SWALI : Je umeshawahi kulala na mpenzi ukatamani pakuche haraka uondoke/aondoke?

Wewe hujui kama huu uzi nimeupenda wa majuto, eti hawalali usiku
Majuto yako yatakia ulipata utamu mwingi mbaka ukakosa usingizi

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
niliwahi kwenda kulala kwa demu mmoja ambaye alikuwa anaishi kwao...siku hiyo siku lala kwa bahati mbaya alfajri mama yake mkubwa alikuja nyumba ilikuwa ya geti ugongaji wake getini ulimshitua demu .... nilijuta sana kwenda pale lakini namshukuru Mungu kulikuwa na chumba cha wavulana na palikuwa na mtoto wa kiume mule ndani hivyo niliamia chumbani kwa huyo kijana.....
 

Unankuta mtu Kama huyu anaogopa kufanya biashara anakuambia kuna risk kubwa ila hajui kuwa alishawahi risk life yake once upon the time
 


Huyo alikuwa mwanamme wa Dar kwani huenda kuna mawili hapa, (1)...alikuwa hajuwi kama pilipili aliyoshika inaweza kukudhuru wewe au (2) alitaka tu kukukomoa, si unajuwa wanaume wa Dar walivyo.....anataka kukukomoa ili aende kijiweni kesho yake akakuseme kwa washikaji zake.
 
Nimecheka sasa na wewe umeanza lini kupenda vyembamba
 
ngoja na mm nikashike ndimu halaf nifanye km alivofanyiwa demis
 
Daah kuna hiyo papuchi moja ilinisumbua sana sitakaa nisahau nilipiga kimoja tuu nikaomba kukuche. Nilibaki macho kama popo. Hadi leo manzi akitaka kuja magetoni namkwepa.
 
Mwanzoni mwaka huu nililala na demu (Demiss) akiwa anaumwa tumbo baada ya kufakamia offer ya makange bila kujuwa ni ya kunguru wa Zanzibar, mbona nilijuta. Katikati ya mchezo wa ile ligi yetu pendwa ya kwa 6 kwa 6, asiniharishie nini. Alitoa bonge la mharo mpaka dushe lote likawa limeungua na ule muharo wa makange, yaani niliwashwa usiku mzima nikaomba Mungu asubuhi ifike nimpeleke kwao. Toka siku ile sina tena hamu na Demiss.
 
Ril nigga!! ? This is nt even funny.. Stupid..
 
Hahahahahah looooh nimecheka hii chai nimeinywa saa 12 :05 asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…