Ukosefu wa umoja na uoga wetu una madhara makubwa sana kwa maendeleo ya taifa letuMnayadharau sana maneno ya Ndugai lakini aliwapa wosia mapema sana maana alishajua kuwa muda si mrefu atayahama haya makazi ya mpito atakwenda kwenye makazi mapya.
Sasa tazama kinachoendelea, hawa watu wanagawa vipande vya urithi wa watoto kila siku na pesa wanazitapanya kuishi vizuri na kuwekea watoto wao na wajukuu wao akiba ili warithi mali za dhuruma na wizi.
Endeleeni kulalamika.badala ya kuchukua hatua.
Kinachofanyika ni kundi dogo la watu kumiliki njia zote kuu za uchumi kisha kuweka kila kitu chini ya himaya yao! Kuanzia viongozi mpaka vyombo vya ulinzi kishapo wanakuwa na kauli ya mwisho kwenye kila jamboHabari wanajf
Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"
Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa pamoja kukubali au kukataa nchi iuzwe na waliopiga kura kukubali wanashinda na hivyo nchi inapigwa mnada na hela iliyopatikana inagawanywa kwa idadi ya wananchi na hapo watu wanatafuta sehemu za kwenda kuishi na kutumia hela zao
Member wenzangu wa JF naomba mnisaidie je huu uwezekano upo???
ASANTENi
Mhh kwahiyo wakishakamilisha kumiliki itakuwa hakuna tena kuficha makucha kama kumteka mtu wao wataua mbele za watu? 🥺Kinachofanyika ni kundi dogo la watu kumiliki njia zote kuu za uchumi kisha kuweka kila kitu chini ya himaya yao! Kuanzia viongozi mpaka vyombo vya ulinzi kishapo wanakuwa na kauli ya mwisho kwenye kila jambo
kweli mkuu kila tutakapoenda hakutakuwa na mtz mnyongeHii itakuwa poa kwa kila raia hata waendapo watakuwa madon
Hawapendi kuonekana wabaya hivyo kazi yao ni kubonyeza remote na jambo linafanyika vile watakavyoMhh kwahiyo wakishakamilisha kumiliki itakuwa hakuna tena kuficha makucha kama kumteka mtu wao wataua mbele za watu? 🥺
Watu wanaogopa kitu simple sana. Misri wenzetu walikomaa dakika chache tu wakatibu kansa ya kitaifa sisi kazi kutoa macho na kuufyata.Ukosefu wa umoja na uoga wetu una madhara makubwa sana kwa maendeleo ya taifa letu
They just don't care who are youWanafanya hivi wakijijali wenyewe tu bila kuwafikiria wengine
Unarudi tu Tz, unang'ang'ania hutoki labda wakuue 😅😅Shida ukimaliza hela zako kihasara utakosa nyumban pakurudi 😔
Habari wanajf
Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"
Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa pamoja kukubali au kukataa nchi iuzwe na waliopiga kura kukubali wanashinda na hivyo nchi inapigwa mnada na hela iliyopatikana inagawanywa kwa idadi ya wananchi na hapo watu wanatafuta sehemu za kwenda kuishi na kutumia hela zao
Member wenzangu wa JF naomba mnisaidie je huu uwezekano upo???
ASANTENi
Watu wanaogopa kitu simple sana. Misri wenzetu walikomaa dakika chache tu wakatibu kansa ya kitaifa sisi kazi kutoa macho na kuufyata.