Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaa. Njoo tu Mangi.Nakuja Arusha, unikimbiee
Mie sina tabia hiyo jamaani Mangi. We njoo tu tuonana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa. Njoo tu Mangi.Nakuja Arusha, unikimbiee
Nikitukana humu, jua TRA na biashara zinanikamuaaa.Aiseee umenipa mshangao sana mkuu
Huwa sikuelewi elewi huchelewi kunitukana ujueee
Usije nikimbia, kama unavyo muona Wasira, nilichomzidi ni ufupiHahaaaa. Njoo tu Mangi.
Mie sina tabia hiyo jamaani Mangi. We njoo tu tuonana.
Hahaaaa. Umenikumbusha mbali sana mdogo wangu.Aiseee umenipa mshangao sana mkuu
Huwa sikuelewi elewi huchelewi kunitukana ujueee
Hahahahhah!!Hahaaaa. Umenikumbusha mbali sana mdogo wangu.
Urafiki wangu na Mangi ulianzia hapo kwenye kunijibu mbovu kila akiona Post yangu. Ila kwa sasa tumekuwa maswahiba hatari.
General Mangi najua unakumbuka. [emoji85]
Hahaaaa. Usijali bwana Mangi kwa kuwa sote tu binadamu na tunazungumza lugha moja basi hakitaharibika kitu.Usije nikimbia, kama unavyo muona Wasira, nilichomzidi ni ufupi
Hahahaaa. [emoji85] [emoji85] [emoji85]Hahahahhah!!
We mtoto ww,
Marhabaaa. Mzima mdogo wangu?Shikamooo dada
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ile nimeelewa hivyo nilivyoelewa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]itakuwa umenielewa sivyo ndivyo
Usinifanyie hivyooo
We mtu kaja na mfuko wa rambo unafikiri kilichotomea nini?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbon hujamaliza story ikawaje baada ya kuonana
Nimeshamzoeaaa sijawahi kuona sehemu kanijibu vizuri huwa ananipa tusi anapita mbeleee na mm wala huwa sishoboki popote alipo ila sasa kwangu looooh huwa nakomaaa mpaka nasema nilimkosea nn mchaga huyuuuuHahaaaa. Umenikumbusha mbali sana mdogo wangu.
Urafiki wangu na Mangi ulianzia hapo kwenye kunijibu mbovu kila akiona Post yangu. Ila kwa sasa tumekuwa maswahiba hatari.
General Mangi najua unakumbuka. [emoji85]
Hivyo mzowee tuu Mangi.
Wakoje?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]khaaaaa wachaga nawajua walivyooo