Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Kwakwaaaaa ila ww jamaa sijui walikukosea nini wanawake wa Jf teh teh
Vp Mama sabrina & mzigua90?

Nikuwafumbia macho tu
Wewe tena si ulisema umeona mwanya wangu. Halafu big shemeji yako huyo
 
Mimi nikuwa Mapinduzi 2 pia Mkuu. Bweni la mwishoooo af unaingia shambani. Mlimani ilikuwa Kimbilio asee.
hilo ndo mimi nilikaa ila ilikuwa bonge la shule msala mkubwa hafukuzwi shule ila mdogo unaweza kukutemesha ila hii kweli ilikuwa zaidi ya shule ila imetusaidia na sisi tunaweza andika hapa na kuchangia mawili matatu.Long live Naali long live Mpwapwa High school
 
Nakumbuka nilipokuwa nasoma mlimani kipindi hicho mtandao maarufu ulikuwa hi5 basi kule nikakutana na kijana mmooja matata yaan pichaa alizokuwa ananitumiaa zilikuwa balaaa mtoto wa kike nikadataa though mi zangu zilikuwa za ukweli,basi bwana siku zikaenda tukawa tushazoena yeye alikuwa anakaa mbezi mi nakaa hall 3 basi siku ya siku akaniambiaa anataka tuonane basi bwana nikamwambiaa anifate chuo na tulipanga tuende kwanza best bites coz ilikuwa mchana for lunch.tukakubaliana mi nikawa nipo sana xcited kuonana na mkaka handsome hatareee yaan inshort alikuwa kakamilika kila idara,basi bwana sikutaka anifate kule hall three nikamwambiaa atanikuta container.Basi mtoto wa kike nikauparaaa balaaa akaniambiaa amekaribia pale udasa basi na mm nikajisogeza kituo cha container ....nikawa nimesimama nikshangaa gari limepaki upande wa pili kama unaelekeaa kule utawala......ili kuwa discover nyeusi full tinted ,akanipigiaa simu nimeshakuonaa njoo upande wa pili uingiee ndani ya gari ,nikavuka ile nafunguaa mlango jaman nikishtukaa balaaaaaa manake nilikutana na mbaba mtu mzima zaidi ya baba angu yaan kwa uogaa nikajijutaa namsalimiaa shikamoo baba akaniambiaaa achaa zako,akagunga milango tuakenda jaman alijuaa kanisa sipo comfortable manake mpka tunafika kule nilkuwa kama msukule na yy alilitambuaa hilo basi tulivyomaliza kulaa akanirudisha akajiongeleshaa weee nikashuka akanipa ela nikarudi zngu room jaman baaada ya hapo nolimblock kilaa sehemu....na sijuwasiliana naye tena



Though baadae nilikuja kumuona kwenye tv flan nikajuaa kazi yake na mpkaa sasa najuaa anapofanya kazi na kitengo alipo ila sijawah mtafutaa!!!
 
Ameen. Yan Maisha yangu na misimamo yangu imejengwa pale asee mpka kuwa hivi nilivyo. Ila sahv pamebadilka sio kama zamani
 
Yaan mimi mwanaumr akishakuwa tu bonge sinaga hamu naye......kwanza najuaga mabonge yote vibamia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa si kitambi kinazid mbele kidogo na dushe linafichwa na nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…