Swali Je inawezekana nchi kuuzwa?

HATA SASA imeuzwa si lazima uende nje, HUNA uhuru WA kuongea utakayo uongo?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kwamba tuwasomee albadili wapotee wote
 
Mnayadharau sana maneno ya Ndugai lakini aliwapa wosia mapema sana maana alishajua kuwa muda si mrefu atayahama haya makazi ya mpito atakwenda kwenye makazi mapya.

Sasa tazama kinachoendelea, hawa watu wanagawa vipande vya urithi wa watoto kila siku na pesa wanazitapanya kuishi vizuri na kuwekea watoto wao na wajukuu wao akiba ili warithi mali za dhuruma na wizi.

Endeleeni kulalamika.badala ya kuchukua hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…