Hapo Sawa.Ukirud school utapropose motion mjadili kwenye debate na madogo wenzako.Hamna ila me Nina suspension
Hapana tuwafungie kwa maombi huwenda wakatangaza kesho asilimia yetu😂😂😂Kumbe wengine wanatuchora tuandamane swahiba
Nchi kavu nyingi sana zimeuzwaNchi yoyote ile kama Tanzania Ukraine na nyengine
Daah 😂😂😂 kwahiyo watu wa dar es salaam watapata wote au sijaelewaNchi inauzika tena kwa bei nafuu ila shida n kuwa ww mtu wa kutoka kazuramimba na tandahimba hautapokea chochote wapo watakaopokea kwa niaba yako na ww utageuzwa kuwa manamba🤣🤣
Ee bhana ee dar wao watapata harufu ya ubwabwa tu😀Daah 😂😂😂 kwahiyo watu wa dar es salaam watapata wote au sijaelewa
Aanh kwahiyo ni kura zetu ndio zinaamua hili jambo litokeeYes inawezekana nchi kuuzwa kaka kabisa Hilo lipo na HIYO shoo YOTE anasimamia raisi TU au kiongozi yoyote mkubwa. Japo mchango WA raia ni mkubwa Ina maana RAIS akitaka kuuza raia WAKAGOMBA nchi haiuzwi mkubaliane WOTE kwanza. Nikama marekani alivo taka KUNUNUA sehemu ya kisiwa kinachomilikiwa na Denmark, wakamkatalia, Ina maana raia wote wakiridhia mkuu inapogwa bei.
TAKUPA MFANO MDOGO SANA, KLABU ya Chelsea iliuzwa na mmiliki, mnunuzi mpya WA Chelsea HAkUA shabiki WA mpira hivo akawaambia mashabiki wasimpangie cha kufanya YEYE anabomoa uwanja na kufanya shughuli nyingine, weweeee mashabiki WAKAGOMBA mkuu kilinuka mahakamani KILA SIKU MPAKA kilieleweka YANI HELA Yako BADO WATU wanakupangia cha kufanya
Full stop
Kwishaaaaa
Elon Musk atanunua.Habari wanajf
Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"
Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa pamoja kukubali au kukataa nchi iuzwe na waliopiga kura kukubali wanashinda na hivyo nchi inapigwa mnada na hela iliyopatikana inagawanywa kwa idadi ya wananchi na hapo watu wanatafuta sehemu za kwenda kuishi na kutumia hela zao
Member wenzangu wa JF naomba mnisaidie je huu uwezekano upo???
ASANTENi
Mkuu ni NGUMU SANA WOTE kukubali ila kama tutaridhia WOTE hakuna kinacho shindikana mkuu.tutahamia ma mars huko sayarini it depends TU na makubalianoAanh kwahiyo ni kura zetu ndio zinaamua hili jambo litokee
Mhh wakongo wakiona maendeleo lazma warudi tena kwa njia ya vitaIla HAPO Kongo Kuna kisiwa Fulani kina WATU wachache SANA wakongo na huwa hakina vita kutoka na location yake ilivo UNAWEZA panunua ukafanya KUWA nchi Yako nawe ukawa raisi wake. Kongo hawana HELA mavita ni mengi sana na wanaitaji PESA hivo ukiwapa PESA TU mnamaliza mchongo MANA SIZAN NAO kama wanakiwazia SANA hicho kisiwa. Ni HELA TU NINGE kua nayo NINGE TUMIA ofa wale raia nawarudisha Kongo mainland wanalipwa fidia
Full stop
Kwishaaaa pp