Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Wewe wengine wanakupa uongee na shoga ake. [emoji23][emoji23][emoji23]
*****.. Mimi huwa mjanja sana...yan ntajiitahid nkupigie Mara kwa mara... Ukiona anakwabia cjui nipo busy Mara nipo na watu jua hammna kitu hapo
 
Demiss una vituko jamaniii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti kidogo ukimbie uvunje milonjooo,mi ndo maana sipendi kukutana na watu hovyo hovyoo maana ni vituko tu
Mama sabrina acha nakwambia yan alikuwa mwembamba suruali anavaa kiono 10 alafu kafupi kembamba keusi tiii ukiangalia id yakeee ni kubwa kulikonmwili wakeee jaman nilikimbia mtotot wa mwenzio nusu nivunje milonjooo
 
Mim kuna mtu alikoseaga namba ikaja kwangu kupokea sauti nzuriii mweee ,tukawa tunaongea tu ,tunawasiliana tu nikawa namuwazia atakuwa bonge la handsomee ,,siku naenda kuonana naee kidogo nizimieee limtu kama Li lemutuz halaf mi kadogoo nikamsalimia shikamooo baba ,wakati kwenye simu nilikuaga simsalimiii ,nikamuambia nimepita tu tutaonana baadaee [emoji23][emoji23],,nikivyotoka hapooo nilibadili na laini na ya simu maana kidogo nizimiee
Hahahha Mkuu kama mim tu sema mi sikuwah kuongea nae nlikuw nachat sana kulko kuongea. Pia siku nyingne kulikuwagaa na aina flani hiv ya offer kutoka airtel ya kuchat nmeisahau kdg inaitwaje skumoja bana katka chatting mara kimdada kikanibip vile nikiwaga na ugonjwa na namba mpya nikapiga asee mtoto ni ana sauti kama Mikala(kwenye ile muvi ileeee This is the Game of Love) bas nkawaga najua huyu mdada atakuwa hivyo hivyo kama mikala. Asee siku ilipofka kanitumia picha fb namm nikamtumia yangu duuh nilijiona mzuri kuliko yeye. Hahahah.
NB: kipind hcho Whatsapp ata sijui ndo nin kwahyo fb ndo kimbilio.
 
Sema kidogo basi tuchekeeeeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
🙂Huhuu niliopoa jimama gwa mbegu likataka niunguzia watoto kiunoni. Lilikua li ticha la primary kahama. Wacha niishie hapa bwana
 
Wewe wengine unaona hata urafiki haiwezekani. Hata na namba yako sisave kwanza. Unakaa na mtu unaona unaboreka. Hata huenjoy kukaa nae. Mimi napenda kuonana na watu kwa ajili ya urafiki. Kufarijiana iwe kabla ila baaada sitaweza
Ila kwa upande wa wanaume hakuna mwenye tatizo bana,,mwanaume hata tuwe je tunamiliki tu yoyote hata uwe kama anil kimambi[emoji41]
 
*****.. Mimi huwa mjanja sana...yan ntajiitahid nkupigie Mara kwa mara... Ukiona anakwabia cjui nipo busy Mara nipo na watu jua hammna kitu hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila hata mi staki kuonana kwa surprise. Nitumie picha kwanza. Kwenda kuonana na babangu siwezi.
 
Mama sabrina acha nakwambia yan alikuwa mwembamba suruali anavaa kiono 10 alafu kafupi kembamba keusi tiii ukiangalia id yakeee ni kubwa kulikonmwili wakeee jaman nilikimbia mtotot wa mwenzio nusu nivunje milonjooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni wa humu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shemeji[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]siku nikionana wewe na mkeo sjui nitawakimbia sijui mtanikimbia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha mimi bonge huwwz kunikimbia...kama yule mdogo wake dada wa taifa,yan hatupishani na mzidi kidogo tu
 
Back
Top Bottom