Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Shem wangu Demiss samahani kwa fujo zangu ila nilitaka post ya 1000 iwe yangu na lengo langu limetimia
Shemeji aiseeee nilkuwa sjui fujo ndo mpango mzima na mm mnisamehe jana niliwaacha kichwa ililewaa ningechanganya madesaaaa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

nasubiria na ya 2000 iwe ya kwako
 
Juzi kati tuu nimefunga safari mpaka Bagamoyo huyu binti nlikutana nae kwenye Daladala enzi hizo nasomaa.. Miaka imepitaa ndo nkaona so mbaya nkaonane naee.. Walahiii nlijutaa hata nauli yangu iliniuma sanaa yanii sanaaa...!! Manzi nahisi kipindi kile nlimuona vibaya au sijui ilikuwa ni ugumu.. Mrefu...mweusii...kapigwaa pasi balaaa..yanii
Poleeee sana rafiki
 
Shemeji aiseeee nilkuwa sjui fujo ndo mpango mzima na mm mnisamehe jana niliwaacha kichwa ililewaa ningechanganya madesaaaa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]

nasubiria na ya 2000 iwe ya kwako
Hahah!!

Poa shem lao usijari tupo pamoja
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] jamani
Jana mwenzio nimechekaaa sasa nimecheka zaid baada ya marafiki zangu kwendaa sehem tukanywaaa tukalewa nikawahadithia hiv vituko wakaniambia ndo maaana ulikuwa busy na sim unajua pombee ikiwa kichwan ndo huwa inachochea kuchekaaa zaid

Basi tukaanza kukumbushia tulikuwa tunaongea kwa saut kubwa tunachekaaa mtu akisema vichaaa wala tusingelaumu
 
Back
Top Bottom