Swali jepesi: Kwanini Afrika wanawake wasio na imani ya Mungu+ dini ni ngumu kuwapata ?

Swali jepesi: Kwanini Afrika wanawake wasio na imani ya Mungu+ dini ni ngumu kuwapata ?

Dini ni Faraja Kwa wanawake wengi,pia ule mkusanyiko wa Kila jumapili pale ibadani ni tiba tosha ya kisaikolojia Kwa wanawake

Kwanza atapiga umbea,atalingishia wenzie mavazi yake,atashow off magari,watoto wake au mume wake Kwa mashoga/maadui zake

Pia ataipata Faraja ya kimaisha Kwa mchungaji au padri Kwa matatizo yake yanayomksibu Kwa muda huo

Kanisa ni Faraja tosha Kwa mwanamke regardless ya ukweli au uongo wa mafundisho ya Kanisa husika
Umeeleza katika namna ya kueleweka kwa wote
 
Back
Top Bottom