GE2025 Swali hili la Kiranga kwa Polepole lilipuuzwa: What is Polepole's strategy? Lilifanya Kiranga atukanwe sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
We don’t necessarily have to ignore the missteps, but I just don’t think coupling these two things sends the clearest message to the perpetrators. At the end of the day, we want to have a civilized society where people can disagree without killing each other!
But we are not talking to only the perpetrators.

This is not a letter to Mafwele.

This is a public forum.
 
Sawa, lakini hakuna aliyeliwekea mkazo hili before the fact. As far as I know, he never said he was overseas (he always said he was in Tanzania) yet no one admonished him as much as we do now.
Watu kibao wamesema hapa. Britannica kaanzisha thread kumuonya Polepole. Watu tumehoji strategy ya Polepole ni nini waay kabla hajakamatwa.

Jenerali Ulimwengu alimuuliza kuhusu usalama wake kwenye mahojiano, Polepole akajibu yeye analindwa na Mungu wa mbinguni.

What are you talking about?
 
Mange kamtukana Samia. Kamuita lesbian, nk.

Hayupo Tanzania. Akirudi tu sasa hivi, watamdaka.

Na kama angekuwa yupo Dar na kusema anayosemaga, angekuwa keshapotezwa zamani sana.

Sioni lililo gumu kulielewa hapa. No common sense tu.
Kuna watu hawataki Polepole asemwe mapungufu yake.

Wanataka false dichotomy kwamba uwe unamsifia tu Polepole na kuwalaani wasiojulikana.

Ukimchambua Polepole na mapungufu yake tu hawataki, wanaona unaharibu their perfect Utopia ya "all or nothing at all".
 
Kuna watu hawataki Polepole asemwe mapungufu yake.

Wanataka false dichotomy kwamba uwe unamsifia tu Polepole na kuwalaani wasiojulikana.

Ukimchambua Polepole na mapungufu yake tu hawataki, wanaona unaharibu their perfect Utopia ya "all or nothibg at all".
Polepole alikuwa fully aware of the risk he was taking. That’s why alikuwa anaishi kwenye closet. Hapo ndipo neno ujasiri linapoingia. They say, ujasiri sio absence of fear bali ni utayari wa kusonga mbele in the face of fear.

Watu sio kwamba walikuwa hawataki Polepole asemwe mapungufu yake. Watu walikuwa wanajaribu kujiepusha na criticisms ambazo zilikuwa na muonekano wa distraction zaidi kuliko muonekano wa hatua za ku-advance the greater mission ya kuibadilisha nchi. Kumbuka, hata hao majambazi ambao tunawapinga wanazo disagreements zao, but they don’t accentuate them to the point of undermining the future of their dynasty.
 
Acha kujaribu kufanya censorship ya kukataza criticism kutoka kwa watu ambao tunamuona Polepole kama mtu aliyekuwa reckless, ambaye alipenda umaarufu, madaraka na kufanya mambo bila strategy mpaka akakamatwa kijinga.

Hiyo greater mission hatujakubaliana tuifanye vipi and it is quite OK to point out Polepole's contradictions.

Wengine hata hatukumuona Polepole kama mtu anayepambania hiyo greater mission ya kuikomboa nchi, tumemuona anagombania power within CCM.

This was a CCM power struggle, si vita ya kukomboa nchi.

Sasa utatulazimisha vipi tumuimbie Polepole mapambio wakati wengine hatujawahi kumkubali?

Huelewi wapi?

Wengine tunawakataa ma CCM na tumemuona Polepole kakataa kuikataa CCM mpaka mwisho.

Sasa hapo tukisema huyu jamaa anaji contradict kwa kutuuzia CCM kama chama cha maana kuleta mabadiliko Tanzania tutakuwa tumekosea?

Unatulazimisha tumkubali m CCM wakati wengine hatuwataki ma CCM kabisa?
 
But we are not talking to only the perpetrators.

This is not a letter to Mafwele.

This is a public forum.
Kila anayesimama kinyume na hao majambazi anakusudia kuwapelekea clearest message kwamba njia walizochagua absolutely hazikubaliki.

Wengi wetu kama tungekuwa na sababu ya kuamini kwamba messages zetu hazimfikii Samia The Killer na majambazi wake, hata tusingepoteza muda kwenye hili eneo.
 
Kwani wewe huwezi kuwapelekea hao majambazi the clearest message ukaniachia mimi nikawaambia wengine msiende kudakwa kindezi kama Polepole bila strategy?

Mbona unataka kunipangia cha kusema katika ukumbi huru?

Kwanza huyo Polepole mimi wala sijawahi kumkubali kihivyo kama mwanamapinduzi.

Alikuwa m CCM aliyekataa kuikataa CCM mpaka mwisho. Alikuwa hawezi kujilinda anamtegea Mungu amlinde. Huo ni ujinga tu.

Kwa nini unataka kunilazimisha nimkubali unavyotaka wewe?
 
Acha kujaribu kufanya censorship ya kukataza criticism kutoka kwa watu ambao tunamuona Polepole kama mtu aliyekuwa reckless, ambaye alipenda umaarufu, madaraka na kufanya mambo bila strategy mpaka akakamatwa kijinga.

Hiyo greater mission hatujakubaliana tuifanye vipi and it is quite OK to point out Polepole's contradictions.

Wengine hata hatukumuona Polepole kama mtu anayepambania hiyo greater mission ya kuikomboa nchi, tumemuona anagombania power within CCM.

This was a CCM power struggle, si vita ya kukomboa nchi.

Sasa utatulazimisha vipi tumuimbie Polepole mapambio wakati wengine hatujawahi kumkubali?

Huelewi wapi?

Wengine tunawakataa ma CCM na tumemuona Polepole kakataa kuikataa CCM mpaka mwisho.

Sasa hapo tukisema huyu jamaa anaji contradict kwa kutuuzia CCM kama chama cha maana kuleta mabadiliko Tanzania tutakuwa tumekosea?

Unatulazimisha tumkubali m CCM wakati wengine hatuwataki ma CCM kabisa?
CCM hatujaichukia kwa sababu ni CCM. Kuna namba ndogo ya watu mle ndani wanaoifanya CCM inuke kupita kiasi. Hao ndio tunaohangaika nao.

Inawezekana wewe unaona miti, lakini mimi naona pori. Kwanini unadhani identity ya anayempiga adui yetu mkuu ni muhimu? Imetokea kwamba Polepole anawashambulia walewale ambao sisi tunawaona kama archenemies wetu. Busara ya kawaida inatuambia kwamba askari wa adui yako akiasi na kuanza kumshambulia adui yako, you don’t fight (stop) him.
 
Wewe ndiye umefanya identity kuwa muhimu mpaka mimi nikiusema ujinga alioufanya Polepole hutaki niuseme ujinga, unaona namsema Polepole.

Polepole alikuwa anataka kurudisha u Magufuli.

Bado alikuwa anampenda Magufuli mpaka mwisho

Wewe uko tayari u Magufuli urudi Tanzania chini ya Polepole na wenzake?
 
Kwani wewe huwezi kuwapelekea hao majambazi the clearest message ukaniachia mimi nikawaambia wengine msiende kudakwa kindezi kama Polepole bila strategy?

Mbona unataka kunipangia cha kusema katika ukumbi huru?

Kwanza huyo Polepole mimi wala sijawahi kumkubali kihivyo kama mwanamapinduzi.

Alikuwa m CCM aliyekataa kuikataa CCM mpaka mwisho. Alikuwa hawezi kujilinda anamtegea Mungu amlinde. Huo ni ujinga tu.

Kwa nini unataka kunilazimisha nimkubali unavyotaka wewe?
Huhitaji kumkubali Polepole, lakini pia huhitaji kuzikataa au kuzififisha attacks zake kwa adui zako!
 
Usinipangie nini cha kukubali na nini cha kukataa, huu ni uwanja huru.

Wewe unapigania ukombozi wa nchi na uhuru halafu hujui dhana nzima ya watu kuwa huru kujieleza, kupingana mawazo, etc.

Polepole mimi simuoni mkombozi kama unavyomuona wewe. Mimi namuona kajanja tu aliyekuwa anagombania madaraka ndani ya CCM.

This was pretty much an internal CCM power struggle, nyie wengine mmetekwa akili tu na Polepole kufikirishwa P9lepole aliwapigania. Polepole hajawahi kuukataa udhalimu wakati rafiki yake Magufuli alip9kuwa rais, anacjokataa sasa hivi ni rais juwa Samia, si udhalimu wa CCM.

Rais angekuwa mtu wa "Sukuma Gang" rafiki yake Polepole anafanya udhalimu I doubt it Polepole angesema kitu.

Angeendelea kutukoga tu "Unaijua Vieeiti?"

Sasa unanilazimisha vipi nimkubali mtu ambaye simkubali?

Huelewi wapi?
 
Usinipangie nini cha kukubali na nini cha kukataa, huu ni uwanja huru.

Wewe unapigania ukombozi wa nchi na uhuru halafu hujui dhana nzima ya watu kuwa huru kujieleza, kupingana mawazo, etc.

Polepole mimi simuoni mkombozi kama unavyomuona wewe. Mimi namuona kajanja tu aliyekuwa anagombania madaraka ndani ya CCM.

Sasa unanilazimisha vipi nimkubali mtu ambaye simkubali?

Huelewi wapi?
Umesoma na kuelewa nilichoandika?
 
Umesoma na kuelewa nilichoandika?
Wewe ni nani unipangie mimi nahitaji na sihitaji nini?

Na kwa nini ninachohitaji na nisichohitaji kiwe muhimu kuliko ninachotaka kufanya?

Mimi sihitaji kuwa JF sasa hivi najibizana na wewe.

Lakini nataka kufanya hivyo.

Sasa utasema nisibishane na wewe kwa sababu sihitaji kubishana na wewe wakati mimi nataka kubishana na wewe?

Kwa nini unataka kuniwekea mipaka wakati hata hatujakubaliana kifalsafa?

Unachosimamia wewe si ninachosimamia mimi.

Unapata wapi mamlaka ya kuniwekea mipaka?
 
Nashuhudia pambano kali hapa, orthodox vs South paw.
Hapa naona contradiction tu.

Mtu anataka uhuru na ukombozi pale anapoona ana jambo lake kaonewa, lakini mtu yule yule hataki uhuru wa mawazo kwa watu wengine waliotofautiana na yeye.

Anataka tusimseme vibaya Polepole. Kwa lazima. Kwa kulazimisha yeye.

Huyu mtu ni opportunist tu, huyu si mtaka uhuru kweli.

Hapa hajapata mamlaka tu kashaanza censorship. Hajapata hata u Moderator wa JF kashaanza censorship.

Imagine ukimpa nchi mtu kama huyu atakuwaje?
 
Wewe ni nani unipangie mimi nahitaji na sihitaji nini?

Na kwa nini ninachohitaji na nisichohitaji kiwe muhimu kuliko ninachotaka kufanya?

Mimi sihitaji kuwa JF sasa hivi najibizana na wewe.

Lakini nataka kufanya hivyo.

Sasa utasema nisibishane na wewe kwa sababu sihitaji kubishana na wewe wakati mimi nataka kubishana na wewe?

Kwa nini unataka kuniwekea mipaka wakati hata hatujakubaliana kifalsafa?

Unachosimamia wewe si ninachosimamia mimi.

Unapata wapi mamlaka ya kuniwekea mipaka?
Unawaka bure; hakuna anayekupangia. Ni misunderstanding yako.

Kwa kauli yako, huwakubali CCM, lakini subconsciously unawapa leverage. That’s OK, ni chaguo lako. Mpo wengi wa aina hiyo.
 
Hapa naona contradiction tu.

Mtu anataka uhuru na ukombozi pale anapoona ana jambo lake kaonewa, lakini mtu yule yule hataki uhuru wa mawazo kwa watu wengine waliotofautiana na yeye.

Anataka tusimseme vibaya Polepole. Kwa lazima. Kwa kulazimisha yeye.

Huyu mtu ni opportunist tu, huyu si mtaka uhuru kweli.

Hapa hajapata mamlaka tu kashaanza censorship. Hajapata hata u Moderator wa JF kashaanza censorship.

Imagine ukimpa nchi mtu kama huyu atakuwaje?
Watu wengi hawako familiar na kitu kinacho itwa uhuru, wana dhani ni kuwasilisha yale wanayo hisi wao ni sawa au malalamiko yao ndio madai ya uhuru wenyewe.

hawajui au kujali pande ya pili kuwa ina maoni yaliyo tofauti na yao, contradiction mix.
 
Hata ndoto ya kutafuta fursa ya kisiasa haijawahi kunitokea. Pia, kwa circumstances zangu, sina hata uwezekano wa kuwa mwanasiasa wa Tanzania.
 
Unawaka bure; hakuna anayekupangia. Ni misunderstanding yako.

Kwa kauli yako, huwakubali CCM, lakini subconsciously unawapa leverage. That’s OK, ni chaguo lako. Mpo wengi wa aina hiyo.
Hakuna anayewaka. Wewe tu hujazoea mijadala iliyo passionate.

Wewe ndiye unawapa leverage CCM, umeshapigwa propaganda na Polepole kuwa CCM ina watu wazuri wengi wabaya wachache.

Polepole angeweza kumtoa Samia akamuweka jambazi mwingine wa CCM, angekuchota akili ungeweza kumpigia kura.

Kama mlivyochotwa akili wakati Magufuli anaingia alivyotoka Kikwete.

Halafu na huyo jambazi mwingine wa CCM angerudia kuwachinja vilevile, mngelialia upya.

Huelewi wapi hii ni script inajirudia kila mara?
 
Watu wengi hawako familiar na kitu kinacho itwa uhuru, wana dhani ni kuwasilisha yale wanayo hisi wao ni sawa au malalamiko yao ndio madai ya uhuru wenyewe.

hawajui au kujali pande ya pili kuwa ina maoni yaliyo tofauti na yao, contradiction mix.

Watanzania wengi kama huyu hawajui uhuru ni nimi.

Wapinzani na ma activist wengi wa Tanzania ndiyo wako hivyo.

Wanafikiri wanapigania uhuru kumbe wanapigania ubinafsi.

Watanzania wengi bado wana mentality ya kupigania kupanda daladala. Kila mtu anapigania haki yake ya kupanda daladala bila kuangalia haki ya mwingine.

Matokeo yake sehemu ya watu kuchukua dakika tano kupanda basi kwa kupanga mstari watu wataminyana na kuchukua dakika kumi bila kupanga mstari

Jamii yenye umasikini ni vigumu sana watu kuelewa uhuru ni nini. Kwa sababu watu wengi wana anxiety inayotokana na poverty. Umasikini.

Mtu masikini mwenye poverty anxiety mara nyingi ni mtu asiyeweza kumfikiria mwingine.

Atawezaje kufikia introspection na level ya kumfikiria mwingine wakati yeye mwenyewe ana anxiety ya umasikini?

Ukiwaambia watetee uhuru wa mashoga kutoingiliwa, watu ambao hawakubaliani nao, ndiyo utajua kuwa hawapiganii uhuru wanapigania ubinafsi.

Ukiwaambia piganieni uhuru wenu msivuruge uchaguzi, kuna watu wameamua kushiriki katika huu uchaguzi na wao wana haki zao, msizivuruge, bila kujali uchaguzi ni halali au la, ndiyo utajua hapa kuna mpaka ma terrorists wanajifanya wapigania uhuru tu.
 
Back
Top Bottom