Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Nishawatoa watu dodoma mpk moro, afu mara mbili.

Wagogo wanapenda wepesi sana, sema kila dem alikuwa wamepinda kuanzia sura mpk vidole
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbon hujamaliza story ikawaje baada ya kuonana
 
Hahaaaa. Umenikumbusha mbali sana mdogo wangu.

Urafiki wangu na Mangi ulianzia hapo kwenye kunijibu mbovu kila akiona Post yangu. Ila kwa sasa tumekuwa maswahiba hatari.

General Mangi najua unakumbuka. [emoji85]

Hivyo mzowee tuu Mangi.
Nimeshamzoeaaa sijawahi kuona sehemu kanijibu vizuri huwa ananipa tusi anapita mbeleee na mm wala huwa sishoboki popote alipo ila sasa kwangu looooh huwa nakomaaa mpaka nasema nilimkosea nn mchaga huyuuuu
 
Back
Top Bottom