mungu: 1 Wafalme 19- Soma yote. Muhammad hakuwai ongea na aliye mtuma.
3. Paulo anaongea na Mungu: Matendo ya Mitume 18:9. Muhammad hakuwai ongea na aliye mtuma.
Hiyo ni mifano michache kutoka Biblia ina thibitisha sifa za kitume au Mtume.
MAANA YA NENO/JINA "MTUME"
Neno “mtume” lamaanisha mwanafunzi au mfuasi. Neno “mtume” la maanisha “mtu aliyetumwa”
SASA BASI, hakuna aya hata Moja katika Quran inayosema kuwa Muhammad aliwai ongea na Allah aliye mmpa Utume. Hivyobasi, huu utume wa Muhammad alipewa na nani? Maana Allah hakuwai mpa utume.
Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Allah, kwanini hakufuata mila za Kiislamu?
 
umesoma au umekurupuka hebu kasome tena maana mm n imenakili tu
Sikusoma sana nilipo hona tu kuwa uislamu ndiyo utamwingiza mtu peponi moja kwa moja nikajua ni wale wapumbavu wa dini ile wanao toaga hiyo kauli ya kipumbavu hivyo moja kwa moja nikashusha nondo ...kumbe na wewe ulikuwa umenukuu upumbavu wa hiyo kauli
 
Kumbe baada ya kupokea WAHYI ndio Uislamu ukaanza?
Kwamba kabla ya ilo tukio hakukuwa na Uislam!!
Asante sana kwa kusema ukweli huu
Wenzio wa Kisiju wanasema ata Adam alikua Muislam.
🤣🤣🤣🤣
 
Ukiuan

Ukiuangalia Uislam katika mafundisho yake halisia, siyo yaliyochakachuliwa, unafanana na ukristo zaidi ya 80%. Hili lilitokeaje? Ukristo ulikuwepo kabla ya Uislama. Yawezekana aliyeuanzisha Uislam aliamua kuchukua mambo mengi kutoka kwenye ukristo.

Mtume Mohammad anasema kuwa Yeye ni mfuasi namba moja wa Issah bin Mariam (maana yake Yesu Kristo), lakini waislam wengi huwezi kuwasikia wakiuhubiri ujumne wa Yesu, ambaye Mtume Mohammad amesema ni mfuasi wake namba moja. Na siku zote, mfuasi hawezi kuwa mkuu kuliko Bwana wake.

Mfanano:

Wakristo na Waislam, wote wanakiri kuwa kuzaliwa kwa Madiha Yesu kulikuwa kwa njia ya muujiza.

2) Waislam na Wakristo, wote wanaamini kuwa Masiha Yesu, atarudi tena

3) Wote, waislam na wakristo wanasema Yesu Kristo alipaa mbinguni Mwili na Roho.

4) Wote wanaamini kuna Mungu mmoja (waislam hawaamini juu ya utatu mtakatifu).

5) Wote wanasema Yesu Kristo ndite pekee aliyefufua wafu, kuwaponya wagonja, kuwaponya vilema, na miujiza mingi.

Tofauti kubwa:
Waislam hawaamini kama Yesu ni nafsi ya Mungu iliyojifanya mwanadamu ili kuwafikia wanadamu na kuwafundisha juu ya mpango wa Mungu.

Tofauti nyingi kubwa, wakristo wanaamini zaidi katika msamaha, upendo hata kwa adui, wakati waislam wanaamini sana katika kisasi, na ndiyo maana vita na mauji hayaishi Mashariki ya kati.

Lakini kiuhalisia ukristo ulistahili kuwa karibu zaidi na Uislam kuliko Uyahudi. Lakini kutokana na baadhi ya mafundisho ya kikatili kwenye uislam, yamefanya ukristo uonekane kuwa mbali sana na Uislam. Msingi mkubwa wa ukristo ni upendo, ukatili na kisasi ni kinyume kabisa cha upendo.
Mkuu n pm kuna jambo nataka unisaidie kufafanua 🙏
 
Umhimu wa Kujua Historia

Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
  • Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili wa maisha na maendeleo ya kijamii.
Hapa kuna orodha ya manabii waliotajwa katika Agano la Kale na Qur'an, pamoja na maeneo ambapo walizaliwa
Manabii Katika Agano la Kale:
  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Bethlehemu, Israeli
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
  5. Nabii Isaya (Isaiah)
    • Nchi: Palestina
  6. Nabii Yeremia (Jeremiah)
    • Nchi: (inayokaliwa na, Israeli)
  7. Nabii Ezekieli (Ezekiel)
    • Nchi Palestina(inayokaliwa na, Israeli)

Manabii Katika Qur'an:

  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq) na Kanaani (sasa sehemu ya Israeli na Palestina)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  5. Nabii Isa (Jesus)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  6. Nabii Muhammad ﷺ
    • Nchi: Arabia (sasa Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Makka, Saudi Arabia
  7. Nabii Yunus (Jonah)
    • Nchi: Ninawi (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Ninawi, Iraq
  8. Nabii Hud (Heber)
    • Nchi: Arabia (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Aadil, Saudi Arabia
  9. Nabii Salih (Methuselah)
    • Nchi: Thamud (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Thamud, Saudi Arabia
Katika waislam misikiti mikuu 3
Msikiti wa Al-Haram (Masjid al-Haram)- Mahali: Makkah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Masjid an-Nabawi (Masjid al-Nabawi)- Mahali: Madinah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Aqsa (Masjid al-Aqsa)-Mahali: Yerusalemu, Palestina

WAKIRISTO MAKANISA MAKUU
Kanisa la Mtakatifu Petro (St. Peter's Basilica) -Mahali: Vatican City, Roma, Italia
Kanisa la Mitume watatu (Trinity Church)- Mahali: Boston, Massachusetts, Marekani
Kanisa la Hagia Sophia (Aya Sofya)- Mahali: Istanbul, Uturuki
Kanisa la Westminster (Westminster Abbey)- Mahali: London, Uingereza
Kanisa la Martin Luther (Lutherkirche)-Mahali: Wittenberg, Ujerumani

KWANINI MAKANISA MAKU YAPO ULAYA? NA SIO MASHARIKI YA KATI?
Mimi sio mbobezi wa mambo ya dini ila kuna mengi ya kukusaidia, hayo uliyotaja ni maeneo/makanisa muhimu kihistoria kwa baadhi ya madhehebu ila hayana nafasi yoyote ya upekee kiibada ndani ya mkristo.

Yohana 4:20, 21, 23
Yesu akamwambia, Mama, unisadiki, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala kule Yerusalemu.

Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.

Mungu anataka watu wamwabudu katika roho na kweli, maana yake ili umwabudu Mungu sawa sawa ni lazima uikubali kweli ya Mungu na una mahusiano naye kama Baba yako na uiachilie roho iliyo ndani yako kumpa Mungu sifa na utukufu anaostahili.

Hii haihitaji kuyajua hayo makanisa makubwa/muhimu katika madhehebu ya kikristo, popote ulipo Mungu aweza kuitikia ibada yako.

Matendo 10:35, 36
Petro akafumbua kinywa chake, akasema, Hakika natambua ya kuwa Mungu hana upendeleo;
bali katika kila taifa mtu amchaye na kutenda haki hukubaliwa na yeye.
 
Ukristo ulizaliwa mashariki yakati ukaenezwa na wazungu,kumbuka kipindi hicho Roman Empire ilikuwa inatawala dunia,hata nashariki ya kati ilikuwa chini ya Roman Empire.
Ni kama Tanganyika ilivyokuwa koloni la waingereza na leo tunaongea kiingereza,mitume hasa Paul alifanya kazi kubwa kueneza ukristo,kipindi hicho dini ya ukristo ilifunganamishwa na serikali ya kirumi

Yesu hakuwa mkristo,alizaliwa jatika familia ya Jews

Dini ya kikristo ilianza baadae baada ya Yesu kufa
Hili la tanganyika na kuongea kingereza sijui ndio kizungu umetupiga mzee
Mkoa gani huo katika hio nchi wanaongea kizungu?
 
Mkuu unaruka swali Kama Jesus kazaliwa Israel au Palestine kwanini makanisa makuu yapo mbali na asili ya ukristo.

Nipo kujifunza
Pamoja na kuwa dini zote ni utapeli lakini hapa ndipo most of the Christians do their pilgrimage, ndilo kanisa lililo center yao kiimani bila ya kuangalia denominations zao na utafauti wake.
Screenshot_20241204-223828.jpg
Screenshot_20241204-223920.jpg
 
Msingi wa Abrahamic religions ni tales za waarabu (waliokuwa wanaishi Middle East).

Na story zenyewe hasa za old testament overtime zikawa zinaongezewa chumvi na wasimuliaji.

Wakati Constantine anaenda huko alikuta watu wanaofuata hizo mythology kila mtu mtaa unafanya ibada kwa mtindo wake na kuna variation ya story zile zile.

Kwenye.kufanya mobilisation ya story kuandika vitabu kila mtu akachagua version ya story inayomfaa kuandika kitabu chake na mtindo wake wa kufanya ibada.

Lakini imani ya dini mmoja wa mbinguni na story za dini ya Abraham (Jews, Christian na Islam) uhalisia wake ni mythologies za waarabu kuanzia kwa Adam and Eve.

Wazungu walichukua tu kuona inafaa kwa propaganda zao. Lakini awali hakukuwa na Jew, Mkristo na Muislamu (zaidi ya waarabu) ndio wenye mythology yao.

Wengine ni importers tu wa dini.

Hakuna archeological evidence ya ‘old testament’ mpaka leo ni mythology tu za waarabu.
Ni mythology za Waarabu au watu wa middle east(Arabs, Persians and Jews) kwa ujumla wao ndiyo maana kukawa na versions tofauti tofauti lakini inaonekana source ni moja(yaani story yote ilikuwa crafted na mtu mmoja au kundi moja).
Ukiangalia wote Adam & Eve ndiyo mwanzo wa story zao na story akaanza kuwa tofauti somehow kadri inavyoendelea meaning it's either understanding au kwenye translations au wajanja wengine walibadili au kuongeza au kupunguza just to suit their requirements or their wishes.
Kuamini hizi story za Adam & Eve , Jesus, Muhammad lazima uwe umejitoa ufahamu.
These goons are so brainwashed yaani hauwaambii kitu kuhusu imani zao, ukiwauliza proofs ziko wapi watakwambia maandiko yaliyoko kwenye vitabu vyao vya dini ndiyo proofs. Stories zilizotungwa na kuandikwa some will tell you kwamba zimeshushwa, so pathetic.
 
Makanisa Makui unamaanisha majengo au unamaanisha nini?
 
Kiongozi ndio maana msingi wa Abrahamic religions zikaitwa tales za Middle East.

Utaratibu wa tales (kwa watu waliosoma literature au history) over time versions zake uwa zinabadilika kutokana na chumvi za waadithiaji.

Hadi huyo Constantine anaanzisha dini yake kwa misingi ya tales za Middle East aliwakuta wenyeji wana version kibao za story hizo hizo na kila mtu anafanya ibada kwa mtindo wake kwa maandishi hayo hayo.

Tofauti ya Jews, Christianity na Islam ni story walizoamua kurasimisha kwenye vitabu vyao na mtindo wa kufanya ibada.

Jews na Islam msingi wake ni Middle East people ndio maana wanafanana sana (tofauti na wakirsto wasiolewa dini), tamaduni za Jews zinafanana na Islam, kuliko Christianity.

Mambo mengine ni kuwaachia tu mijadala yao, la msingi ni kupata Magufuli 2.0 wa kuwanyoosha watanzania kwa utaratibu mwingine huko kwenye dini waamini wanachotaka.
 
Back
Top Bottom