Pearce
JF-Expert Member
- Dec 15, 2018
- 732
- 1,746
Wakati huo SADDAM HUSSEIN akiwa kama KOBAZI mkuu Middle East alianza kuunda siraha za NUKES na zingine za sumu.
Hile project iliishushwa ikawa vifusi na SADDAM HUSSEIN akarusha SCUD missles kupiga ISRAEL....baada ya hapo ISRAEL ilitulia na SADDAM hakusikika tena na hizo Project na Wayahudi wakaachana nae
Sasa swali linakuja je Vinu vya IRAN vimelipuliwa au havijalipuliwa?
Viongozi wao wasisi wa Mapinduzi hasa wa kijeshi, wamefyekwa au hawajafyekwa. Ayatollah je anakatisha mitaa ya TEHRAN kwa uhuru tena?
Kwa hiki kilichoipata IRAN ni suala la muda tu inakwenda kuwa SYRIA, LIBYA au IRAQ ya Leo. Anga halina ulinzi sio rahisi kutambua Nani kakupiga kwenzi. Kipropaganda ataendelea kulaumu MAZAYUNI yanahusika.
Na Kuna siku litapigwa MISSLE pale Jerusalem litapiga msikiti wa AL QUDS na IRAN atabisha sana kuhusika lakini ndio hautajengwa tena.