Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunajaribu kutafuta uelewa katika mambo tata ili sote tueleweWakuu
Binafsi nimegundua kama akili zako zipo SAWA sawa!ni ngumu sana kuwa mfuasi wa dini hizi!yaani utaishia kuitwa majina tu!
NIMEINGIA pande zote!nikiwaza sana wakati nimo humo ibadani nahisi kuna kitu sio SAWA!!
Rekebisha sasa uzi mtu akisoma ajue umezungumzia sampuli, ukiacha hivyo mtu anajua Africa yoteHiyo ni sampuli
Kurekebisha nini? Anauliza kwanini wanawake wasioamini uwepo wa mungu ngumu kuwapata, haimaanishi awapo ILA scarcity ya uwepo wao ndiyo anataka kujua sababu?Rekebisha sasa uzi uzungumzie baadhi
Umeeleza katika namna ya kueleweka kwa woteDini ni Faraja Kwa wanawake wengi,pia ule mkusanyiko wa Kila jumapili pale ibadani ni tiba tosha ya kisaikolojia Kwa wanawake
Kwanza atapiga umbea,atalingishia wenzie mavazi yake,atashow off magari,watoto wake au mume wake Kwa mashoga/maadui zake
Pia ataipata Faraja ya kimaisha Kwa mchungaji au padri Kwa matatizo yake yanayomksibu Kwa muda huo
Kanisa ni Faraja tosha Kwa mwanamke regardless ya ukweli au uongo wa mafundisho ya Kanisa husika