Swali hili hii ni kwa wasomi wa na wabobezi wa dini ya Kikristo na sio washabiki

Watu walioshikamana na udini ni wa kuogopwa sana. Wala hakukuwa na haja ya kuuliza swali lako humu, biblia ipo, ni kitabu kilichotafsiriwa Kwa lugha zote ikiwemo na kiswahili, ungesoma ungepata majibu, Ila ufinyu wako wa akili kwasababu ya udini wako umeona uentertain.

Anyway swali lako ni jepesi japo halipo specific, kanisa la kwanza ni Roman Catholic, hili ndo lilikuwa la kwanza then yakaja mengine.

Wanafumzi wa Yesu baada ya Yesu kupata mbinguni, Kwa mujibu wa historia ya biblia walishukiwa na Roho Mt wakaanza kusema Kwa lugha za mataifa mengine, ikiwemo na waarabu, kumtangaza Yesu haikuwa rahisi, kwasababu walikutana na vikwazo vingi Kama kufungwa, kuuwawa, kuteswa, kwahyo walitawanyika sehemu nyingine ambapo waliweza kufanya waliyodhamiria kuyafanya.

Yesu alikuwa myahudi, lakini wayahudi wengi hawakumwamini, hata ndugu zake tu hawakumwamini, Yesu alitambua Hilo, kwamba hawataweza kumwamini, Kuna kifungu kwenye biblia Yesu alisema nabii hakubaliki kwao na Kuna mstari pia aliwaambia wanafunzi wake nendeni muwageukie mataifa.

Injili Leo imekuwa siyo Kwa wayahudi tu, imekuwa pia ni kwaajili ya mataifa mengine, ikiwemo na Tanzania, na lugha ya tafsiri ni ya kiswahili.

Kanisa kuu la wakristo ni Lipo Vatican city(Mt Petro) hapo ndipo alipozikwa mtume Petro, ambaye Yesu alimwambia "Wewe ndiwe Petro(kefa Kwa tafsiri ni jiwe)na juu yako litajengwa kanisa langu.

Sijajua hayo makanisa makuu unayoyaongelea wewe ni yapi, Ila kanisa kuu la kinabii ni moja tu na lipo Vatican city.

Kama una swali jingine uliza.
 
Wakristo tunaamini katika biblia(Agano jipya na la kale, hata Quran Kuna line tunaziamini 100% kwasababu Zina ukweli) Waislamu nao wanaamini katika Quran in General, wapagani endeleeni kufatilia hadithi, kwasababu hata usomaji wake na jinsi mnavyozielewa mwisho wake mnaamini tu Wala hakuna aliyeshuhudia Kwa macho kilichotendeka A to Z.

Kuamini mawazo ya akina Aristotle, kuamini sayansi, kuamini na Mambo mengine ni kuamininini, hivyo, eeeee ni hivyoo, kiraza wa kiman'gati nae anasema MUNGU hayupo, eti anautaka ushahidi kuhusu uwepo wa MUNGU, huu ujinga mwingine huu🤔

Kuna mtu hata Olduvai George hajawahi kutembea, nae unakuta anasema the whole human history about GOD is fake jamani, upumbavu wa watanzania?
 
Mimi naamini kwenye spiritual world, na naheshimu dini zote.

Nisichoafiki ni dini watu wa dini wa moja kudhani wao ndio wako sahihi kuliko wengine,

Otherwise jana mchana nimelala zangu nimeota dunia imepigwa na (asteroid) ndoto yangu ilikuwa somewhat dramatic, nonetheless nimeaka trending story google kuna ka asteroid kamelipuka angani huko Siberia.

I trust science na I believe in the spiritual words, nisichoafiki ni hizi akili zenu za dini korofi Jews, Christian na Islam; hawa watu ndio msingi wa mgogoro duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…