GE2025 Swali hili la Kiranga kwa Polepole lilipuuzwa: What is Polepole's strategy? Lilifanya Kiranga atukanwe sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Facts. No Cap.

1.Polepole alikuwa na lengo kumsimamisha Samia asigombee urais. Aliweka sharti hili wazi. Alisema Samia asipoacha kugombea urais yeye Polepole atafanya kitu kikubwa, atapasua bomu kubwa.

2. Samia anagombea urais. Ndiye mgombea wa CCM na all likelihood ni kwamba atakuwa rais.

3.Polepole hayupo hata mitandaoni sasa hivi kumpinga Samia. Hata kama hutaki kukubali kuwa katekwa au kauawa. Surely kashindwa kumzuia Samia kugombea urais.

Unaweza kukubali kuwa Polepole, angalau kwenye hili jambo la kumsimamisha Samia asigombee urais, alikuwa ana bluff tu na hakuwa na strategy maalum ya kuhakikisha anafanikiwa hilo?

Kwamba hayo mabomu aliyoyasema hayakuwa na nguvu yoyote ya kumsimamisha Samia kwenye kugombea urais?
Kama ni mchezo was soka, dk ni ya 75, polepole 0-3 Samia. Bado mpira hujakwisha. FT ni baada ya kutiki 29 October na Samia kushinda.
 
Sawa.

Twende kwa kuangalia uwezekano. Probability.

Kwa hiyo ukiambiwa utoe asilimia za Samia kushinda, kutangazwa na kuapishwa rais (bila kujali ushindi kaupata vipi) utatoa asilimia ngapi?

Na ukiambiwa utoe asilimia za uwezekano wa Polepole kutoonekana tena akimkosoa Samia, utatoa asilimia ngapi?
 
95% . Hizo 5% ni masuala yanayoendelea yakiwemo ya polepole.

90%. Hiyo 10% ni possibilities zingine ambazo sijataka kuziignore bado.
 
Percent gani unaweza kui ignore?

Mfano. Wachumi wakifikia employment level ya 95% wanahesabu hiyo kama full employment. Wanahesabu hiyo 5% kama distortions za market tu, kuna watu siku zote wanabadili kazi kwa hiyo hao siku zote watakuwapo hawahesabiwi kama unemployed.

Sasa wewe asilimia ngapi unaweza kuziona hizi naweza kuzi ignore ni background noise tu itakuwapo kila mara?
 
Kwa hili la Polepole, Tesha na Sasa Malisa ukijumlisha na vuguvugu la maandamano, nimeweka point tar ya uchaguzi, tukivuka salama hapo ndio 100% .
 
Naweza kutabiri kwamba uchaguzi utafanyika na Samia ataapishwa kuwa rais kama ninavyoweza kutabiri kuwa jua litachomoza Jumanne October 14 2025.
 
Kabisa mkuu unaweza. Ila utabiri ni utabiri mpaka utokee.
 
Mkuu,

Unaelewa kuwa kwa falsafa yako hii hutakiwi kuweza kuamka kutoka kitandani asubuhi?
Kutokuamka si ni possibility pia mkuu? Hata ukitabiri kuamka huwezi kuhitimisha kuamka mpaka uamke.
 
Back
Top Bottom