Clayton Paul
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 2,284
- 4,858
Max Mello atalia sn akiona umerudia tabia zako alizoomba uziacheUnakazwa
Max Mello atalia sn akiona umerudia tabia zako alizoomba uziacheUnakazwa
Ah Humu watu wanakera sana aisee, cjui wana matatizo gani ya akili.Max Mello atalia sn akiona umerudia tabia zako alizoomba uziache
"Maana kusema serikali tu kila mtu anaweza, lakini then what?"Ni swali la kidhahania, si lazima aseme. Aseme, asisema, swali lipo tu.
Kwa sababu kinachojadikiwa ni hoja, si mtu.
Mfano Fidel Castro alipovamia Cuba na Che Guevara mkakati wao ulikuwa wa kijeshi mpaka wakaichukua nchi.
Mandela na ANC walikuwa na mkakati wa kuwabana makaburu kwa vijwazo vya kinataifa, migono ya ndani, maandamano, mpaka kikaeleweka.
Ndiyo tukauliza, huyu Polepole ana mkakati gani?
Maana kusema serikali tu kila mtu anaweza, lakini then what?
It turns out Polepole si tu hakuwa na mkakati wa kukomboa nchi, hakuwa hata na mkakati wa kujilinda yeye mwenyewe.
Watanzania wengi wanapenda kufanya mambo kwa emotions, bila logic, bila mkakati, bila intentionality.
Polepole wengine walifikiri kavuka maisha hayo, lakini matukio yameonesha yuko palepale tu.
Maswali yako yalikuwa na msingi ungemuuliza akiwa hajatekwa ulipanga kumtuliza?Tunaongelea hoja, si lazima Polepole amjue Kiranga.
Ila, watu wanaomfuatilia Polepole ni muhimu waelewe Polepole ni nani?Anataka nini? Anachotaka anatumia mbinu gani kukipata? Je, kwa mbinu hizo atafanikiwa? Au anaj8pa matumaini tu bila mkakati wa kueleweka?
This way, hata kama mtu anataka kumsaidia Polepole anaweza kumsaidia vizuri kwa kuelewa mpango mzima.
Au mtu anayetaka kumkosoa Polepole, anaweza kumkosoa kimantiki si kwa muhemko tu.
Si kumfuata mtu kwa kushabikia mambo kindezi tu halafu mnaishia kutekwa na kuuawa.
Ushaelewa?
Ili apuuzwe kuwa yupo nje ya nchi kama Paulo na mama jana walivyosemaAlipaswa kuishi nje ya Tz kama wenzie akina MangeKimambi. Lakini unakaa Tz unainanga Serikali, hata Agustino Polepole (kaka yake), akifika bei anakuuza tu
Exactly.Mkuu unachosema ni kweli, na ndio haswa kinaniwazisha. Gwajima nilijua kakurupuka. Lakini Polepole kakaa kwenye system, nilijua vita yake kaipanga vizuri, hata niliamini ana watu wakubwa wa system nyuma yake.
Lakini baada ya kutekwa ndio naona kafanya errors nyingi ndogo ndogo ambazo kwa mtu wa system kama yeye hakupaswa kufanya.
Kwamba alipanga kuongea tu? alete mageuzi kwa kuongea?
Kwamba angejificha milele?
Kwamba asingeishiwa pesa au mahitaji? maana hakuwa na kazi tena.
Kwamba alisema yote aliyotaka kusema? je wangemkamata kabla hajasema yote?
Mifumo ya Ulinzi, CCTV, choice of hiding place, personal weapons, hivi vyote alizingatia?
Hakuandaa hata tape ya kublackmail watesi wake incase amekamatwa imsaidie?
Nani ana nguvu yupo nyuma yake anaweza kumsaidia kumsemea au kushinikiza aachiwe?
Kwamba kaacha kazi sababu ya harakati ambazo ziko doomed kufeli tangu day 1?
Hujaelewa hoja.Maswali yako yalikuwa na msingi ungemuuliza akiwa hajatekwa ulipanga kumtuliza?
Kila mtu anaweza kuisema serikali. Hiyo ni haki ya kikatiba. Sijaongelea ukitumia uwezo huo kitatokea nini nazungumzia kila mtu anaweza kuisema serikali."Maana kusema serikali tu kila mtu anaweza, lakini then what?"
Hapa ulimaanisha diaspora au tuliomo ndani mkuu?....
Maana wanaoisema waziwazi wanahesabika kwa hiyo kuona alichofanya polepole ni kitu rahisi, sio kweli.
By the way, watanzania wengi wetu ni good analyst kwa watu wanaofanya mambo ambayo sisi binafsi hatuwezi. Utaskia huyu alitakiwa kufanya hivi ama alitakiwa kufanya vile but kama mtu unaliona tatizo na unaijua njia sahihi ya kulifanya. Kwa nini usifanye mwenyewe
Kwa nini uwakosoe watu kufanya kitu ambacho wewe unaweza kukifanya kwa ubora zaidi yao na bado ukaacha kukifanya??
Ulimuuliza wewe directly?Hujaelewa hoja.
Haya maswali si kwa Polepole tu.
Ni maswali kwa watu wote. Najadili hoja sijadili mtu.
Polepole kaulizwa hayo maswali lakini hakujibu alisikiliza tu.
Kwa nini mpaka nimuulize mimi directly wakati hapa kitu muhimu ni hoja, si mini?Ulimuuliza wewe directly?
Tusubiri, labda Kibatala ana kitu. Siamini kama anaweza kwenda mahakamani mikono mitupu.Exactly.
Watu wengi Tanzania wanaweza kuongea zaidi ya kingine chochote.
Na hawa viongozi Watanzania wana wa overrate, wanafikiri kwamba kwa kuwa wamepata uongozi watakuwa smart saana.
Kumbe matukio kama haya yanaonesha ni wa kawaida tu.
Polepole aliamini Mungu wake wa mbinguni atamlinda.
Kama unavyosema, kashindwa hata kuacha tape yenye incriminating evidence na cache la documents la kuwamaliza watesi wake?
Yani alikuwa anakwenda kindezi bila strategy akijificha Dar es salaam kwa nyumba ya kupangiwa na ndugu zake, anaingia mitandaoni anakwenda live, halafu anategemea watekaji hawatamdaka kweli?
Is this the mastermind wa kuchora plan ya kukomboa nchi?
Kuwa na kitu ni jambo moja.Tusubiri, labda Kibatala ana kitu. Siamini kama anaweza kwenda mahakamani mikono mitupu.
Wacha tumsikie, sidhani kama nae ni mjinga. Kinachonifurahisha kuhusu yeye hapigi kelele, matendo yanaongea.Kuwa na kotu ni jambo moja.
Kuweza ku prove ni jambo lingine.
Mahakama kukubali kuwa hiyo ni proof ya kutosha ni jambo tofauti kabisaa.
Acheni, huu ni ujuaji wa after the fact! Polepole siku zote alikuwa akisema yuko nchini. Kwanini hukuhoji wakati huo?Kwanini polepole alibaki nchini alijiamini nini? Ili iweje
Hata Polepole mwenyewe mlisema "sidhani kama nae ni mjinga".Wacha tumsikie, sidhani kama nae ni mjinga. Kinachonifurahisha kuhusu yeye hapigi kelele, matendo yanaongea.
Couldn't agree more. Kibatala ni maarufu kwa sababu ya kesi za kisiasa. ila kwa wabongo wanaona ni wakili mzuriHata Polepole mwenyewe mlisema "sidhani kama nae ni mjinga".
Matokeo yake tumeona kadakwa kijinga tu.
Hiyo si hoja ya kimantiki.
Watanzania wengi wana tabia ya ku overrate sana watu kwa superficial things na appearances tu.
Kibatala kawapiga ma diaspora wamempa hela zao halafu kazi hajafanya ni janjajanja tu, kwa hiyo kwa standard ya wakili mwenye kujali reputation yake, Kibatala is not all that.
Tatizo Watanzania wengi wanafikiri wakiki akiwa maarufu kama Kibatala au Madeleka maana yake ni kuwa hiyo ni wakiki mzuri.
Wakati ukikaa na mawakili wenyewe wanakuambia kuna mawakili wana maneno mengi na ni hodari kukimbilia kesi maarufu lakini hawana uwezo mkubwa.
Mtafute wakili Matojo akupe rankings za mawakili Tanzania. Halafu muukize anawaonaje Peter Madeleka na Kibatala. Umsikilize.
Na kuna mawakili wana uwezo mkubwa si maarufu hivyo.
Kibatala ana mzigo mkubwa wa burden of proof.
Na hata akifikisha burden of proof ana mzigo mkubwa zaidi wa kupingana na mahakamani inayoendeshwa kwa amri kutoka juu.
I am glad there are more people seeing this.Couldn't agree more. Kibatala ni maarufu kwa sababu ya kesi za kisiasa. ila kwa wabongo wanaona ni wakili mzuri
Mimi ni wakili tunajuana. "Mtu wa kawaida" akimsikiliza kibatala/Madeleka vs. Majura Magafu kwa mfano in a criminal matter watamchukua Madeleka lakini wanasheria tunajua mziki wa Majura kwenye criminal matterI am glad there are more people seeing this.
Hii writ ya Habeas Corpus sioni ikienda popote. Unless anaweza kuthibitisha Polepole yupo mikononi mwa vyombo vya serikali.
In which case angetakiwa kutujulisha hilo kwa sababu kesi hii inalindwa sana na public opinion.