Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Aisee. It all makes sense now.Mimi ni wakili tunajuana. "Mtu wa kawaida" akimsikiliza kibatala/Madeleka vs. Majura Magafu kwa mfano in a criminal matter watamchukua Madeleka lakini wanasheria tunajua mziki wa Majura kwenye criminal matter
Sasa unaona huyo Majura Magafu wenyewe mawakili mnamkubali sana lakini huku kwenye public hajulikani sana kama Madeleka na Kibatala.
Nilishangaa sana ulivyonikubalia hoja yangu. Kwa sababu ni watu wachache sana nje ya jumuiya ya mawakili Tanzania wanaojua mambo haya.
Sasa unavyoniambia wewe ni wakili ndiyo naelewa umejuaje mambo haya ambayo ukiondoa mawakili, majaji, watu wa karibu sana na mahakama na TLS members ni Watanzania wachache wanaoyaelewa.
It all makes sense now.