Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Uzi upo page132 tuliokimbiwa n wawil tu
kwa maana nynge umu kila mtu n sterling[emoji3] [emoji3] [emoji3] mmenikumbusha mbal sana kila mtoto "baba yake alikua wakwanza darasan" huu ni "motivation uongo" sasa uongo wenu sijui niuiitaje!!!!!

Mnajikosesha namba mnafatana lakn kila mtu alimkimbia mwenzake Endeleen kudanganyana demiss na kundi lako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Demiss naweza kufika bungeni ndani ya wiki ijayo lakin ni siku mbili tu au tatu ntakaa hapo nikipata nafas ntakutafuta tukimbiane
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwann unasema Bungeni mambo mazur eeeeeh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Uzi upo page132 tuliokimbiwa n wawil tu
kwa maana nynge umu kila mtu n sterling[emoji3] [emoji3] [emoji3] mmenikumbusha mbal sana kila mtoto "baba yake alikua wakwanza darasan" huu ni "motivation uongo" sasa uongo wenu sijui niuiitaje!!!!!

Mnajikosesha namba mnafatana lakn kila mtu alimkimbia mwenzake Endeleen kudanganyana demiss na kundi lako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Kundi langu lipi rafikiii
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kwann unasema Bungeni mambo mazur eeeeeh [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahahah amna kawaida tu. Bungeni kuna kitu chakuja kufanya maramoja tu hzo siku mbili chap.
 
Kundi langu lipi rafikiii
Hawa wachangiaj amabao wote waliwakimbia watu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Naishia kucheka tu kuona mahandsome na mabeauty mkitoa ushuhuda, aya bhn
Huu uzi wanyonge wawil tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kuna uterezi sasa hivi Mrs Jr...
Ila nimecheka sana
Umenikumbusha wakati Nipo secondary pale Tosa Boys...Kuna jamaa alikuwa anachat na Dem hamjui kwa zaid ya miez 3...ilipofika siku ya kwenda kumuona...tulisindikizana lakini kitu tulichokutana nacho Mungu atusamehe kwakweli...

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom