Please, Maxence Melo tuwekee imog (I'm not sure if I'm right) ya kuliaHamtaki au Mnataka? Watu wameambiwa hivyo cha kushangaza nasikia makofi mara shangwe watu wanashangilia kununua umeme kutoka Ethiopia
Swali: Kama umeme unapoteza na kulea hasara Kwa sababu ya kuusagirisha Kwa mda mrefu,Huo wa kutoka Ethiopia via Kenya Hadi Tanzania wenyewe haupotei Kwa kusafiri mda mrefu? Pia soma Zambia kununua Megawatt 300 za Umeme kutoka Tanzania baada ya Ukame Kuathiri Mabwawa ya Umeme
View: https://www.instagram.com/p/DG_Qf94Co3n/?igsh=MWIwaWczY3BpcXhiMA==
My Take
Haya majibu hayaaminiki.
View: https://www.instagram.com/p/DG_MlUZC7IA/?igsh=MW43NXdna3Bqc2ZwNw==View attachment 3265270
Wanasema Ethiopia wanauza kwa Kenya, halafu Kenya ndio wanatuuza sisi. Sasa najuiliza kusafirisha umeme kutoka Kenya kaskazini hadi Namanga umeme haupotei? Au Kenya wanausafirishaje? Au umbali ni mdogo sana? Sasa hivi Mikoa ya Kaskazini wanatoa wapi umeme? Hawajaunganishwa kwenye grid ya Taifa? Oya Yimakatso! jamaa wanazingua, jambo zito namna hii hawawezi kutupa ufafanuzi kihunu kupitia X! sisi sio maboya.Kwahiyo mkuu Ethiopia wanasafirisha umeme kutoka kwao hadi Namanga ina maana wao hawapati hasara kwa umeme kusafirishwa umbali mrefu?
Tumeambiwa umeme unaonunuliwa kutoka Ethiopia utakuwa wa bei nafuu sasa huu utetezi wa serikali kwamba kusafirisha umeme umbali mrefu ni hasara unakuwa hauna maana?
Acha chuki zako kwa Marope bhana. Yeye hayupo wizarani.February Marope planned it all kila alichoplan Marope kinatekelezwa, deal done alipochomolewa hayo yote yalipigwa chini na juzi Mpishi kasema anamrudisha Marope naona yale ya Marope yote yanatekelezwa taratibu sana yaan
G Msigwa anajiponza anafanya maelekezo yote ya MaropeA
Acha chuki zako kwa Marope bhana. Yeye hayupo wizarani.
Mbane huyohuyo aliyepo ofisini. Yeye ana akili na utashi wa kutenda kulingana na sera na miongozo iliyopo. Marope hawezi kuhusika hapa kwani hayupo ofisini. Tuache kumuandama bila sababu.G Msigwa anajiponza anafanya maelekezo yote ya Marope
Duh 🙄 !Hakuna watu huwa wanajifanya wana akili kama hao engineers wa Tanesco, huwa ni wajuaji wa kila kitu na ukiwakuta wanakufafanulia na vi terminologies, vocabularies za electrical engineering unaweza kusema huyu alisoma NASA, na huwa wanaona kila mtu ni mjinga wao ndio wamesoma zaidi...
Wanasiasa wetu walivyo weupe, basi jamaa hutumia nafasi vilivyo..
Tutake radhi tafadhali...Hakuna watu huwa wanajifanya wana akili kama hao engineers wa Tanesco, huwa ni wajuaji wa kila kitu na ukiwakuta wanakufafanulia na vi terminologies, vocabularies za electrical engineering unaweza kusema huyu alisoma NASA, na huwa wanaona kila mtu ni mjinga wao ndio wamesoma zaidi...
Wanasiasa wetu walivyo weupe, basi jamaa hutumia nafasi vilivyo..
Kwani serikali iliyopo madarakani ni chama gani kutwa nzima ukikisifu kama choo cha mleviNi Mimi au ni Tanesco na Serikali? By the way huo umeme wa bwawa la Nyerere ni kweli sehemu yake utakuwa hasa Zambia na kazi inaendelea
elimu sio hoja kama mwizi we mwizi tu hao maengineer waliosoma vipaji maalum sio ndio wapo mstari wa mbele kwenye kashfa za rushwa kila cku.Madhara ya QT na kureset mitihani mtu elimu ya form 4 anaunganisha vyeti vinne
Unaweza tukanaa usiku ,mchana.Maji ya ziwa Victoria yanayoenda kuzalisha umeme Ethiopia, leo hii tuna mito, bahari, mabwawa, ziwa tena tukanunue umeme kwa hawa ambao kila siku tunawaita wakimbizi haramu.
Hii imekaa vibaya.
Mlivyokuwa mnajenga bwawa la Nyerere hamkupanga kuwa mikoa ya Kaskazini nayo ipate umeme huo? Hapa kuna wizi unapangwa , they are looking for justification of their proposed deal! Mafisadi wakubwa!Ni Mimi au ni Tanesco na Serikali? By the way huo umeme wa bwawa la Nyerere ni kweli sehemu yake utakuwa hasa Zambia na kazi inaendelea
Sio UPUMBAVUUU bali ni ULAJIIIII !Mnapewa mkopoo mkubwa mjenge bwawaa la kuzalisha umeme mnazalisha umeme mnaomba mkopo mwingine wa kusambaza umeme mahali ambapo zamani umeme ulikuwa unafika vizuri tu sasa sijajua umeme unaozalishwa sasa una utofauti gani na wa miaka hiyo. Ni UPUUZI NI UPUMBAVUUU.