Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Mkuu kuna wakati mtu unapata hasira kwasababu viongozi wanawachukulia wananchi kama mabumunda vile.Wanasema Ethiopia wanauza kwa Kenya, halafu Kenya ndio wanatuuza sisi. Sasa najuiliza kusafirisha umeme kutoka Kenya kaskazini hadi Namanga umeme haupotei? Au Kenya wanausafirishaje? Au umbali ni mdogo sana? Sasa hivi Mikoa ya Kaskazini wanatoa wapi umeme? Hawajaunganishwa kwenye grid ya Taifa? Oya Yimakatso! jamaa wanazingua, jambo zito namna hii hawawezi kutupa ufafanuzi kihunu kupitia X! sisi sio maboya.
Hivi ufafanuzi shallow kama huu ni wa kuueleza umma kama sio dharau?