xtaper
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 3,319
- 4,701
Majuto yako yatakia ulipata utamu mwingi mbaka ukakosa usingiziWewe hujui kama huu uzi nimeupenda wa majuto, eti hawalali usiku
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majuto yako yatakia ulipata utamu mwingi mbaka ukakosa usingiziWewe hujui kama huu uzi nimeupenda wa majuto, eti hawalali usiku
Hahahaaa umetishaMajuto yako yatakia ulipata utamu mwingi mbaka ukakosa usingizi
Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
Hahahahaha!! Hii inaitwa mchawi mpe mwanao akuleleeWenzako huwa tunaficha kwenye mkoba wake,ata search kila sehemu hapati kitu
niliwahi kwenda kulala kwa demu mmoja ambaye alikuwa anaishi kwao...siku hiyo siku lala kwa bahati mbaya alfajri mama yake mkubwa alikuja nyumba ilikuwa ya geti ugongaji wake getini ulimshitua demu .... nilijuta sana kwenda pale lakini namshukuru Mungu kulikuwa na chumba cha wavulana na palikuwa na mtoto wa kiume mule ndani hivyo niliamia chumbani kwa huyo kijana.....
[emoji444][emoji445]mi nangoja ugeuke[emoji444][emoji443][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani haya maisha nimepitia vituko vya kukata na shoka.
Mwenzenu kuna siku nililala na mwanaume alikula ugali na makange ya kuku yana pilipili akaongeza na pilipili ya kukata pembeni pilipili mbuzi/kichaaa.
Mwanaume anapenda pilipili kama mhindi.
Wakati wa kugegedana akanipapasa na mikono kwenye harage jaman alafu tukafanya tendo la ndoa kama akaikoroga kuliwaka motoo kama nimechochea jiko la kuni NILITAMANI PAKUCHE HARAKA NIRUDI NYUMBANI MAANA HUYU FRANK HAKUAMINI KAMA PILIPILI IMEKOLEA YANI NILIKOMA NILIHISI MOTO UMEWASHWA KUNAKO.
Demiss Malaika.
Nimecheka sasa na wewe umeanza lini kupenda vyembambaIlinitokeaga nilipata Mchuchu mwembamba hadi anatisha. Yaani alienda kwenye ukuta akasimama nikahisi labda ni nyufa ya nyumba kwa jinsi alivyokondeana then tena ana sauti Nene kama ya dume la mbegu. Yaani akiongea utadhani anaongelea kwenye mtungi.
Nikapiga moyo konde nikaanza kupiga show...demu analia kwa sauti ya kiume nzito (huuuumble) hadi masela nje wakahisi labda namcheda mwanaume mwenzangu. Hatari sana!
Siku hiyo sikulala maana nilikuwa namuogopa nahisi labda anaweza kuwa jini akanipa mataizi yale ya kuzima taaa akiwa kitandani. Ulikuwa usiku mrefu sana kwangu.
Nyege ni mbaya sana...! [emoji23]Nimecheka sasa na wewe umeanza lini kupenda vyembamba
Niliona asubuhi haifiki nikapiga simu zima moto walipokuja nikaondoka nao usinikumbushe usinikumbushe
SawaLol, usinikumbushe shost
Daah kuna hiyo papuchi moja ilinisumbua sana sitakaa nisahau nilipiga kimoja tuu nikaomba kukuche. Nilibaki macho kama popo. Hadi leo manzi akitaka kuja magetoni namkwepa.Jamani haya maisha nimepitia vituko vya kukata na shoka.
Mwenzenu kuna siku nililala na mwanaume alikula ugali na makange ya kuku yana pilipili akaongeza na pilipili ya kukata pembeni pilipili mbuzi/kichaaa.
Mwanaume anapenda pilipili kama mhindi.
Wakati wa kugegedana akanipapasa na mikono kwenye harage jaman alafu tukafanya tendo la ndoa kama akaikoroga kuliwaka motoo kama nimechochea jiko la kuni NILITAMANI PAKUCHE HARAKA NIRUDI NYUMBANI MAANA HUYU FRANK HAKUAMINI KAMA PILIPILI IMEKOLEA YANI NILIKOMA NILIHISI MOTO UMEWASHWA KUNAKO.
Demiss Malaika.
Ril nigga!! ? This is nt even funny.. Stupid..Mwanzoni mwaka huu nililala na demu (Demiss) akiwa anaumwa tumbo baada ya kufakamia offer ya makange bila kujuwa ni ya kunguru wa Zanzibar, mbona nilijuta. Katikati ya mchezo wa ile ligi yetu pendwa ya kwa 6 kwa 6, asiniharishie nini. Alitoa bonge la mharo mpaka dushe lote likawa limeungua na ule muharo wa makange, yaani niliwashwa usiku mzima nikaomba Mungu asubuhi ifike nimpeleke kwao. Toka siku ile sina tena hamu na Demiss.
Hahahahahah looooh nimecheka hii chai nimeinywa saa 12 :05 asubuhiMwanzoni mwaka huu nililala na demu (Demiss) akiwa anaumwa tumbo baada ya kufakamia offer ya makange bila kujuwa ni ya kunguru wa Zanzibar, mbona nilijuta. Katikati ya mchezo wa ile ligi yetu pendwa ya kwa 6 kwa 6, asiniharishie nini. Alitoa bonge la mharo mpaka dushe lote likawa limeungua na ule muharo wa makange, yaani niliwashwa usiku mzima nikaomba Mungu asubuhi ifike nimpeleke kwao. Toka siku ile sina tena hamu na Demiss.
Huamini kama ni mimi sioHahahah wacha zako mara ya mwisho tulienda mķoa gani na tukalala hotel gani?