Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

haya mambo wengine tushakutana nayo sana kipindi kabla hata social networks hazijaanza..

masela tunapeana namba za mademu....tulikuwa tunawaita 'majini'
Ukimkuta ndivyo sivyooo unamkimbiaaaaa akiii ni dhambiii walllah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
kwa hiyo we handsame boy aka HB, [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16]

mkuu niwekee ninyooshe goti

just joks
 
Ndio naingia hapa kwanza nimeshindwa soma post zote nyingi sana sijawahi mkimbia mtu kabisa na wala sijawahi kimbiwa pamoja na sura ya baba angu
Aiseee hiyo safi snaa mm mdogo wako majanga kama hayooo sasa yani hiii ni utanguliz majanga zaid yanakujaaaa
 
kwa hiyo we handsame boy aka HB, [emoji23] [emoji16] [emoji23] [emoji16]

mkuu niwekee ninyooshe goti

just joks
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapana ndugu. Mi mwenyewe sura mbovu tu kama ndala ya chooni.
Ila siwez kuwa na haka kabinti kweli. Labda kaona mm nd mzuri wake siwez jua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] myuesiei kwenye ubora wake espy geniveros mko wapi lakini
 
Ningekuwa mrembo ningeringa nina sura ya baba mkuu uwe na amani tu
Tatizo sio urembo haiba tu nakujielewa basi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] unaweza kuwa unakimbia lakini sura kama nyuma ya sufuria [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…