Swali hili hii ni kwa wasomi wa na wabobezi wa dini ya Kikristo na sio washabiki

Msingi wa Abrahamic religions ni tales za waarabu (waliokuwa wanaishi Middle East).

Na story zenyewe hasa za old testament overtime zikawa zinaongezewa chumvi na wasimuliaji.

Wakati Constantine anaenda huko alikuta watu wanaofuata hizo mythology kila mtu mtaa unafanya ibada kwa mtindo wake na kuna variation ya story zile zile.

Kwenye.kufanya mobilisation ya story kuandika vitabu kila mtu akachagua version ya story inayomfaa kuandika kitabu chake na mtindo wake wa kufanya ibada.

Lakini imani ya dini mmoja wa mbinguni na story za dini ya Abraham (Jews, Christian na Islam) uhalisia wake ni mythologies za waarabu kuanzia kwa Adam and Eve.

Wazungu walichukua tu kuona inafaa kwa propaganda zao. Lakini awali hakukuwa na Jew, Mkristo na Muislamu (zaidi ya waarabu) ndio wenye mythology yao.

Wengine ni importers tu wa dini.

Hakuna archeological evidence ya ‘old testament’ mpaka leo ni mythology tu za waarabu.
 
iTAKUW APADRI WA KANISA X UNAHUBIRI KANISANI ILI WAJE KWAKO ULE SADAKA ZA KUTSOHA. LKN ULICHOKIKOPY NA KUPASTE HUKIJUI

AISHA ANASEMA MUHAMMAD NABII WA ALLAH ALIKUWA AMEROGWA​

Muhammad Aliwahi Kurogwa (Kwa Apizo, ‘Under a Spell’)
" ‘Aisha anasimulia: Nabii alifanyiwa uchawi hata akaanza kudhani kuwa anafanya kitu fulani wakati hakuwa anafanya. Siku moja alimwomba (Allah) kwa muda mrefu sana kisha akasema, ‘Naona kuwa Allah amenipa mwongozo wa namna ya kujitibu mwenyewe.’..." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 10 na.490 uk.317.
Tazama pia juzuu ya 4 kitabu cha 53 (Wajibu wa Khumus) sura ya 34 na.400 uk.267, juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.56-57, juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266-267. Juzuu ya 7 na.658-660 uk.441-443.
Pia tazama Muislam Sahihi juzuu ya 2 kitabu cha 4 (Kitabu cha Sala) sura ya 309 na.1888 uk.411
Muhammad alilogwa. Alisimulia ‘Aisha: Nabii aliendelea kwa kipindi fulani akidhania kuwa anafanya tendo la ndoa na mke wake, lakini haikuwa hivyo. Siku moja alisema kwangu, "O ‘Aisha! Mungu ameniagiza kuhusiana na suala nililomuuliza. Watu wawili walikuja, mmoja alikaa karibu na miguu yangu na mwingine karibu na kichwa changu. Yule aliyekuwa karibu na miguu yangu alimuuliza yule wa karibu na kichwa changu (akininyooshea kidole), ‘Mtu huyu ana shida gani? Yule mwingine akamjibu, ‘Ameathirika na uchawi. Yule wa kwanza akauliza, ‘Ni nani aliyemfanyia uchawi?’ Yule mwingine akajibu, ‘Lubaid bin A’sam." Yule wa kwanza akauliza, ‘(Alitumia) nyenzo gani?.’ Yule mwingine alijibu ‘Ngozi ya chavua ya mtende wa kiume na chanio lililowekwa nywele, na kuwekwa chini ya jiwe kwenye bwawa la Dharwan.’" Kisha Nabii alikwenda kwenye bwawa lile na kusema, "Hili ndilo bwawa lilelile nililoonyeshwa kwenye ndoto. Ncha za mitende yake inaonekana kama vichwa vya mashetani, na maji yake yanaonekana kama mchanganyiko wa hina."… ‘Aisha aliongeza, "(Mchawi) Lubaid bin A’sam alikuwa anatokea Bani Zuraiq, mshirika wa Wayahudi." Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.57. Tazama pia Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266
1. Kwanini tumfuate Muhammad aliye rogwa?
2. Hivi kuna Mtume au Nabii yeyote yule kwenye Biblia na yeye alirogwa?
3. Kwanini Allah alishindwa kumlinda Mtume wake kutoka nguvu za kurogwa?
4. Hivi wapi tunasoma kuwa Muhammad alifanyiwa maombi na urogi ukamtoka?
Hakuna ushahid wowote ule ambao unasema kuwa Muhammad aliombewa na kutokwa huo uchawi. Huu ni msiba kwa Nabii wa Allah kufa huku akiwa amefanyiwa urogi.
Ndugu msomaji,
 
MAISHA YA MTUME

Maisha ya Mtume Muhammad (SAW) yana umuhimu mkubwa si tu kwa Waislamu bali pia kwa wasomi na watu wa dini nyingine kwa sababu ya mchango wake katika historia, maadili, na utamaduni. Hapa kuna muhtasari wa maisha yake kwa wasio Waislamu na wasomi:

1. Maisha ya Mapema

  • Kuzaliwa: Mtume Muhammad alizaliwa mwaka 570 BK mjini Makkah, katika kabila la Quraysh. Alipokea elimu ya msingi kutoka kwa familia yake na alikua katika mazingira ya biashara.
  • Kujulikana kwa Uaminifu: Kabla ya kupokea wahyi, alijulikana kwa sifa zake za ukweli, uaminifu, na uadilifu. Alipewa jina la "Al-Amin" (Mtu Mwaminifu).

2. Kipindi cha Utume

  • Kupokea Wahyi: Mnamo mwaka 610 BK, alipopokea wahyi kutoka kwa Malaika Jibril (Gabriel) akiwa peke yake katika pango la Hira. Wahyi huu ulianzisha Uislamu.
  • Mchango wa Kidini: Alihubiri kwa siri kwa miaka mitatu kabla ya kufanya hadharani, akitangaza kwamba kuna Mungu mmoja, na akasisitiza haki, usawa, na upendo kwa wote. Hali hii ilipokelewa kwa upinzani mkubwa kutoka kwa viongozi wa kabila la Quraysh.
  • Hijra: Mnamo mwaka 622 BK, alihama kutoka Makkah kwenda Madinah (Hijra), tukio lililoashiria mwanzo wa kalenda ya Kiislamu.

3. Utawala na Maendeleo

  • Uongozi: Katika Madinah, alianzisha jamii ya Kiislamu yenye usawa na haki. Alikuwa mweledi katika usimamizi wa jamii, akipatia mafundisho na kanuni zinazowezesha umoja na usalama.
  • Mkataba wa Madinah: Aliunda makubaliano ya kisiasa na kijamii kwa makabila ya Madinah, yakilenga kuleta amani na ushirikiano.

4. Mchango kwa Jamii

  • Mafundisho: Mafundisho ya Mtume Muhammad kuhusu haki za binadamu, usawa, na maadili yanachangia sana katika utamaduni na sheria za dunia. Mchango wake katika elimu, biashara, na utawala unaendelea kuwa na athari kubwa.
  • Madhumuni ya Kidini: Uislamu unaelezea mapenzi ya Mungu, huruma, na umoja wa binadamu, na haya yanaweza kupokelewa kwa njia ya kihistoria, kidini, na kimaadili.

5. Athari kwa Historia na Utamaduni

  • Athari za Kimataifa: Mtume Muhammad ni miongoni mwa watu wenye athari kubwa zaidi katika historia, na mafundisho yake yanaendelea kuathiri maisha ya watu kote duniani. Utamaduni, sanaa, na siasa zimejaa alama za mafundisho yake.
  • Mchango wa Kihistoria: Maisha yake yanachangia tafsiri ya uongozi, haki, na amani kwa jamii.
Kwa wasomi na watu wa dini nyingine, maisha ya Mtume Muhammad ni kipande muhimu cha historia na utamaduni ambao unastahili kujadiliwa na kueleweka kwa upana

Swala la kukojoa huku amechuchumaa ntawasaidia wakataa mbuzi katoliki....jaribu kukojoa uku umechuchumaa,,lazima mikojo yote itokee bila kubaki hata kidogo...hii utaleta majibu mwenyewe...

mtume kama binaadamu wengine, hakuwa malaika
 
Msingi wa Abrahamic religions ni tales za waarabu (waliokuwa wanaishi Middle East).

Na story zenyewe hasa za old testament overtime zikawa zinaongezewa chumvi na wasimuliaji.

Wakati Constantine anaenda huko alikuta watu wanaofuata hizo mythology kila mtu mtaa unafanya ibada kwa mtindo wake na kuna variation ya story zile zile.

Kwenye.kufanya mobilisation ya story kuandika vitabu kila mtu akachagua version ya story inayomfaa kuandika kitabu chake na mtindo wake wa kufanya ibada.

Lakini imani ya dini mmoja wa mbinguni na story za dini ya Abraham (Jews, Christian na Islam) uhalisia wake ni mythologies za waarabu kuanzia kwa Adam and Eve.

Wazungu walichukua tu kuona inafaa kwa propaganda zao. Lakini awali hakukuwa na Jew, Mkristo na Muislamu (zaidi ya waarabu) ndio wenye mythology yao.

Wengine ni importers tu wa dini.
Warumi hawajawahi kutawala Uarabuni, Roman Empire haikuwahi kufika uarabuni. Constantine pia hawajawahi kutawala Uarabuni.
Uislamu pia ulianza wakati Western Roman Empire imeshaanguka.
 
AISHA ANASEMA MUHAMMAD NABII WA ALLAH ALIKUWA AMEROGWA​

Muhammad Aliwahi Kurogwa (Kwa Apizo, ‘Under a Spell’)
" ‘Aisha anasimulia: Nabii alifanyiwa uchawi hata akaanza kudhani kuwa anafanya kitu fulani wakati hakuwa anafanya. Siku moja alimwomba (Allah) kwa muda mrefu sana kisha akasema, ‘Naona kuwa Allah amenipa mwongozo wa namna ya kujitibu mwenyewe.’..." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 10 na.490 uk.317.
Tazama pia juzuu ya 4 kitabu cha 53 (Wajibu wa Khumus) sura ya 34 na.400 uk.267, juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.56-57, juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266-267. Juzuu ya 7 na.658-660 uk.441-443.
Pia tazama Muislam Sahihi juzuu ya 2 kitabu cha 4 (Kitabu cha Sala) sura ya 309 na.1888 uk.411
Muhammad alilogwa. Alisimulia ‘Aisha: Nabii aliendelea kwa kipindi fulani akidhania kuwa anafanya tendo la ndoa na mke wake, lakini haikuwa hivyo. Siku moja alisema kwangu, "O ‘Aisha! Mungu ameniagiza kuhusiana na suala nililomuuliza. Watu wawili walikuja, mmoja alikaa karibu na miguu yangu na mwingine karibu na kichwa changu. Yule aliyekuwa karibu na miguu yangu alimuuliza yule wa karibu na kichwa changu (akininyooshea kidole), ‘Mtu huyu ana shida gani? Yule mwingine akamjibu, ‘Ameathirika na uchawi. Yule wa kwanza akauliza, ‘Ni nani aliyemfanyia uchawi?’ Yule mwingine akajibu, ‘Lubaid bin A’sam." Yule wa kwanza akauliza, ‘(Alitumia) nyenzo gani?.’ Yule mwingine alijibu ‘Ngozi ya chavua ya mtende wa kiume na chanio lililowekwa nywele, na kuwekwa chini ya jiwe kwenye bwawa la Dharwan.’" Kisha Nabii alikwenda kwenye bwawa lile na kusema, "Hili ndilo bwawa lilelile nililoonyeshwa kwenye ndoto. Ncha za mitende yake inaonekana kama vichwa vya mashetani, na maji yake yanaonekana kama mchanganyiko wa hina."… ‘Aisha aliongeza, "(Mchawi) Lubaid bin A’sam alikuwa anatokea Bani Zuraiq, mshirika wa Wayahudi." Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.57. Tazama pia Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266
1. Kwanini tumfuate Muhammad aliye rogwa?
2. Hivi kuna Mtume au Nabii yeyote yule kwenye Biblia na yeye alirogwa?
3. Kwanini Allah alishindwa kumlinda Mtume wake kutoka nguvu za kurogwa?
4. Hivi wapi tunasoma kuwa Muhammad alifanyiwa maombi na urogi ukamtoka?
Hakuna ushahid wowote ule ambao unasema kuwa Muhammad aliombewa na kutokwa huo uchawi. Huu ni msiba kwa Nabii wa Allah kufa huku akiwa amefanyiwa urogi.
Ndugu msomaji,
HALAFU MBONA UNACOPY NA KUPASTE
 
Kwanza katika ukristo, hakuna kitu kinaitwa makanisa makuu. Bali kuna makao makuu ya Kanisa. Na makao makuu siku zote ni kwaajili ya administration.

Pili, kwenye ukristo, na kwenye biblia, Ibrahim, Isaka, Yakobo, hawakuwa manabii bali Baba wa Waisrael. Mfalme Daud na Sulemani, nao pia hawakuwa manabii. Siyo kila aliyehubiri neno la Mungu aliitwa nabii.

Katika Biblia na historia ya ukristo, hakuna nchi iliitwa Palestina. Hao wote uliowataja kuwa manabii walizaliwa na kuishi kwenye nchi ya Kanani. Nchi ya Kanani, ilikuwa ni eneo lote la Israel ya sasa, Palestina, na baadhi ya maeneo ambayo sasa yapo Misri, Lebanoni, Syria na Iraq.

Yesu Kristo, aliwahubiria Wayahudi, na mara nyingi aliwafundisha na kufikisha ujumbe wake kwa mithali, kama ilivyotabiriwa na nabii Isaya, na alisema wazi:

1) jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni.

2) Bwana aliwaalika watu aliowachagua kwenye karamu, walioalikwa hawakutokea, na baada ya hapo alienda kila mahali akawaalika wote aliowakuta, na ukumbi ukajaa.

3) Bwana wa shamba aliwapeleka wajumbe shambani kwake, nao hawakuwasikiliza wajumbe wale. Akaamua kumtuma mwanae lakini wao wakamwua.

4) Mtume Yohana pia katika biblia anasema kuwa, Hapo mwanzo kulikuwako na NENO, naye NENO alikuwako kwa Mungu, naye NENO alikuwa ni MUNGU. Akaja kwa walio wake, walio wake hawamkujua, walio wake hawakumpokea, bali wali waliompokea aliwafanya kuwa wana wa Mungu.

5) Mtume Paulo pia anasema, Yeye aliyemtuma Petro kuwahubiria Wayahudi ndiye aliyenituma mimi kuwahubiria mataifa.

6) Yesu pia aliwaambia mitume wake, nendeni Ulimwenguni kote mkawafanye watu kuwa wanafunzi wangu.

7) Yesu anasema, Mimi ndiye NENO LA UZIMA, yeye aniaminkye, ajapokufa anaishi. Hivyo ndugu yangu mfuate Yesu ili uishi milele. Achana na habari ya makanisa makuuu na misikiti mikubwa, haitakupa uzima wa milele.

Haya yote yanaeleza jambo moja, kuwa Wayahudi walimkataa Masiha Yesu. Na baada ya Kumkataa, hawana tofauti na wanadamu wengine wowote wanaomkataa Yesu. Hivyo ujumbe wake ukapelekwa kwa mataifa, na walioupokea wamefanywa kuwa wana wa Mungu. Kwani yeye mwenyewe alisema, YEYE NDiYE NJIA YA KUFIKA KWA BABA, MTU HAFIKI KWA BABA ISIPOKUWA KWA KUPITIA YEYE. na ndiyo maana mpaka leo Ukristo umeenea na kuwa na nguvu zaidi nje ya Israel kuliko Israel kwenyewe.
 
Warumi hawajawahi kutawala Uarabuni, Roman Empire haikuwahi kufika uarabuni. Constantine pia hawajawahi kutawala Uarabuni
Origin ya hizo mythology ni nchi za kiarabu sasa wewe unadhani huko Mesopotamia, Egypt na Canaan setting ya religious stories miaka hiyo kulikuwa na wazungu huko?

Hizo myths ni za waarabu; Jews wa kwanza ni waarabu, wakristo wa kwanza ni waarabu na waislamu wa kwanza ni waarabu.

Wengine wameokota tu hizo dini na kuchagua version zao na kutumia nguvu na utemi na kuuwa sana kwa wasiotaka kufanya ibada kwa mtindo wao (more Christian’s and Islam kwenye kusambaza dini zao).

Sikia tu hiyo inquisition ya Christianity hasa kwa wale ambao walikuwa na vitabu vingine na kujifanya wanataka kufanya ibada kwa mtindo wao.

Earliest form of Christianity practice mpaka leo inafanyika Syria ndio ujue hizi dini ni za waarabu kwanza.

Talking on religious archeology point of view.
 
HALAFU MBONA UNACOPY NA KUPASTE

AISHA ANASEMA MUHAMMAD NABII WA ALLAH ALIKUWA AMEROGWA​

Muhammad Aliwahi Kurogwa (Kwa Apizo, ‘Under a Spell’)
" ‘Aisha anasimulia: Nabii alifanyiwa uchawi hata akaanza kudhani kuwa anafanya kitu fulani wakati hakuwa anafanya. Siku moja alimwomba (Allah) kwa muda mrefu sana kisha akasema, ‘Naona kuwa Allah amenipa mwongozo wa namna ya kujitibu mwenyewe.’..." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 10 na.490 uk.317.
Tazama pia juzuu ya 4 kitabu cha 53 (Wajibu wa Khumus) sura ya 34 na.400 uk.267, juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.56-57, juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266-267. Juzuu ya 7 na.658-660 uk.441-443.
Pia tazama Muislam Sahihi juzuu ya 2 kitabu cha 4 (Kitabu cha Sala) sura ya 309 na.1888 uk.411
Muhammad alilogwa. Alisimulia ‘Aisha: Nabii aliendelea kwa kipindi fulani akidhania kuwa anafanya tendo la ndoa na mke wake, lakini haikuwa hivyo. Siku moja alisema kwangu, "O ‘Aisha! Mungu ameniagiza kuhusiana na suala nililomuuliza. Watu wawili walikuja, mmoja alikaa karibu na miguu yangu na mwingine karibu na kichwa changu. Yule aliyekuwa karibu na miguu yangu alimuuliza yule wa karibu na kichwa changu (akininyooshea kidole), ‘Mtu huyu ana shida gani? Yule mwingine akamjibu, ‘Ameathirika na uchawi. Yule wa kwanza akauliza, ‘Ni nani aliyemfanyia uchawi?’ Yule mwingine akajibu, ‘Lubaid bin A’sam." Yule wa kwanza akauliza, ‘(Alitumia) nyenzo gani?.’ Yule mwingine alijibu ‘Ngozi ya chavua ya mtende wa kiume na chanio lililowekwa nywele, na kuwekwa chini ya jiwe kwenye bwawa la Dharwan.’" Kisha Nabii alikwenda kwenye bwawa lile na kusema, "Hili ndilo bwawa lilelile nililoonyeshwa kwenye ndoto. Ncha za mitende yake inaonekana kama vichwa vya mashetani, na maji yake yanaonekana kama mchanganyiko wa hina."… ‘Aisha aliongeza, "(Mchawi) Lubaid bin A’sam alikuwa anatokea Bani Zuraiq, mshirika wa Wayahudi." Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.57. Tazama pia Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266
1. Kwanini tumfuate Muhammad aliye rogwa?
2. Hivi kuna Mtume au Nabii yeyote yule kwenye Biblia na yeye alirogwa?
3. Kwanini Allah alishindwa kumlinda Mtume wake kutoka nguvu za kurogwa?
4. Hivi wapi tunasoma kuwa Muhammad alifanyiwa maombi na urogi ukamtoka?
Hakuna ushahid wowote ule ambao unasema kuwa Muhammad aliombewa na kutokwa huo uchawi. Huu ni msiba kwa Nabii wa Allah kufa huku akiwa amefanyiwa urogi.
 
mtume kama binaadamu wengine, hakuwa malaika

AISHA ANASEMA MUHAMMAD NABII WA ALLAH ALIKUWA AMEROGWA​

Muhammad Aliwahi Kurogwa (Kwa Apizo, ‘Under a Spell’)
" ‘Aisha anasimulia: Nabii alifanyiwa uchawi hata akaanza kudhani kuwa anafanya kitu fulani wakati hakuwa anafanya. Siku moja alimwomba (Allah) kwa muda mrefu sana kisha akasema, ‘Naona kuwa Allah amenipa mwongozo wa namna ya kujitibu mwenyewe.’..." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 10 na.490 uk.317.
Tazama pia juzuu ya 4 kitabu cha 53 (Wajibu wa Khumus) sura ya 34 na.400 uk.267, juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.56-57, juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266-267. Juzuu ya 7 na.658-660 uk.441-443.
Pia tazama Muislam Sahihi juzuu ya 2 kitabu cha 4 (Kitabu cha Sala) sura ya 309 na.1888 uk.411
Muhammad alilogwa. Alisimulia ‘Aisha: Nabii aliendelea kwa kipindi fulani akidhania kuwa anafanya tendo la ndoa na mke wake, lakini haikuwa hivyo. Siku moja alisema kwangu, "O ‘Aisha! Mungu ameniagiza kuhusiana na suala nililomuuliza. Watu wawili walikuja, mmoja alikaa karibu na miguu yangu na mwingine karibu na kichwa changu. Yule aliyekuwa karibu na miguu yangu alimuuliza yule wa karibu na kichwa changu (akininyooshea kidole), ‘Mtu huyu ana shida gani? Yule mwingine akamjibu, ‘Ameathirika na uchawi. Yule wa kwanza akauliza, ‘Ni nani aliyemfanyia uchawi?’ Yule mwingine akajibu, ‘Lubaid bin A’sam." Yule wa kwanza akauliza, ‘(Alitumia) nyenzo gani?.’ Yule mwingine alijibu ‘Ngozi ya chavua ya mtende wa kiume na chanio lililowekwa nywele, na kuwekwa chini ya jiwe kwenye bwawa la Dharwan.’" Kisha Nabii alikwenda kwenye bwawa lile na kusema, "Hili ndilo bwawa lilelile nililoonyeshwa kwenye ndoto. Ncha za mitende yake inaonekana kama vichwa vya mashetani, na maji yake yanaonekana kama mchanganyiko wa hina."… ‘Aisha aliongeza, "(Mchawi) Lubaid bin A’sam alikuwa anatokea Bani Zuraiq, mshirika wa Wayahudi." Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 73 (Mienendo Myema) sura ya 56 na.89 uk.57. Tazama pia Bukhari juzuu ya 8 kitabu cha 75 (Kitabu cha Maombi ‘Book of Invocations’) sura ya 59 na.400 uk.266
1. Kwanini tumfuate Muhammad aliye rogwa?
2. Hivi kuna Mtume au Nabii yeyote yule kwenye Biblia na yeye alirogwa?
3. Kwanini Allah alishindwa kumlinda Mtume wake kutoka nguvu za kurogwa?
4. Hivi wapi tunasoma kuwa Muhammad alifanyiwa maombi na urogi ukamtoka?
Hakuna ushahid wowote ule ambao unasema kuwa Muhammad aliombewa na kutokwa huo uchawi. Huu ni msiba kwa Nabii wa Allah kufa huku akiwa amefanyiwa urogi.
Ndugu msomaji,
 
majini viumbe kama wewe

MUHAMMAD ALIKUWA NABII BANDIA, HAKUWA MUISLAM, HAKUFUATA MILA, DESTURI NA SHERIA ZA KIISLAM​

Hebu tuanze moja kwa moja kwa ushahidi kuhusu huyu Mtume wa Allah aliyeitwa Muhammad.
Ningependa mfahamu kuwa, Mohammad s.a.w hajawahi kuwa Muislamu japo aliwaongoza Waislamu.
Kwa sababu: alikuwa na wake wengi (Quran 33:50) huku Waislamu wakitakiwa kuwa na wake 4 tu (Quran 4:3).
Alipokufa hakukamuliwa Ngama (kinyesi), huku Waislamu leo wanapokufa hukamuliwa Ngama (kinyesi).
Alipokufa aliagwa siku tatu huku Waislamu leo wanafichwa kama madawa ya kulevya wala hakuna kuagwa.
Aliamuru watu wapigane ndani ya mfungo wa ramadhani huku Qurani ikikataza vita yoyote katika mwezi mtukufu (9:5).
Alikuwa hajui kuandika wala kusoma (7:157) huku Waislamu leo wakiwa wanajua kusoma na kuandika.
Je huyu bado ni Muislamu?
Poleni sana Waislamu kwa kufuata Nabii Bandia.
Lakini Mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu na hawakufanya huo uchawi wa Allah aka Jibril aka Muhammad incarnate.
1. Musa anoangea na Mungu: Kutoka 3:1-21. Muhammad hakuwai ongea na aliye mtuma.
2. Elia anaongea na Mungu: 1 Wafalme 19- Soma yote. Muhammad hakuwai ongea na aliye mtuma.
3. Paulo anaongea na Mungu: Matendo ya Mitume 18:9. Muhammad hakuwai ongea na aliye mtuma.
Hiyo ni mifano michache kutoka Biblia ina thibitisha sifa za kitume au Mtume.
MAANA YA NENO/JINA "MTUME"
Neno “mtume” lamaanisha mwanafunzi au mfuasi. Neno “mtume” la maanisha “mtu aliyetumwa”
SASA BASI, hakuna aya hata Moja katika Quran inayosema kuwa Muhammad aliwai ongea na Allah aliye mmpa Utume. Hivyobasi, huu utume wa Muhammad alipewa na nani? Maana Allah hakuwai mpa utume.
Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Allah, kwanini hakufuata mila za Kiislamu?
 
Origin ya hizo mythology ni nchi za kiarabu sasa wewe unadhani huko Mesopotamia, Egypt na Canaan setting ya religious stories miaka hiyo kulikuwa na wazungu huko?

Hizo myths ni za waarabu; Jews wa kwanza ni waarabu, wakristo wa kwanza ni waarabu na waislamu wa kwanza ni waarabu.

Wengine wameokota tu hizo dini na kuchagua version zao na kutumia nguvu na utemi na kuuwa sana kwa wasiotaka kufanya ibada kwa mtindo wao (more Christian’s and Islam kwenye kusambaza dini zao).

Sikia tu hiyo reformation ya Christianity hasa kwa wale ambao walikuwa na vitabu vingine na kujifanya wanataka kufanya ibada kwa mtindo wao.

Earliest form of Christianity practice mpaka leo inafanyika Syria ndio ujue hizi dini ni za waarabu kwanza.

Talking on religious archeology point of view.
Canaan na Egypt hazikuwa nchi za Kiarabu wakati wa Roman Empire. Pia Mythologies za maeneo yote hayo matatu ni tofauti sana. Mythologies za Wamisri ni tofauti sana na za Mesopotamia, Wa-Israeli pia hata wa Mwanzo hawakuwa Waarabu, hiyo Mesopotamia yenyewe lilikuwa ni eneo pana sana lilikowa na jamii nyingi zaidi ya Waarabu (Iran, Turkey, Syria, Kuwait na Iraq )
 
Umhimu wa Kujua Historia

Mtume Muhammad ﷺ alisema: "Mtu ambaye hana historia, hana maisha" (Abu Dawood).
  • Hii hadithi inasisitiza umuhimu wa kujua na kuelewa historia ili kuwa na mtazamo kamili wa maisha na maendeleo ya kijamii.
Hapa kuna orodha ya manabii waliotajwa katika Agano la Kale na Qur'an, pamoja na maeneo ambapo walizaliwa
Manabii Katika Agano la Kale:
  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Uru, Mesopotamia
  2. Nabii Musa (Moses)
    • Nchi: Misri
    • Mahali pa Kuzaliwa: Misri (katika eneo la mji wa Gosheni)
  3. Nabii Daudi (David)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Bethlehemu, Israeli
  4. Nabii Sulemani (Solomon)
    • Nchi: Palestina
  5. Nabii Isaya (Isaiah)
    • Nchi: Palestina
  6. Nabii Yeremia (Jeremiah)
    • Nchi: (inayokaliwa na, Israeli)
  7. Nabii Ezekieli (Ezekiel)
    • Nchi Palestina(inayokaliwa na, Israeli)

Manabii Katika Qur'an:

  1. Nabii Ibrahim (Abraham)
    • Nchi: Mesopotamia (sasa Iraq) na Kanaani (sasa sehemu ya Israeli na Palestina)

    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  5. Nabii Isa (Jesus)
    • Nchi: Palestina
    • Mahali pa Kuzaliwa: Palestina
  6. Nabii Muhammad ﷺ
    • Nchi: Arabia (sasa Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Makka, Saudi Arabia
  7. Nabii Yunus (Jonah)
    • Nchi: Ninawi (sasa Iraq)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Ninawi, Iraq
  8. Nabii Hud (Heber)
    • Nchi: Arabia (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Aadil, Saudi Arabia
  9. Nabii Salih (Methuselah)
    • Nchi: Thamud (sasa sehemu ya Saudi Arabia)
    • Mahali pa Kuzaliwa: Thamud, Saudi Arabia
Katika waislam misikiti mikuu 3
Msikiti wa Al-Haram (Masjid al-Haram)- Mahali: Makkah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Masjid an-Nabawi (Masjid al-Nabawi)- Mahali: Madinah, Saudi Arabia
Msikiti wa Al-Aqsa (Masjid al-Aqsa)-Mahali: Yerusalemu, Palestina

WAKIRISTO MAKANISA MAKUU
Kanisa la Mtakatifu Petro (St. Peter's Basilica) -Mahali: Vatican City, Roma, Italia
Kanisa la Mitume watatu (Trinity Church)- Mahali: Boston, Massachusetts, Marekani
Kanisa la Hagia Sophia (Aya Sofya)- Mahali: Istanbul, Uturuki
Kanisa la Westminster (Westminster Abbey)- Mahali: London, Uingereza
Kanisa la Martin Luther (Lutherkirche)-Mahali: Wittenberg, Ujerumani

KWANINI MAKANISA MAKU YAPO ULAYA? NA SIO MASHARIKI YA KATI?
KANISA LA KWELI SIYO JENGO (NYUMBA) YA IBADA. WAKRISTO WAHUNI NDIYO WALIANZISHA NYUMBA ZA HIVYO ...katika ukristo wa kweli KANISA linatakiwa kuwa MWILI wako na MUABUDU kuwa NAFSI yako.
 
Unataka wasomi na si ushabiki lakini wewe umeuliza kishabiki, unasema kuhusu muhimu wa historia lakini wewe unakosea historia makusudi. Kwa sababu hiyo wasomi wamenyamaza, ila mimi nitajaribu kukujibu kama unataka kuelewa.
Kwanza kanisa sio jengo wala taasisi, kanisa ni kundi la watu kwenye lengo moja kwa muktadha wa kikristo kanisa ni kundi la watu walioitwa watoke dhambini.
Pili kwa sababu mitume walioeneza ukristo mashariki ya kati na ulaya (ambao wote walikua wayahudi) walilijua hilo walikua hawajengi majengo ya "kanisa".
Tatu, historia inatueleza kuwa kikristo wa kwanza walikutana na dhiki na mateso makubwa kwanza kutoka kwa Wayahudi na baadae dola ya Kirumi ikaendelea kwa miaka 300. Sasa rafiki kama kweli unazingatia historia, inawezekanaje jamii inayosakwa ili wauawe owe na majengo yatakayo salia ili wewe uje uyaone? Halafu miaka takriban 300 au 400 hivi baadae mikaka dola za Kiisilamu zikaendeleza kuwasilimisha wakristo kwa nguvu (ingawaje kuna mabaki huko Iraq, Iran na kwingineko mashariki ya kati).
Ushahidi wa makanisa ya siri kwenye mapango (catacombs) upo kama unataka kuelewa na si kupotosha
Kwa hiyo rafiki historia ya kanisa la Yudea (wewe umeita Palestine, jina ambalo dola ya Rumi walibatiza baada ya kuwaangamiza na kuwahamisha Wayahudi), Syria, Turkiye, Jordan, Misri (dola za Kiislamu zilishindwa kuwaangamiza wakristo wote huko, leo hii kuna jamii kubwa tu ya Wakoptic)
Nimejaribu kukujibu bila jazba wala sijazingatia kejeli ambazo ni nyingi kwenye uzi huu. Ushauri wangu kwa wachangiaji "msitukane matukufu ambayo hamyajui vizuri" maana kila neno watakalo tamka wanadamu watatoa hesabu yake siku ile
 
Ukiuan
MAISHA YA MTUME

Maisha ya Mtume Muhammad (SAW) yana umuhimu mkubwa si tu kwa Waislamu bali pia kwa wasomi na watu wa dini nyingine kwa sababu ya mchango wake katika historia, maadili, na utamaduni. Hapa kuna muhtasari wa maisha yake kwa wasio Waislamu na wasomi:

1. Maisha ya Mapema

  • Kuzaliwa: Mtume Muhammad alizaliwa mwaka 570 BK mjini Makkah, katika kabila la Quraysh. Alipokea elimu ya msingi kutoka kwa familia yake na alikua katika mazingira ya biashara.
  • Kujulikana kwa Uaminifu: Kabla ya kupokea wahyi, alijulikana kwa sifa zake za ukweli, uaminifu, na uadilifu. Alipewa jina la "Al-Amin" (Mtu Mwaminifu).

2. Kipindi cha Utume

  • Kupokea Wahyi: Mnamo mwaka 610 BK, alipopokea wahyi kutoka kwa Malaika Jibril (Gabriel) akiwa peke yake katika pango la Hira. Wahyi huu ulianzisha Uislamu.
  • Mchango wa Kidini: Alihubiri kwa siri kwa miaka mitatu kabla ya kufanya hadharani, akitangaza kwamba kuna Mungu mmoja, na akasisitiza haki, usawa, na upendo kwa wote. Hali hii ilipokelewa kwa upinzani mkubwa kutoka kwa viongozi wa kabila la Quraysh.
  • Hijra: Mnamo mwaka 622 BK, alihama kutoka Makkah kwenda Madinah (Hijra), tukio lililoashiria mwanzo wa kalenda ya Kiislamu.

3. Utawala na Maendeleo

  • Uongozi: Katika Madinah, alianzisha jamii ya Kiislamu yenye usawa na haki. Alikuwa mweledi katika usimamizi wa jamii, akipatia mafundisho na kanuni zinazowezesha umoja na usalama.
  • Mkataba wa Madinah: Aliunda makubaliano ya kisiasa na kijamii kwa makabila ya Madinah, yakilenga kuleta amani na ushirikiano.

4. Mchango kwa Jamii

  • Mafundisho: Mafundisho ya Mtume Muhammad kuhusu haki za binadamu, usawa, na maadili yanachangia sana katika utamaduni na sheria za dunia. Mchango wake katika elimu, biashara, na utawala unaendelea kuwa na athari kubwa.
  • Madhumuni ya Kidini: Uislamu unaelezea mapenzi ya Mungu, huruma, na umoja wa binadamu, na haya yanaweza kupokelewa kwa njia ya kihistoria, kidini, na kimaadili.

5. Athari kwa Historia na Utamaduni

  • Athari za Kimataifa: Mtume Muhammad ni miongoni mwa watu wenye athari kubwa zaidi katika historia, na mafundisho yake yanaendelea kuathiri maisha ya watu kote duniani. Utamaduni, sanaa, na siasa zimejaa alama za mafundisho yake.
  • Mchango wa Kihistoria: Maisha yake yanachangia tafsiri ya uongozi, haki, na amani kwa jamii.
Kwa wasomi na watu wa dini nyingine, maisha ya Mtume Muhammad ni kipande muhimu cha historia na utamaduni ambao unastahili kujadiliwa na kueleweka kwa upana
Ukiuangalia Uislam katika mafundisho yake halisia, siyo yaliyochakachuliwa, unafanana na ukristo zaidi ya 80%. Hili lilitokeaje? Ukristo ulikuwepo kabla ya Uislama. Yawezekana aliyeuanzisha Uislam aliamua kuchukua mambo mengi kutoka kwenye ukristo.

Mtume Mohammad anasema kuwa Yeye ni mfuasi namba moja wa Issah bin Mariam (maana yake Yesu Kristo), lakini waislam wengi huwezi kuwasikia wakiuhubiri ujumne wa Yesu, ambaye Mtume Mohammad amesema ni mfuasi wake namba moja. Na siku zote, mfuasi hawezi kuwa mkuu kuliko Bwana wake.

Mfanano:

Wakristo na Waislam, wote wanakiri kuwa kuzaliwa kwa Madiha Yesu kulikuwa kwa njia ya muujiza.

2) Waislam na Wakristo, wote wanaamini kuwa Masiha Yesu, atarudi tena

3) Wote, waislam na wakristo wanasema Yesu Kristo alipaa mbinguni Mwili na Roho.

4) Wote wanaamini kuna Mungu mmoja (waislam hawaamini juu ya utatu mtakatifu).

5) Wote wanasema Yesu Kristo ndite pekee aliyefufua wafu, kuwaponya wagonja, kuwaponya vilema, na miujiza mingi.

Tofauti kubwa:
Waislam hawaamini kama Yesu ni nafsi ya Mungu iliyojifanya mwanadamu ili kuwafikia wanadamu na kuwafundisha juu ya mpango wa Mungu.

Tofauti nyingi kubwa, wakristo wanaamini zaidi katika msamaha, upendo hata kwa adui, wakati waislam wanaamini sana katika kisasi, na ndiyo maana vita na mauji hayaishi Mashariki ya kati.

Lakini kiuhalisia ukristo ulistahili kuwa karibu zaidi na Uislam kuliko Uyahudi. Lakini kutokana na baadhi ya mafundisho ya kikatili kwenye uislam, yamefanya ukristo uonekane kuwa mbali sana na Uislam. Msingi mkubwa wa ukristo ni upendo, ukatili na kisasi ni kinyume kabisa cha upendo.
 
Umedanganywa ....binadamu wote wanatakiwa kuwa watakatifu siyo waislamu maana mungu naye ni mtakatifu ...ndiyo maana ikaandikwa mtu hata ingia peponi pasipo kuwa na huo utakatifu....mnajidanganya kuwa ukiwa muislam basi utaingia peponi kwa sababu wewe ni muislamu ....tujifunze kwa waisrael walikuwa na dini ya musa je wote wataingia peponi ? Kuwa katika dini ya kweli hakumfsnyi mtu kutokuwa na dhambi unaweza kuwa na dini ya kweli na ukawa mwenye dhambi .....kudhsni kuwa duniani kusingekuwa na dini isipokuwa uislamu basi binadamu wote wangeingia peponi huo ni upumbavu ulio tukuka ...dhambi aiangalii wewe upo dini gani....kitu pekee ambacho ukiwa nacho unakwenda peponi ni UTAKATIFU BASI
umesoma au umekurupuka hebu kasome tena maana mm n imenakili tu
 
Back
Top Bottom