Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Hahaaaa haaa sinajua raha jipe mwenyewe yakupewa ina masimango [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Aiwewe sasa kwanini usingevumilia labda aliungua ungemuuliza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwakweli ile si ya kuungua, ya kuungua inajulikana. Sijui kama ndio alikuwa kakonda au kanenepa, ilimradi mashaka tu, bora hata ingekuwa tumboni ningejua ya uzazi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] halafu ukaenda wapi? hapa nipo nje watu watanishangaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikwenda maskani, baada ya kula jani nikamwambia mshkaji wangu mmoja "ghetto kwangu kuna jini kamtoe" [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nyumaaa geukaaa mwendooo vuuuup
Hakuna jinsi zaidi ya mbio mtu asiye riziki yako ni ngumu kuvumilia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…