Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

Habari wanajf

Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"

Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa pamoja kukubali au kukataa nchi iuzwe na waliopiga kura kukubali wanashinda na hivyo nchi inapigwa mnada na hela iliyopatikana inagawanywa kwa idadi ya wananchi na hapo watu wanatafuta sehemu za kwenda kuishi na kutumia hela zao

Member wenzangu wa JF naomba mnisaidie je huu uwezekano upo???

ASANTENi
HATA SASA imeuzwa si lazima uende nje, HUNA uhuru WA kuongea utakayo uongo?
 
Maana nchii imejaa ******* tu,watu !wamenunua mibaiskeli na mipikipiki wakazipaka Rangi ya Kijanii na njano,jitu linakuja kuwapa tena B.10 mchango. Wakati Kuna shule linaipitaa watoto 80 wakaa chumba kimoja! Afu ivi Albadili kazi yake nini Sasa🤣🤣
😂😂😂Kwamba tuwasomee albadili wapotee wote
 
Mnayadharau sana maneno ya Ndugai lakini aliwapa wosia mapema sana maana alishajua kuwa muda si mrefu atayahama haya makazi ya mpito atakwenda kwenye makazi mapya.

Sasa tazama kinachoendelea, hawa watu wanagawa vipande vya urithi wa watoto kila siku na pesa wanazitapanya kuishi vizuri na kuwekea watoto wao na wajukuu wao akiba ili warithi mali za dhuruma na wizi.

Endeleeni kulalamika.badala ya kuchukua hatua.
 
Back
Top Bottom