Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Nina matukio mengi kila nikiyakumbuka nitayaanika mwenyewe hapaNimechekaaa sana mkuu mambo yakooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina matukio mengi kila nikiyakumbuka nitayaanika mwenyewe hapaNimechekaaa sana mkuu mambo yakooo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwann unasema Bungeni mambo mazur eeeeeh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Demiss naweza kufika bungeni ndani ya wiki ijayo lakin ni siku mbili tu au tatu ntakaa hapo nikipata nafas ntakutafuta tukimbiane
Kundi langu lipi rafikiiiUzi upo page132 tuliokimbiwa n wawil tu
kwa maana nynge umu kila mtu n sterling[emoji3] [emoji3] [emoji3] mmenikumbusha mbal sana kila mtoto "baba yake alikua wakwanza darasan" huu ni "motivation uongo" sasa uongo wenu sijui niuiitaje!!!!!
Mnajikosesha namba mnafatana lakn kila mtu alimkimbia mwenzake Endeleen kudanganyana demiss na kundi lako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
SawaMvua sna mwamvuli rafiki
Hahahah amna kawaida tu. Bungeni kuna kitu chakuja kufanya maramoja tu hzo siku mbili chap.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwann unasema Bungeni mambo mazur eeeeeh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Siku nyingineTufanyaje sasa kaka rafiki
Ntakutumia picha bas nikifika sawa ee. Hombolo sijawah fika ila nna ham sikumoja niende kiwanda ch wine nikaoneKwann usiseme kama unaendaa homboloo
Hawa wachangiaj amabao wote waliwakimbia watu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kundi langu lipi rafikiii
sijaelewa Demiss!Mr .....Miller jambo ipo?
Tufanyaje sasa kaka rafiki
Hivi nyie watu bado tu hamjakutana? Nasubiri mrejesho, au mlikimbiana na nyie [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku nyingine