Swali: Kama umeme unaleta hasara ukisafirishwa umbali mrefu, huo wa Ethiopia via Kenya haupotei?

Swali: Kama umeme unaleta hasara ukisafirishwa umbali mrefu, huo wa Ethiopia via Kenya haupotei?

Swali: Kama umeme unapoteza na kulea hasara Kwa sababu ya kuusagirisha Kwa mda mrefu,Huo wa kutoka Ethiopia via Kenya Hadi Tanzania wenyewe haupotei Kwa kusafiri mda mrefu? Pia soma Zambia kununua Megawatt 300 za Umeme kutoka Tanzania baada ya Ukame Kuathiri Mabwawa ya Umeme

View: https://www.instagram.com/p/DG_Qf94Co3n/?igsh=MWIwaWczY3BpcXhiMA==

My Take
Haya majibu hayaaminiki.

View: https://www.instagram.com/p/DG_MlUZC7IA/?igsh=MW43NXdna3Bqc2ZwNw==
View attachment 3265270


Moshi na Arusha ni mbali kuliko Lusaka....!!

Kuba watu kaxima watakuwa wanapiga deal hapa. MaCCM hayaaminiki.
 
Hio Project ya Kununua Umeme nje ya Tanzania sio Viable kabisa Unless wangekuwa wananunua Umeme Kutoka kenya Ambae ndio mtu wa Karibu,

Ushauri wangu Serikali iongeze Speed ya Kujenga Line za 400KV ili Arusha iwe connected na Bwawa la Mwalimu Nyerere either Kupitia Chalize Tanga au Dodoma singida

Huu mradi wa ujenzi wa 400KV Chalinze dodoma uwe speed Up there after ijengwe line ya 400KV Dodoma to Singida
Na Pia iangaliwe namna ya Kujenga 400KV line from Chalinze to Tanga
Kwa sasa Line inayotoka Chalize to Arusha Via Tanga Sidhani kama inakidhi mahitaji na ni Chakavu sana
 
Kwahiyo mkuu Ethiopia wanasafirisha umeme kutoka kwao hadi Namanga ina maana wao hawapati hasara kwa umeme kusafirishwa umbali mrefu?

Tumeambiwa umeme unaonunuliwa kutoka Ethiopia utakuwa wa bei nafuu sasa huu utetezi wa serikali kwamba kusafirisha umeme umbali mrefu ni hasara unakuwa hauna maana?
Wanasema Ethiopia wanauza kwa Kenya, halafu Kenya ndio wanatuuza sisi. Sasa najuiliza kusafirisha umeme kutoka Kenya kaskazini hadi Namanga umeme haupotei? Au Kenya wanausafirishaje? Au umbali ni mdogo sana? Sasa hivi Mikoa ya Kaskazini wanatoa wapi umeme? Hawajaunganishwa kwenye grid ya Taifa? Oya Yimakatso! jamaa wanazingua, jambo zito namna hii hawawezi kutupa ufafanuzi kihunu kupitia X! sisi sio maboya.
 
A
February Marope planned it all kila alichoplan Marope kinatekelezwa, deal done alipochomolewa hayo yote yalipigwa chini na juzi Mpishi kasema anamrudisha Marope naona yale ya Marope yote yanatekelezwa taratibu sana yaan
Acha chuki zako kwa Marope bhana. Yeye hayupo wizarani.
 
G Msigwa anajiponza anafanya maelekezo yote ya Marope
Mbane huyohuyo aliyepo ofisini. Yeye ana akili na utashi wa kutenda kulingana na sera na miongozo iliyopo. Marope hawezi kuhusika hapa kwani hayupo ofisini. Tuache kumuandama bila sababu.
 
Hakuna watu huwa wanajifanya wana akili kama hao engineers wa Tanesco, huwa ni wajuaji wa kila kitu na ukiwakuta wanakufafanulia na vi terminologies, vocabularies za electrical engineering unaweza kusema huyu alisoma NASA, na huwa wanaona kila mtu ni mjinga wao ndio wamesoma zaidi...

Wanasiasa wetu walivyo weupe, basi jamaa hutumia nafasi vilivyo..
Duh 🙄 !
Kwa mtindo huo tutapigwa sana kumbe !
 
Hakuna watu huwa wanajifanya wana akili kama hao engineers wa Tanesco, huwa ni wajuaji wa kila kitu na ukiwakuta wanakufafanulia na vi terminologies, vocabularies za electrical engineering unaweza kusema huyu alisoma NASA, na huwa wanaona kila mtu ni mjinga wao ndio wamesoma zaidi...

Wanasiasa wetu walivyo weupe, basi jamaa hutumia nafasi vilivyo..
Tutake radhi tafadhali...
 
Ni Mimi au ni Tanesco na Serikali? By the way huo umeme wa bwawa la Nyerere ni kweli sehemu yake utakuwa hasa Zambia na kazi inaendelea
Kwani serikali iliyopo madarakani ni chama gani kutwa nzima ukikisifu kama choo cha mlevi
 
Madhara ya QT na kureset mitihani mtu elimu ya form 4 anaunganisha vyeti vinne
elimu sio hoja kama mwizi we mwizi tu hao maengineer waliosoma vipaji maalum sio ndio wapo mstari wa mbele kwenye kashfa za rushwa kila cku.
 
Maji ya ziwa Victoria yanayoenda kuzalisha umeme Ethiopia, leo hii tuna mito, bahari, mabwawa, ziwa tena tukanunue umeme kwa hawa ambao kila siku tunawaita wakimbizi haramu.

Hii imekaa vibaya.
Unaweza tukanaa usiku ,mchana.
Vichaa sio wanaotembea tu barabara ni pia wenye tumewapa madaraka.

Tanesco ni Miungu watu haswa.

Unaweza omba bwawa lile libomoke tu mana halina faida.
Angalia upepo uliopo Same plus Jua
Njoo Singida hapo Upepo plus Jua.

Halafu wanatoka Kima hapa Bongo wanaenda kushangaa China wanazalisha umeme kwa solar kutoka Baharini,Jangwani.

Hakuna la maana zaidi ya wizi tu hapo.
 
Ni Mimi au ni Tanesco na Serikali? By the way huo umeme wa bwawa la Nyerere ni kweli sehemu yake utakuwa hasa Zambia na kazi inaendelea
Mlivyokuwa mnajenga bwawa la Nyerere hamkupanga kuwa mikoa ya Kaskazini nayo ipate umeme huo? Hapa kuna wizi unapangwa , they are looking for justification of their proposed deal! Mafisadi wakubwa!
 
S
Mnapewa mkopoo mkubwa mjenge bwawaa la kuzalisha umeme mnazalisha umeme mnaomba mkopo mwingine wa kusambaza umeme mahali ambapo zamani umeme ulikuwa unafika vizuri tu sasa sijajua umeme unaozalishwa sasa una utofauti gani na wa miaka hiyo. Ni UPUUZI NI UPUMBAVUUU.
Sio UPUMBAVUUU bali ni ULAJIIIII !
jamaa alipowekwa kule mahala mara ya kwanza chap chap akailipa simbiyone pesa mingi ambazo mwendazake alikataa zisilipwe !

Sasa anarudi tena kiaina for another maokotos 😳 !

Mastermind yupo paleee na Rimoti yake anachenji frikwency tu !
Ngoja Tusubiri tuone !!
 
Nadhani tununue umeme huko,nadhani hawa tanesco watajifunza namna ya kurun taasisi kama hii kwa ufanisi zaidi
 
Back
Top Bottom