Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulweso amekimbia mchumba jaman khaaaaa kamuona kavaaa kaunda suti[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akakimbia vuuuuup
 
haya mambo wengine tushakutana nayo sana kipindi kabla hata social networks hazijaanza..

masela tunapeana namba za mademu....tulikuwa tunawaita 'majini'
 
Sijamuonaaa kabisaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Dada nilikusubir na wewe skukuona kabisaaa hujawahintoka nduki[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16]
Ndio naingia hapa kwanza nimeshindwa soma post zote nyingi sana sijawahi mkimbia mtu kabisa na wala sijawahi kimbiwa pamoja na sura ya baba angu
 
Back
Top Bottom