Swali: Iran bado ina vinu vya nukes? Kakamilisha kuunda silaha?

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Wakati huo SADDAM HUSSEIN akiwa kama KOBAZI mkuu Middle East alianza kuunda siraha za NUKES na zingine za sumu.

Hile project iliishushwa ikawa vifusi na SADDAM HUSSEIN akarusha SCUD missles kupiga ISRAEL....baada ya hapo ISRAEL ilitulia na SADDAM hakusikika tena na hizo Project na Wayahudi wakaachana nae

Sasa swali linakuja je Vinu vya IRAN vimelipuliwa au havijalipuliwa?

Viongozi wao wasisi wa Mapinduzi hasa wa kijeshi, wamefyekwa au hawajafyekwa. Ayatollah je anakatisha mitaa ya TEHRAN kwa uhuru tena?

Kwa hiki kilichoipata IRAN ni suala la muda tu inakwenda kuwa SYRIA, LIBYA au IRAQ ya Leo. Anga halina ulinzi sio rahisi kutambua Nani kakupiga kwenzi. Kipropaganda ataendelea kulaumu MAZAYUNI yanahusika.

Na Kuna siku litapigwa MISSLE pale Jerusalem litapiga msikiti wa AL QUDS na IRAN atabisha sana kuhusika lakini ndio hautajengwa tena.
 
Viongozi wahandamizi wa Mapinduzi nitajie waliosalia?

Halafu nitajie maeneo ya kimkakati ambayo IRAN kaharibu hapo ISRAEL MI naona anapiga majengo, ambayo yatarekebishwa ndani ya muda mfupi

Unawasikia HAMAS, HEZBOLLAH, HOUTHI?
 
Kweli kamanda hvo viwanda hata mimi nimeviona jana hapa Israel kama wewe, vimeisha mazima 😂😂😂
 
Viongozi wahandamizi wa Mapinduzi nitajie waliosalia?

Halafu nitajie maeneo ya kimkakati ambayo IRAN kaharibu hapo ISRAEL MI naona anapiga majengo, ambayo yatarekebishwa ndani ya muda mfupi

Unawasikia HAMAS, HEZBOLLAH, HOUTHI?
Iran wote ni waandamizi na ndio maana leo wameandamana wakifurahia,
Pia hata kuuliwa kwa viongozi haijazuia kitu katika mashambulizi na wanasayansi mbona hawajaanza kuuliwa leo wala jana.

Kwa ufupi hii mbungi bado mbichi na Iran bado ana nafasi ya kipata nyuklia kwa kiwango kikubwa
 
1. Jifunze kuandika

2. Saddam hajawahi kuwa "kobazi" kama unavyoandika bali alikua ni mfuasi wa baath aka Baathism ambao ni mfumo wa Michel Aflaq, mwarabu ila Mkristo. Baathism ilikua ni Pan Arab na sio mfumo wa kiislamu.

3. Sadam na Nukes wapi na wapi? Nyuklia sio nywele kila mtu ana zake, nchi zenye Silaha za Nyuklia zipo 9 tu Duniani.

4. Iran hana shida ya silaha za Nyuklia, angetaka angeshakua nazo, Fatwa ya Khamenei amekataza kutengeneza Nyuklia as ni Silaha ambayo haiendani na mafundisho Ya kiisilamu, Wana Nyuklia kwa ajili ya matumizi ya Amani kama source ya Energy etc.

5. Nyuklia za Iran mpaka leo hazijulikani zilipo zimefichwa, so hazijaharibiwa.
 
Kweli kamanda hvo viwanda hata mimi nimeviona jana hapa Israel kama wewe, vimeisha mazima 😂😂😂
Ukilipua Kiwanda cha Nyuklia ujue eneo kubwa kama wilaya ama Mkoa Linaathirika lote, hakuna Nyuklia iliolipuliwa Iran.

Miaka 60 iliopita ufaransa alitest Nyuklia Algeria mpaka leo eneo halikaliki,

Hapo Iran allegedly wana kilo 400 ambazo ni roughly mara 6 mpaka 7 ya Nyuklia iliolipuliwa Hiroshima ambayo ilikua kg 64. Kilo 400 zingeleak shughuli yake si ya kitoto.
 
Hujui hata unaongea nini.
 
Mi nashangaa wanavyojitapa hapa wamepiga kinu cha nyuklia

Jf ya leo vilaza ni wengi mno
 
Ndugu kuna watu akili zao kama tikiti maji unaweza kulikuta kubwa lakini ndani hamna kitu ndio hawa wanao dhani Israel kashinda.

Wengine wanauliza Iran kafanya nini hahaha Israel alijipanga hii vita miaka 20 katoka tupu. USA kuingilia vita ni sababu Israel alisha zidiwa.


View: https://youtu.be/BulVYzmuskI?si=S53P0Tf8iKdrV4S5

View: https://youtube.com/shorts/HUgLljI0MCs?si=WVyKdrNPUH6E6ND6
 
😂 😂 😂
Ayatollah akiona hivi atakutukana sana
 
Mi nashangaa wanavyojitapa hapa wamepiga kinu cha nyuklia

Jf ya leo vilaza ni wengi mno
Kwahiyo wewe una akili zaidi ya Iran wenywe waliolia na kulipiza kisasi kwa kurusha makombora kwenda Qatar sababu US imepiga vinu vyao vya nukes?
 
Kwahiyo wewe una akili zaidi ya Iran wenywe waliolia na kulipiza kisasi kwa kurusha makombora kwenda Qatar sababu US imepiga vinu vyao vya nukes?
Kulipa kisasi ni lazima kwa mwanaume anae jiweza hata ukimtisha tu ujue italipwa aisee Iran ana vibe la kipekee sana
 
Aibu ulichoandika kabla ya Ayatollah unadhani ni Nani alikuwa wa kwanza kuunga the course ya Palestne na kobazi Ulimwenguni.

Kasome Yasser Arafat na Saddam Hussein mahusiano Yao na dhana ya Intifada.

Shule muhimu Kobazi
 
Aibu ulichoandika kabla ya Ayatollah unadhani ni Nani alikuwa wa kwanza kuunga the course ya Palestne na kobazi Ulimwenguni.

Kasome Yasser Arafat na Saddam Hussein mahusiano Yao na dhana ya Intifada.

Shule muhimu Kobazi
Wote Yaser Arafat na Sadam walikua ni Baath,

1. Yaser Arafat aliungwa Mkono na hadi Nyerere
2. Yaser Arafat alikua na Mke Mkristo na Circle yake kubwa ni Wapalestina wakristo.
3. Israel Walianzisha Hamas kundi la kiisilamu at that time kupambana na Yaser Arafat.

Na unajua maana ya Intifada? Ama sababu umeona ni neno la kiarabu basi unajua ni dini, intifada inamaanisha uprising, kitendo cha wananchi kuingia barabarani kupinga serikali ni intifada.

Long story short Yaser Arafat alikua ni mjamaa, same block na kina Nyerere, China, etc
 
Iran akili kubwa na tayari kashamwachia deal la nyuklia mrusi
Haya marekani atie mguu tena
 
Ukiacha hilo la Saddam kutokuwa kobaz extremist mengine umeandika uongo mwingi sana.
Jifunze kuhusu Operation Opera/ Babylon,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…