Swali: Kama umeme unaleta hasara ukisafirishwa umbali mrefu, huo wa Ethiopia via Kenya haupotei?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Swali: Kama umeme unapoteza na kulea hasara Kwa sababu ya kuusagirisha Kwa mda mrefu,Huo wa kutoka Ethiopia via Kenya Hadi Tanzania wenyewe haupotei Kwa kusafiri mda mrefu? Pia soma Zambia kununua Megawatt 300 za Umeme kutoka Tanzania baada ya Ukame Kuathiri Mabwawa ya Umeme

My Take
Haya majibu hayaaminiki.

========

Serikali imetolea ufafanuzi kauli iliyotolewa na Rais Samia leo kwamba Serikali itanunua umeme maalum kwa ajili ya Mikoa ya Kanda Kaskazini ili umeme usikatikekatike ambapo imesema umeme uliopo katika Gridi ya Taifa unazalishwa kutoka ukanda wa Kusini Mashariki na hivyo kulazimika kusafirishwa umbali mrefu kwenda maeneo mbalimbali nchini hali inayosababisha upotevu mkubwa wa umeme.

Taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari Maelezo na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali leo March 09,2025 imesema “Kwa Kanda ya Kaskazini upotevu wa umeme unaosafirishwa umekuwa ukisababisha hasara ya zaidi ya Tsh. bilioni 32 kwa mwaka, kutokana na upotevu huo na usafirishaji mrefu wa umeme, Kanda ya Kaskazini imekuwa ikikabiliwa na changamoto kubwa ya kukatika kwa umeme mara kwa mara hali ambayo inawaathiri Wananchi”

“Ununuzi wa umeme kutoka Ethiopia kupitia Kenya utasaidia kuondoa changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara na kuokoa upotevu mkubwa wa umeme unaokwenda katika kanda hiyo, gharama za umeme unaonunuliwa kutoka Ethiopia ni nafuu kutokana na Tanzania kuwa mwanachama wa Gridi ya Umeme ya Ukanda wa Kaskazini mwa Afrika ambapo nchi zina makubaliano ya kuuziana umeme kwa gharama nafuu ambayo inalingana ama ni chini ya gharama za uzalishaji umeme zilizopo sasa hapa Tanzania kwa baadhi ya vyanzo vyetu”

“Utaratibu wa Tanzania kununua umeme kutoka nchi jirani umekuwa ukifanyika tangu miaka mingi hususani Mikoa ya pembezoni ambayo ni Rukwa (kutoka Zambia) Kagera (kutoka Uganda) na
Tanga (kutoka Kenya), lengo kuu la kununua umeme kwa ajili ya maeneo ya pembezoni mwa nchi ni kuimarisha Gridi ya Taifa na kuiwezesha nchi kuwa na njia mbadala ya kupata nishati ya umeme pale kunapotokea changamoto katika Gridi ya Taifa.

20250310_070933.jpg
 
Hakuna watu huwa wanajifanya wana akili kama hao engineers wa Tanesco, huwa ni wajuaji wa kila kitu na ukiwakuta wanakufafanulia na vi terminologies, vocabularies za electrical engineering unaweza kusema huyu alisoma NASA, na huwa wanaona kila mtu ni mjinga wao ndio wamesoma zaidi...

Wanasiasa wetu walivyo weupe, basi jamaa hutumia nafasi vilivyo..
 
Nakubaliana na wewe hasa kipengele Cha mwisho
 
Kuna mada yako nimekuandikia kuhusu wewe.
Katika nchi ambazo wanachukia afrika ni internet sababu mpaka uwongo utalindwa kikazi na kizazi .We nenda chooni ukatoe ulicholipwa kutuambia bwawa la umeme nyerere litauza mpaka nje,sijui tunauwezo wa kukaa miaka 3 bila maji
 
Ni Mimi au ni Tanesco na Serikali? By the way huo umeme wa bwawa la Nyerere ni kweli sehemu yake utakuwa hasa Zambia na kazi inaendelea
 
Kutoka kusini mashariki mwa Tanzania almost km 350-450 kwenda kaskazini serikali inapoteza bilion 32
Kutoka ethiopia hadi mikoa ya kaskazini ni km 2500 sasa wakisema na wao wanapoteza bilioni 192 kwenye transmition ya umeme kwa mwaka si watatuuzia umeme wao bilioni 300 kwa mwaka
Sema kwa nguvu NAKATAA KUONEKANA SINA ELIMU
sema tena NINA AKILI INAYOFANYA KAZI SAWA SAWA
ukimaliza kasali Novena
 
Hiyo sababu Haina mashiko,wao waseme ni matakwa ya AfDB waliotoa Mkopo ndio wanalazimisha hiyo na sio hizo porojo zisizo na msingi.

Harafu hawajasema tutakuwa tunalia kiasi gani
 
Kutoka kusini mashariki mwa Tanzania almost km 350-450 kwenda kaskazini serikali inapoteza bilion 32
Kutoka ethiopia hadi mikoa ya kaskazini ni km 2500 sasa wakisema na wao wanapoteza bilioni 192 kwenye transmition ya umeme kwa mwaka si watatuuzia umeme wao bilioni 300 kwa mwaka
Sema kwa nguvu NAKATAA KUONEKANA SINA ELIMU
sema tena NINA AKILI INAYOFANYA KAZI SAWA SAWA
ukimaliza kasali Novena
Wao wanapoteza billion ngapi kwenye misafara yao ya kila siku hadi waone kwamba kuwapa wananchi huduma ya umeme ni hasara? Huo ni uvivu wa kutafta solutions za matatizo yetu na ndio maana huwa tunanunua nunua hata ambavyo tunaweza kuunda wenyewe.
 
Madhara ya QT na kureset mitihani mtu elimu ya form 4 anaunganisha vyeti vinne
 
Kutoka kusini mashariki mwa Tanzania almost km 350-450 kwenda kaskazini serikali inapoteza bilion 32
Kutoka ethiopia hadi mikoa ya kaskazini ni km 2500 sasa wakisema na wao wanapoteza bilioni 192 kwenye transmition ya umeme kwa mwaka si watatuuzia umeme wao bilioni 300 kwa mwaka
Sema kwa nguvu NAKATAA KUONEKANA SINA ELIMU
sema tena NINA AKILI INAYOFANYA KAZI SAWA SAWA
ukimaliza kasali Novena

View: https://x.com/AnnaTibaijuka/status/1898915019926233134?t=Iw4t0HF6eACwDI6cPyDtVQ&s=19
 
Huo wa kutoka Ethiopia via Kenya Hadi Tanzania wenyewe haupotei Kwa kusafiri mda mrefu?
Hili swali unawauliza au unajiuliza? Km unawauliza wao hawana jibu la swali lako sababu tayari wamekwisha lipia huo umeme wa Ethiopia na hela haiwezi kurudishwa na tayari process zimeshaanza kwa hio kaa kwa kutulia, hata uulize nini hakuna utakachobadirisha wakiamua jambo lao wameamua, halafu G Msigwa anajiponza
 
Swali: Kama umeme unapoteza na kulea hasara Kwa sababu ya kuusagirisha Kwa mda mrefu,Huo wa kutoka Ethiopia via Kenya Hadi Tanzania wenyewe haupotei Kwa kusafiri mda mrefu? Pia soma Zambia kununua Megawatt 300 za Umeme kutoka Tanzania baada ya Ukame Kuathiri Mabwawa ya Umeme

View: https://www.instagram.com/p/DG_Qf94Co3n/?igsh=MWIwaWczY3BpcXhiMA==

My Take
Haya majibu hayaaminiki.

View: https://www.instagram.com/p/DG_MlUZC7IA/?igsh=MW43NXdna3Bqc2ZwNw==

Serikali tunataka mtuambie mradi wa bwawa la Nyerere imekuwaje hadi kuanza kuteleza kwamba mnanunua umeme nje ya nchi. Mlitudanganyq tatizo la umeme nchi hii litakuwa historia. Historia yenyewe ndio hii? Tukiwaita waongo na hamstahili kutuongoza tutakuwa tunakosea!?
 
..
Sema kwa nguvu NAKATAA KUONEKANA SINA ELIMU
sema tena NINA AKILI INAYOFANYA KAZI SAWA SAWA
ukimaliza kasali Novena
Majirani zangu wananishangaa hapa kwasababu nimesema kwa Sauti, kubwa tu

NAKATAA KUONEKANA SINA ELIMU X3

NINA AKILI INAYOFANYA KAZI SAWA SAAAAWA×3

ila butwaa na soni kwenye nyuso zao zangu hapa, salaaah leh

Imenibidi niwaonyeshe posti hii ili waelewe. Wanasoma posti yako sasa hv kwanini nilikuwa na bwatuka hayo maneno.

Nimewashauri wengine wasidanganyike tyuu na UFAFANUZI

"
 
Back
Top Bottom