Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

Alaska mmarekani alifika bei russia akapita na kibunda.trump anapenda marekani inunua kisiwa cha green land.so biashara inawezekana.ndio mana izrael wako lazi wakanunue eneo nchi yoyote ili kuwahamisha watu wa GAZA
 
Habari wanajf

Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"

Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa pamoja kukubali au kukataa nchi iuzwe na waliopiga kura kukubali wanashinda na hivyo nchi inapigwa mnada na hela iliyopatikana inagawanywa kwa idadi ya wananchi na hapo watu wanatafuta sehemu za kwenda kuishi na kutumia hela zao

Member wenzangu wa JF naomba mnisaidie je huu uwezekano upo???

ASANTENi
Sultan wa Zanzibar alimuuzia Muingereza ukanda wote wa Pwani ya Tanzania bara kuanzia Tanga hadi Mtwara
 
Back
Top Bottom