Swali: Kama umeme unaleta hasara ukisafirishwa umbali mrefu, huo wa Ethiopia via Kenya haupotei?

Kwani makamba akiwa waziri, si alifumua transmission line yote na kuisuka upya,akidai magufuli alikua akisambaza umeme Kwa mitambo chakavu
Power transmission system ya Ethiopia - Kenya ni HVDC ,Sisi Kwa nini tusifanye modification kwetu na badala yake tuendelee kutengeneza utegemezi kwa sector critical kama nishati ,huu ni udumavu wa akili
 
Wanashindwa kutoa trillions kadhaa za shilingi ili kufanya modification kwenye grid ya taifa ila wanaspend trillions kwenye matumizi ya kishenzi kila siku kama misafara ,vikao ,posho na usenge wa kila aina .
Hawa mbwa kabisa
 
Wanashindwa kutoa trillions kadhaa za shilingi ili kufanya modification kwenye grid ya taifa ila wanaspend trillions kwenye matumizi ya kishenzi kila siku kama misafara ,vikao ,posho na usenge wa kila aina .
Hawa mbwa kabisa
Kina Makamba walianzishaga hiyo grid stabilisation na wakasema inahitajika Trilioni 4 mkasema wanapiga hela 🤣🤣
 
Leo umeamua kuweka uchawa pembeni na kuuliza swali Kwa ufahamu.

Hongera.
 
Dotto Biteko anasemaje kuhusu hili jambo ambalo Lina ukakasi na mikoa ya kaskazini imelipokea kwa hasira kubwa,ya kutaka CCM iondoke madarakani!
 
 

Attachments

  • VID-20250310-WA0020.mp4
    2.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…