1. Hio sio Nyuklia bali research ya Nyuklia, research kila mtu anaweza fanya hii Ramani ya Dunia ikionesha nchi zenye research ya Nyuklia.
Almost Dunia nzima wana research za Nyuklia
2. Hio ya Saddam ilifanywa na wafaransa na hakuna ushahidi wowote wa kuwa tayari ama kutumika kwenye issue yoyote tofauti na umeme
3. Kugenerate energy na kutengeneza silaha za Nyuklia ni vitu viwili tofauti ukitengeneza silaha Approach ni nyengine kabisa tofauti na umeme, Soma utofauti baina ya Plutonium 239 na Uranium 235.