Mme wangu akiii wewe ulinifanyia nn mbona sikukukimbia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji8] njoo huku chumba kimekuwa swimming pool View attachment 747269
Nini unasikitika sasa?[emoji17][emoji17][emoji17]
Hahahh endelea mkuu tupe storyTeh teh umenikumbusha mwaka jana mkoa flani. Ngoja niishie hapa!
Jamani we kama mimi wanaume wembambaa sijawah date nao toka nimeanza mapenzi yaan hawavutii kabisaa japo wapo wazuri tu lakini mimi nehi nehHahahahha mm huwa nakimbia tu kwa kweli siwezi kuvumiliaaa nahis watu nitakaoongoza kuwakimbia ni member wa Jf nitawakimbia tu hakuna namnaaa
SAWA BOSSLADYteheheheh huko ngoja kwanza nitakukaribisha baadae
Naikumbuka sana ile skuli asee duh ni hatar siwez sahau mishe za paleNami nilipita hii shule ya mpwapwa A -Level kipindi cha naali ilikuwa bonge la shule
hahaha yani anza kabisa mazoezi maana.....[emoji125][emoji125][emoji125][emoji17][emoji17][emoji17]Uwiiiiii Mr chief sipat picha nitakavyovunjaaa milonjooo siku tukionanaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ila wewe shem katili sana yani mtu umemtoa Dar mpaka Moro na umemkimbiaUmeona shem mm huwa natoka nduki aiseeee tabia mbaya lakin
Hata Rais Kagame wa Rwanda "akikutunuku" hutaki?Jamani we kama mimi wanaume wembambaa sijawah date nao toka nimeanza mapenzi yaan hawavutii kabisaa japo wapo wazuri tu lakini mimi nehi neh
Ee kama ye mwenyewe anajikimbia anaweka picha za wadogo zake!na mi namkimbia nikimuona.bora hata akwambie zile sio picha zangu.najipongeza kumkacha maana ningechoreka na nilivyo HB[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dadeeeki una tabia mbayaaa sana
Hahahaa. Vibaya hivyo.Dada mm huwa nakimbia tu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nimekuelewa hapo juu mmNini unasikitika sasa?
Mm nahisi hujiamini kama ni mzuri ndio sababu huwa unakimbia,ktk thread zako zote hujawahi sema umekimbiwa,unajihami mapemaaHahahahahah hahaha daaaah haya bwana, hata sisi jinsia kama yako utatukimbia
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hiyo ya kucheka sasa unikute na rafiki yangu Apple mweeeeeh tukishakimbia tutacheka mwezi mzimaaaaHahahaaaa. Itabidi tumpe somo kwa kweli.
Umeonaeee. Mie Pacha nikishakuaga nikaondoka huku nyuma ndio nitacheka mpaka basi na wala sitaweza kumwambia ila itabaki siri yangu na moyo wangu. Teh.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseeeeeh mwenzenu huwa nakimbia naacha vumbiii tuMi sikukimbii ila baada ya kuonana ntakupotezea. Kila ukipiga simu niko busy. Na nakujibu dry dry tu mpaka utakaa sawa. Kuna watu unakutana nao unagundua hawafai hata kuwa marafiki. Sasa watu wa hivyo wanajua kuganda hao.