Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

Habari wanajf

Kumekuwa na kauli nyingi za wananchi inapotokea mambo yasiyoeleweka kufanyika nchini,Moja ya kauli hizo ni "BORA NCHI IUZWE KILA MTU APEWE CHAKE"

Hili limenifanya nifikirie sana je Kuna uwezekano wa nchi yoyote ile duniani labda tutoe Mfano Wananchi wa Tanzania tunapiga kura kwa pamoja kukubali au kukataa nchi iuzwe na waliopiga kura kukubali wanashinda na hivyo nchi inapigwa mnada na hela iliyopatikana inagawanywa kwa idadi ya wananchi na hapo watu wanatafuta sehemu za kwenda kuishi na kutumia hela zao

Member wenzangu wa JF naomba mnisaidie je huu uwezekano upo???

ASANTENi
Kurudi utumwani ni kuuzwa na zaidi.
 
Mkuu hili suala linaongelewa sana na watu ndio maana nimeuliza kiongozi labda Kuna Sheria Ina ifavour jambo hili
Hamna sheria ina favour jambo hili . Ila unaweza kupeleka private member bill(muswada) jengoni dodoma kujadili nchi iuziwe highest bidder😃
 
Hamna sheria ina favour jambo hili . Ila unaweza kupeleka private member bill(muswada) jengoni dodoma kujadili nchi iuziwe highest bidder😃
Aina hiyo ya muswada inaweza kupelekwa na raia wa kawaida
 
Back
Top Bottom