Swali jepesi: Kwanini Afrika wanawake wasio na imani ya Mungu+ dini ni ngumu kuwapata ?

TPP

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2023
Posts
650
Reaction score
783
Leo tuizungumzie Afrika na Waafrika hasa jinsia ya kike kwa swali moja litakalo jenga uelewa baina yetu sote.

Kwanini ni jambo gumu kupatana na mwanamke Afrika asie muamini wa mambo ya Mungu, Kimungu na Dini ?
 
Leo tuizungumzie Afrika na Waafrika hasa jinsia ya kike kwa swali moja litakalo jenga uelewa baina yetu sote.

Kwa nini ni jambo gumu kupatana na mwanamke Afrika asie muamini wa mambo ya Mungu, Kimungu na Dini ?
Unataka msabato?
 
Umetembea nchi zote hapa Africa? Kama ndio, hebu niambie Lesotho ulifikia wapi na ulikutaje
 
  • Thanks
Reactions: TPP
Wakuu

Binafsi nimegundua kama akili zako zipo SAWA sawa!ni ngumu sana kuwa mfuasi wa dini hizi!yaani utaishia kuitwa majina tu!

NIMEINGIA pande zote!nikiwaza sana wakati nimo humo ibadani nahisi kuna kitu sio SAWA!!
 
Leo tuizungumzie Afrika na Waafrika hasa jinsia ya kike kwa swali moja litakalo jenga uelewa baina yetu sote.

Kwa nini ni jambo gumu kupatana na mwanamke Afrika asie muamini wa mambo ya Mungu, Kimungu na Dini ?
Dini ni Faraja Kwa wanawake wengi,pia ule mkusanyiko wa Kila jumapili pale ibadani ni tiba tosha ya kisaikolojia Kwa wanawake

Kwanza atapiga umbea,atalingishia wenzie mavazi yake,atashow off magari,watoto wake au mume wake Kwa mashoga/maadui zake

Pia ataipata Faraja ya kimaisha Kwa mchungaji au padri Kwa matatizo yake yanayomksibu Kwa muda huo

Kanisa ni Faraja tosha Kwa mwanamke regardless ya ukweli au uongo wa mafundisho ya Kanisa husika
 
Back
Top Bottom