Swali: Hivi kwa sisi wazazi ukisikia mtoto wako wa kiume anavuta sigara, unamkanyaje?

Hivyo, muweke mbali na makundi na hata mazingira yanayomshawishi kutumia vilevi hivyo. Mpige marufuku kuambatana na aina ya marafiki unaodhani wanamshawishi.
Sigara haihusiani na makundi ya peer pressure labda ungesema bangi Ila Sigara sio issue ya peer groups, Sigara ni maamuzi ya mtu binafsi nivute au nisivute Sigara haivutwi kwa kificho km ilivyo bangi hakuna anaekulazimisha uvute Sigara ni wewe mwenyewe unaamua especially adolescents wenye curiosity nyingi za kujaribu jaribu Mambo Ila bangi ni ushawishi wa peer groups wanakushawishi hakuna mvuta bangi anaevuta peke yake au anaefurahia kuvuta peke yake Ila mvuta Sigara hufurahi kuvuta peke yake wala haitaji kijiji,
 
Shuleni yuko powa sana, amepiga division ya uhakika, off course nikisema nainvest kwa Watoto yani namaanisha kweli.

Nimempeleka moja ya shule expensive Bongo in option University asome Overseas hii ndio inanitisha.

Nimegunduwa ana urafiki na school mates ambao Wazazi wao ni high profile Bongo hawanaga uangalizi kwa Watoto huu ujinga ndio anajifunza huko.

Kitu naogopa sana kwa first degree kumpeleka mtoto overseas unabet either ufanikiwe au aharibikiwe mazima, maana overseas University level unajiongoza mwenyewe ni hatari sana.

Nimeanza struggle za maisha ulaya nikiwa mtoto Mdogo sana nayajuwa vizuri madhara yake.

Na isitoshe pia nayajuwa vizuri madhara ya Bongo kwenye mfumo huu wa Ccm ndio hatari zaidi, sasa unaweza kuona niko njia panda hapo, je huyu mtoto ataweza kujisimamia mwenyewe overseas ikiwa yupo Nyumbani kwangu na ameanza mambo ya siri akiwa bedroom kwake? Naanza kufikiria degree yake afanye Tanzania, najuwa vizuri kinachoendelea kwa Watoto wengi kufanya first degree overseas, nimeishi hayo maisha kwa miaka mingi najuwa vingi.
 
Safi sanaa.. wengine wazazii wetu hata wazo la kuvuta haliwezi kukujia aiseee[emoji28][emoji28][emoji28] Yani unaweza pigwaa nusuu kufaaa maana utazimiaaaaa..
 
Halafu hapo anaweza kuja mama yake akakuambia acha kumfokea mtoto...au anakuambia hayo sio maneno ya kumuambia mtoto
 
Kwa afya ya future yake acha first degree aifanyie hapa hapa home! Kuhusu kuvuta sigara ni afadhali kubwa sana kuliko kama angekuwa na dalili za upinde

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzazi unavuta?
Nyumbani kwangu ni no smoking zone, iko hivyo miaka yote hata uwe rafiki yangu sigara Nyumbani kwangu ni marufuku utavutia nje au subiri tukifika pub hata Mimi naweza kupiga ile ya kusindikizia kamnyweso.
 
Mkuu kama mzazi inaumiza sana mtoto kudevelop tabia ambazo ni hatarishi katika malezi hasa kwa hii dunia ngumu ya sasa, huyo asome tu hapahapa chuo ili atleast uweze kuwa nae karibu......mimi huwa nikisali nawaombea wazazi wote na walezi Mungu atupe maisha marefu ili tuweze kulea watoto wetu angalau wafike hatua ya kujiongoza
 
mimi huwa nikisali nawaombea wazazi wote na walezi Mungu atupe maisha marefu ili tuweze kulea watoto wetu angalau wafike hatua ya kujiongoza[emoji1545][emoji419][emoji375][emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamwaga petrol kwenye Moto italipuka pamoja na wewe,
Hakuna kitu kama hicho, kuna wakati ni lazima usimame kama mkuu wa familia na yeyote anayetaka kuchallenge authority yako ni lazima umuadabishe hadharani hapo nyumbani na hiyo ni warning kwa family members wote kwamba hutaki mzaha wala utani kwenye kuiweka familia kwenye mstari.

Baba ndio mfalme kwenye familia, never let no one to challenge your authority kwenye serious business.
 
Wewe unashabikia yanga unataka mwanao afanye nini
Anyway Kuna jamaa namfahamu anafanya kazi NMB wilaya frani,ni very smart ila anakula chigga,kiukweli hua namdharau mnoooo
 
Yaani hapo ndo atamharibu kabisaaa .atafikia kula unga ..wala asimtumue...amuonye na kumuonesha madhara yake
 
Wewe unashabikia yanga unataka mwanao afanye nini
Anyway Kuna jamaa namfahamu anafanya kazi NMB wilaya frani,ni very smart ila anakula chigga,kiukweli hua namdharau mnoooo
Hakuna tatizo lolote kwa adult mwenye maisha yake na kazi yake kuvuta sigara.

You're listening too slowly.
 
Kweli kabisa huwezi kuwekeza kwa mtu anae kufa kesho kwa ugonjwa wa mapafu ....hapa amtelekeze kama mwaka mmoja hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…