[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sura ya baba si shida, bali baba kafanan na nani wababa wengine ma HB utampenda, halafu mwanaye Shunie ndiye kafanana naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio naingia hapa kwanza nimeshindwa soma post zote nyingi sana sijawahi mkimbia mtu kabisa na wala sijawahi kimbiwa pamoja na sura ya baba angu
Nipo dar mkuu kwenye jiji la mvuaOk. Upo wapi Mkuu Dar City kwenye mvua sioo
Wewee mm ndo balaaa tena kitu kinachofanya nicheke zaidi tuwe wawil alafu tuende kukutana na kituko loohKukimbia muhimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa nikiwaza sahizi nacheka balaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hapana baba angu sio hb kafanana na babu yangu mzaa baba yaan nina sura inatisha lakini sijawahi kimbiwa jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sura ya baba si shida, bali baba kafanan na nani wababa wengine ma HB utampenda, halafu mwanaye Shunie ndiye kafanana naye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaaaaHapana baba angu sio hb kafanana na babu yangu mzaa baba yaan nina sura inatisha lakini sijawahi kimbiwa jamani
poa haina shida tutatafutana ila now niko mwanza, narudigi mara moja moja, tuko pamo1Ooooh aisee nikija moro tutafutane
Asee, napaogopa huko asee kuna siku nilikuwa natoka Moro kuja apo tulipofika Mbezi tukakuta Maji yamefunika rodi af mvua iko On Firee weee ilibidi nizunguke kupitia sjui ndo goba wanapaitaa. Sisahau ile siku mpka leo sijaenda tena.Nipo dar mkuu kwenye jiji la mvua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inachoma kama pasiiii shooo unajifanya wewe ndo ulimkimbiaaa
Sawaaa. Niandae sh ngap mana nske nkaenda na ela ya chai[emoji23] [emoji23] [emoji23] wakanibakisha kumenya viazi ntakaposhindwa kulipa.Ukijaaa nitakupeleka shaka ondoa
[emoji16] [emoji23] [emoji16] [emoji23] sijui enz za sean jonh ama fubu,Anajipaisha tu usikute alikimbiwa kwa sababu hayupo fresh
Hivi shoga wangu itakuwa ni bahati yangu au ni nini sababu nikionana nao wanatamani tu kuniona eti hawanikimbiiHahahaaaa
Kwani nikukimbie ili iweje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utanikimbilia ili iweje sasa
Pole sana mkuu ndio jiji letu hiloAsee, napaogopa huko asee kuna siku nilikuwa natoka Moro kuja apo tulipofika Mbezi tukakuta Maji yamefunika rodi af mvua iko On Firee weee ilibidi nizunguke kupitia sjui ndo goba wanapaitaa. Sisahau ile siku mpka leo sijaenda tena.
Hahah kwani hapa watu wanakimbiana kwa ajiri ya niniKwani nikukimbie ili iweje?
Pekupeku ndio yule mzungu wakuitwa Ricardo Maria,umesoma mwaka gan hapo?Kwa pekupekuu
CCM mkoa hahaha aiseeeh [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16]Yeaaah mzungu hatak kuvaaa viatu na tuition za palepale Ccm