Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji7] [emoji8] [emoji7] [emoji8] njoo huku chumba kimekuwa swimming pool View attachment 747269
Mme wangu akiii wewe ulinifanyia nn mbona sikukukimbia[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Uwiiiiii Mr chief sipat picha nitakavyovunjaaa milonjooo siku tukionanaaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hahaha yani anza kabisa mazoezi maana.....[emoji125][emoji125][emoji125][emoji17][emoji17][emoji17]
 
Hahahaaa. Sawa hakuna neno kabisaaaa.

Ila Mie wala sikimbiliki jamaani. [emoji85] [emoji85]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Dada mm huwa nakimbia tu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaa. Vibaya hivyo.

We dawa unapiga moyo konde halafu unaonana naye ili upate vingi vya kucheka sababu kama kwa mbali anakuwa hivyo ukimsogelea si ndio unavipata vingi. Hahahaaaaa.
 
Hahahaaaa. Itabidi tumpe somo kwa kweli.

Umeonaeee. Mie Pacha nikishakuaga nikaondoka huku nyuma ndio nitacheka mpaka basi na wala sitaweza kumwambia ila itabaki siri yangu na moyo wangu. Teh.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hiyo ya kucheka sasa unikute na rafiki yangu Apple mweeeeeh tukishakimbia tutacheka mwezi mzimaaaa
 
Mi sikukimbii ila baada ya kuonana ntakupotezea. Kila ukipiga simu niko busy. Na nakujibu dry dry tu mpaka utakaa sawa. Kuna watu unakutana nao unagundua hawafai hata kuwa marafiki. Sasa watu wa hivyo wanajua kuganda hao.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseeeeeh mwenzenu huwa nakimbia naacha vumbiii tu
 
Back
Top Bottom