Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Mje huku msijificheKwahiyo wewe una akili zaidi ya Iran wenywe waliolia na kulipiza kisasi kwa kurusha makombora kwenda Qatar sababu US imepiga vinu vyao vya nukes?
Mje huku msijificheKwahiyo wewe una akili zaidi ya Iran wenywe waliolia na kulipiza kisasi kwa kurusha makombora kwenda Qatar sababu US imepiga vinu vyao vya nukes?
1. Hio sio Nyuklia bali research ya Nyuklia, research kila mtu anaweza fanya hii Ramani ya Dunia ikionesha nchi zenye research ya Nyuklia.Ukiacha hilo la Saddam kutokuwa kobaz extremist mengine umeandika uongo mwingi sana.
Jifunze kuhusu Operation Opera/ Babylon,
Trump ana upinzani pia huko kwake.Mje huku msijifiche
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Trump ana upinzani pia huko kwake.
Ni sawa na hapa ccm hata ifanye zuri gani chadema itapinga tu.
Yani B 2 zipige hapo pabaki salama?
Wanaosema hivo wengi ni Democrat ambao kwao Trump ni paka na wao ni panya