Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shemeji aiseeee nilkuwa sjui fujo ndo mpango mzima na mm mnisamehe jana niliwaacha kichwa ililewaa ningechanganya madesaaaa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Shem wangu Demiss samahani kwa fujo zangu ila nilitaka post ya 1000 iwe yangu na lengo langu limetimia
Poleeee sana rafikiJuzi kati tuu nimefunga safari mpaka Bagamoyo huyu binti nlikutana nae kwenye Daladala enzi hizo nasomaa.. Miaka imepitaa ndo nkaona so mbaya nkaonane naee.. Walahiii nlijutaa hata nauli yangu iliniuma sanaa yanii sanaaa...!! Manzi nahisi kipindi kile nlimuona vibaya au sijui ilikuwa ni ugumu.. Mrefu...mweusii...kapigwaa pasi balaaa..yanii
Hahah!!Shemeji aiseeee nilkuwa sjui fujo ndo mpango mzima na mm mnisamehe jana niliwaacha kichwa ililewaa ningechanganya madesaaaa[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
nasubiria na ya 2000 iwe ya kwako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yesuu na Mariaaa shem unatoaaa siriii
Jana mwenzio nimechekaaa sasa nimecheka zaid baada ya marafiki zangu kwendaa sehem tukanywaaa tukalewa nikawahadithia hiv vituko wakaniambia ndo maaana ulikuwa busy na sim unajua pombee ikiwa kichwan ndo huwa inachochea kuchekaaa zaid[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] jamani
Hahahah kama uko siriaz njoo PM tuyaje nge nikupe mzigo huo.hayo ndo maneno mzee baba, hiyo ni kama GG imetoa, hakika mkeka unapumua,,