GE2025 Swali hili la Kiranga kwa Polepole lilipuuzwa: What is Polepole's strategy? Lilifanya Kiranga atukanwe sana

GE2025 Swali hili la Kiranga kwa Polepole lilipuuzwa: What is Polepole's strategy? Lilifanya Kiranga atukanwe sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watu wengi hawako familiar na kitu kinacho itwa uhuru, wana dhani ni kuwasilisha yale wanayo hisi wao ni sawa au malalamiko yao ndio madai ya uhuru wenyewe.

hawajui au kujali pande ya pili kuwa ina maoni yaliyo tofauti na yao, contradiction mix.
Unajua interesting aspect ya hii ni kwamba here is a guy anayempinga au kumkosoa Polepole. The same guy anaona wengine kama wanampangia, wakikosoa au wasipokubaliana na ukosoaji wake. Anashindwa kuelewa kwamba uhuru uleule anaotumia kumkosoa Polepole ndio wenzake pia wanautumia kumpinga au kumkosoa yeye!

Freedom of speech haijawahi kuwa one way street, my kaka!
 
Hujaelewa kuwa huo ni mfano.

Umeshindwa kufanya fikra dhahania.

You have a problem with abstract thinking.
Unayenitumhumu kufanya censorship kabla hata ya kupewa nchi si ni mimi? Au nani mwingine unayemuwakia labda?
 
Unajua interesting aspect ya hii ni kwamba here is a guy anayempinga au kumkosoa Polepole. The same guy anaona wengine kama wanampangia, wakikosoa au wasipokubaliana na ukosoaji wake. Anashindwa kuelewa kwamba uhuru uleule anaotumia kumkosoa Polepole ndio wenzake pia wanautumia kumpinga au kumkosoa yeye!

Freedom of speech haijawahi kuwa one way street, my kaka!
Polepole was a courtesan charlatan, a Machiavellian machinist, a puppeteering propagandist, an unrefined Utopian.

He had neither strategy nor savoir faire.

He mixed his God delusion with governance diligence in a dangerous dalliance that threatened the age old principles of separation of religion and state. Worse still, when alerted to this yokel like, country bumpkin position by the cosmopolitan Ulimwengu, he attempted to pitter-patter around and sticking to his guns without a deeper philosophical understanding of the contradictions he was sprouting.

His contradictions were concomitant with a conmans cards in a Karata Tatu game.

His game was going nowhere fast, because it lacked strategy, depth, sincerity, logical consistency and conviction.

But I guess there are enough fools and desperate people in Tanzania to make him some kind of a martyr.

Do not force some of us who could see clearly through all the smoke and mirrors all along to be part of the unthinking sheep desperate for a hero.
 
Unayenitumhumu kufanya censorship kabla hata ya kupewa nchi si ni mimi? Au nani mwingine unayemuwakia labda?
Kwani una mpango wa kupewa nchi?

Hujaelewa kuwa hiyo habari ya kushika nchi ni mfano, unaelewa mfano ni nini?

Sijakuwakia bado, haya ni mazungumzo ya kawaida tu kwangu.

Tatizo lako wewe nyoronyoro sana mimi nikiandika kawaida tu wewe unaona nimekuwakia.
 
Polepole was a courtesan charlatan, a Machiavellian machinist, a puppeteering propagandist, an unrefined Utopian.

He had neither strategy nor savoir faire.

He mixed his God delusion with governance diligence in a dangerous dalliance that thteatened the age old principles of separation of religion and state. Worse still, when alertwd to this yokel like, country bumpkin position by the cosmopolitan Ulimwengu, he attempted to pitter-patter around and sticking to his guns without a deeper philosophical understanding of the cobtradictions he was sprouting.

His contradictions were concomitant with a conmans cards in a Karata Tatu game.

His game was going nowhere fast, because it lacked strategy, depth, sincerity, logical consistency and conviction.

But I guess there are enough fools and desperate people in Tanzania to make him some kind of a martyr.

Do not force some of us who could see clearly through all the smoke and mirrors all along to be part of the unthinking sheep desperate for a hero.
You’re absolutely entitled to all that venting. Just understand that other people may also disagree with you. And they won’t necessarily be fools!
 
You’re absolutely entitled to all that venting. Just understand that other people may also disagree with you. And they won’t necessarily be fools!
But if you are a fool, I will call you a fool.

As long as I can back it up with a logical explanation.

Right now you are a fool for worshipping Polepole.

Even a bigger fool for forcing others to do the same.

A man who was a walking contradiction.
 
Kwani una mpango wa kupewa nchi?

Hujaelewa kuwa hiyo habari ya kushika nchi ni mfano, unaelewa mfano ni nini?

Sijakuwakia bado, haya ni mazungumzo ya kawaida tu kwangu.

Tatizo lako wewe nyoronyoro sana mimi nikiandika kawaida tu wewe unaona nimekuwakia.
Nyoronyoro utakuwa huwajui.
 
But if you are a fool, I will call you a fool.

As long as I can back it up with a logical explanation.

Right now you are a fool for worshipping Polepole.

Even a bigger fool for forcing others to do the same.

A man who was a walking contradiction.
Mtu akiishiwa hoja silaha yake ni lugha ya aina hii. Otherwise, no one becomes a fool just because they disagree with you!
 
Mtu akiishiwa hoja silaha yake ni lugha ya aina hii. Otherwise, no one becomes a fool just because they disagree with you!
You are not a fool because you disagree with me.

You are a fool because you fell for Polepole's propaganda and Machiavellian machinations which convinced you that Polepole was fighting the power while he was fighting for power.

You are a fool because you don't know the difference.
 
Mimi huyu niwe chawa wa Polepole ili iweje?
Wewe si tu ni chawa wa Polepole.

Wewe ni chawa wa Polepole usiyejua kuwa wewe ni chawa wa Polepole.

You are what Lenin is reported to have called called "A useful idiot".
 
Useful idiot

AI Overview (Google)

A "useful idiot" is a pejorative political term for a person who is easily manipulated by a political agenda, propaganda, or a political movement, often without understanding its true goals.

The person, typically a well-intentioned but naive supporter, unwittingly helps advance a malignant or ruthless cause.

Key characteristics

Naive or unwitting: The "useful idiot" is unaware that they are being used by more cynical leaders to achieve a hidden agenda.

Propagandist: They spread the cause's message, giving it credibility and support among wider audiences.

Ideologically committed: Their genuine belief in the cause makes them particularly effective at promoting it.

Origin and context

Cold War usage: The term gained prominence during the Cold War. It was used by Western observers to describe non-communists who supported communist causes and were, in their eyes, being manipulated by Soviet propaganda.

Attributed to Lenin, but unconfirmed: While often popularly attributed to Vladimir Lenin, there is no historical evidence that he ever used the phrase. The association likely developed during the Cold War era.

First documented use: English-language newspapers first used the term in the late 1940s in the context of Italian politics.

Modern usage
Broad application: While originally associated with communism, the term is now used more broadly in political discourse. It can refer to anyone who promotes a political position or person without grasping the full implications of their actions.

Examples: The phrase is often used when a supporter of a movement or a political figure is perceived as:

Being exploited by a foreign power.

Ignoring negative evidence about their chosen cause.

Helping an opposing party by siphoning votes from a closely-aligned candidate.

Contemporary controversy: The term is used as a derogatory insult by those on both the left and right sides of the political spectrum. Its use remains controversial, as it implies that a person's motives are less pure than they believe.
 
Wewe si tu ni chawa wa Polepole.

Wewe ni chawa wa Polepole usiyejua kuwa wewe ni chawa wa Polepole.

You are what Lenin is reported to have called called "A useful idiot".
Hujui chawa ni mtu wa namna gani. Sina maslahi ambayo yanaweza kusababisha mimi kuwa chawa wa Polepole au hata chawa wa wale majambazi wakuu. Vilevile hakuna namna ambayo Polepole anaweza kunitumia mimi kujinufaisha.

Name calling ndiyo kete yako ya mwisho!
 
Wewe ni chawa asiyejitambua.

Chawa wa bure.

Huelewi kuwa unavyompigia debe Polepole hapa ushampa legitimacy.

It is not namecalling if it is true.

If you are a fool, I will call you a fool.

That is not namecalling, that is the truth.
 
Yaan hapo hata mim ndo nabak kushangaa,
Kuna watu wanataka sifa, wanataka glory, wanataka u star. Wanataka kuonekana wao zaidi ya kufanya mabadiliko hata bila kuonekana.

Watu hao wakiwa mbali na Tanzania hawajulikani na hizo jamii huko, wanaonekana huyu muafrika tu, especially na watu wa nje. Ukiwa umekaa nje ya Tanzania halafu unarudi Tanzania unaona watu wanavyo ku treat differently ndiyo utajua hili.

Kama hujakaa nje ya Tanzania, hususan Ulaya, Asia na America kwa muda mrefu wa kuanzia mwaka mmoja na kuendelea ni vigumu kuelewa hili.

Watu hawa hawawezi kukaa nje muda mrefu.Inabidi waje Tanzania kupata kuabudiwa na Watanzania.

Tunawaona malimbukeni wa aina hii wapo wengi huku Marekani na Ulaya, utakuta mtu anarudi Tanzania mara mbili tatu kila mwaka, hata hana shughuli ya maana.

Anapenda kuwakoga watu tu kwamba yeye katoka Marekani au Ulaya.

Polepole naye alikuwa na ushamba huu.

Ndiyo maana utamsikia anajimwayamwaya na Kihispania chake cha kuombea maji "Tulipokuwa Kuba..." "Adios companeros..."

Sasa Watanzania unawakoga na Kihispania wanaelewa nini?

Polepole ilikuwa lazima akamatwe kwa sababu ya ubishoo wake. Yani yule ni mtu bishoo mpaka jambo la kufa na kupona kwake analifanyia ubishoo.

Unafanya ubishoo ukiwa Dar kuichana serikali vile wakati unaenda live kwa masaa? Hujui ile kuwa online tu ni risk? Hujui kila mtu anayejua ulipo ni risk? Including family.

Alikuwa na uwezo wa kwenda Sweden, kwenda Belgium, kwenda nchi kibao za Ulaya na Marekani. Kupata ukimbizi akasema alilotaka relatively safely kutoka huko.

Lakini yeye kataka kwenda Dar afanye ubishoo akiwa kajificha.

Hili jambo linaonesha mtu asiye na strategy, anayeendeshwa na kuuza sura zaidi ya kutaka mabadiliko ya kweli.

Mtu anayetaka mabadiliko ya kweli angeweza kufanya mengi kwa kubakia ndani ya mfumo akawa analeak mambo tu wengine wanasema.

Unafikiri Polepole angemtumia Mange Kimambi, au Jasusi Chahali, au mtu mwingine yeyote ambaye angemchagua yeye, akatuma habari na documents wabongo wasingejua anachotaka kusema?

Angeweza kuwa muandika script anayebaki nyuma.

Polepole angeandika yote anayoyajua katika kitabu halafu akakiachia ingekuwaje?

Au kama alitaka kusema mwenyewe si angeweza kwenda Scandinavia huko au Belgium. Watu wanamjua huyu mtu kashakuwa balozi na msemaji wa CCM. Angeomba ukimbizi anaupata ndani ya siku cahache tu.

Lakini yeye aliona hoja si muhimu, muhimu aonekane kaisema yeye, tena akiwa karibu na wapambe wake kajificha Dar.

This was the move of a reckless tactless emotional man with no strategy.

This was not the work of a mastermind revolutionary.
 
Back
Top Bottom