Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Huwa simcheleweshi Mtu Mkuu pale akinikwaza na hivyo ndivyo nilivyo Kihaiba na sitobadilika ng'o. Nilimpa ' makavu ' yake!
Bora wewe mkuu hebu nisaidie eti kuna kosa mm kuwakimbia watu ?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mkuu una dhambi kuliko hata mm
 
Ukinitunuku nafasi kama hiyo nishukuru sana mkuu, Sababu tutaelezana tu tukikutana naamin hutanikimbia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hii kitu sijawahi kukimbiwa ni soo, mademu wapo kibao mtaani ujinga kwenda kuanza kukimbizana na watu ambao hujawah kuonana nae
Bora wewe hao wenzio hawajiongezi hata kidogooo
 
Kwa mfano huku. Kuna watu wanapenda wengine kwa kusoma wanachoandika tu. Sasa ukija kumuona unakuta vitu viwili tofauti.
Tuseme kutamani tu
Yeah kama mimi ninavyokupenda wewe na style yako ya uwasilishaji mawazo humu na ninavyokufanyia imagination hasa kipindi kile ulivyowekaga picha inaonyesha kiwowo kimebinuka kiaina
 
Teh teh bwahahahahhahhhahahhaha jaman mambo gani tena haya jaman why?
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…