Mkuu hili suala linaongelewa sana na watu ndio maana nimeuliza kiongozi labda Kuna Sheria Ina ifavour jambo hiliWe ushakuwa mtu mzima vitu vingine sio vya kuuliza unaonekana hamnazo mbeel za watu ilo swali labda aulize mtt wa shule ya msingi tena darasa la 4 kurud chini ss we unafikiri ita2ezekana vp
Dah, ngoja tu nchi iuzwe kila mtu achukue chake ๐ ๐Nilipata sasa ๐๐๐
Iuzwe mara ngapi?Habari wanajf
Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"
Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa pamoja kukubali au kukataa nchi iuzwe na waliopiga kura kukubali wanashinda na hivyo nchi inapigwa mnada na hela iliyopatikana inagawanywa kwa idadi ya wananchi na hapo watu wanatafuta sehemu za kwenda kuishi na kutumia hela zao
Member wenzangu wa JF naomba mnisaidie je huu uwezekano upo???
ASANTENi
Hatutaanza sisi na hatutakua wa mwisho๐คฃ๐คฃKumbe mpaka Kuna maeneo yashawahi kuuzwa kwa nchi nyengine
Unataka iuzwe mara ngapi wakati kila kitu kiko wazi. Wachina na Waarabu sasa wanajinoma kama vile ni shamba la chizi au bibi.Habari wanajf
Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"
Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa pamoja kukubali au kukataa nchi iuzwe na waliopiga kura kukubali wanashinda na hivyo nchi inapigwa mnada na hela iliyopatikana inagawanywa kwa idadi ya wananchi na hapo watu wanatafuta sehemu za kwenda kuishi na kutumia hela zao
Member wenzangu wa JF naomba mnisaidie je huu uwezekano upo???
ASANTENi
Hata Greenland kuna tetesi nilisikia Us wanataka kuinunua toka kwa DenmarkKumbe mpaka Kuna maeneo yashawahi kuuzwa kwa nchi nyengine
Namchukua Rasi tunaenda zetu Spain ๐ ๐Utaenda nchi Gani sasa kula percent zako๐