Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kiherehere sana bwashee kaongeavyote hayo🤣Sensa ni siku 7
Tulikukosa sana ndugu VUTA-NKUVUTE .Kama watanzania, tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022. Mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku. Nikawasubiri Makarani wa sensa bila mafanikio. Sikuhesabiwa.
Sitaki kusema mengi. Sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama haya ya sensa. Mambo ya sensa ni mambo ya kisasa. Ni mambo muhimu kuliko ndimu kwenye maendeleo ya taifa letu. Lakini, kama kawaida yetu, siasa imeiingilia sensa yetu na kuitishia kuiharibu bila aibu.
Sensa yetu imegeuka uwanja wa kisasa wa siasa. Kwanza, siasa ilianza kwenye kuwapata Makarani. CCM yetu ikateka mchakato na 'kuteua' Makarani tuliowataka. Pili, matangazo yote ya sensa yalituma ujumbe mmoja wa wazi: Sensa ingefanyika tarehe 23 Agosti, 2022.
Hawafiki watanzania mia waliojua kuwa sensa ingefanyika kwa siku saba. Nani alipaswa kutuambia mapema na kutuelewesha bila kutulewesha kuhusu hili? Hakutimiza wajibu wake? Tumfanyaje? Pia, utitiri wa maswali ya sensa unasemwa kupunguza kasi ya zoezi la sensa.
Halafu, ni kama jana wamehesabiwa viongozi tu na 'wenye majina' huko mitaani. Asilimia kubwa ya wananchi wa kawaida hawakufikiwa na kuhesabiwa. Viongozi wanarindima mitandaoni kuonesha walivyohesabiwa. Ni sensa au siasa? La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi: wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho
Sensa kwa maendeleo, sensa si upendeleo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
Sensa ya Wananchi ndiyo siku saba ila tarehe 23 ni maalum kwa wanasihasa na watawala.Siku hiyo ya 23 ikawa siku ya mapumziko,vipi hizo siku 6 za kutuhesabu sisi wenyenchi zitakuwa ni siku za kazi iendelee?Kama watanzania, tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022. Mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku. Nikawasubiri Makarani wa sensa bila mafanikio. Sikuhesabiwa.
Sitaki kusema mengi. Sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama haya ya sensa. Mambo ya sensa ni mambo ya kisasa. Ni mambo muhimu kuliko ndimu kwenye maendeleo ya taifa letu. Lakini, kama kawaida yetu, siasa imeiingilia sensa yetu na kuitishia kuiharibu bila aibu.
Sensa yetu imegeuka uwanja wa kisasa wa siasa. Kwanza, siasa ilianza kwenye kuwapata Makarani. CCM yetu ikateka mchakato na 'kuteua' Makarani tuliowataka. Pili, matangazo yote ya sensa yalituma ujumbe mmoja wa wazi: Sensa ingefanyika tarehe 23 Agosti, 2022.
Hawafiki watanzania mia waliojua kuwa sensa ingefanyika kwa siku saba. Nani alipaswa kutuambia mapema na kutuelewesha bila kutulewesha kuhusu hili? Hakutimiza wajibu wake? Tumfanyaje? Pia, utitiri wa maswali ya sensa unasemwa kupunguza kasi ya zoezi la sensa.
Halafu, ni kama jana wamehesabiwa viongozi tu na 'wenye majina' huko mitaani. Asilimia kubwa ya wananchi wa kawaida hawakufikiwa na kuhesabiwa. Viongozi wanarindima mitandaoni kuonesha walivyohesabiwa. Ni sensa au siasa? La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi: wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho
Sensa kwa maendeleo, sensa si upendeleo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
Sensa ni siku 7
Nadhani kuna baadhi ya wananchi hawatohesabiwa kama serikali inavyotoa maneno ya matumaini kwenye vyombo vya habari na mitandaoni. Siasa za Siasa!Kama watanzania, tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022. Mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku. Nikawasubiri Makarani wa sensa bila mafanikio. Sikuhesabiwa.
Sitaki kusema mengi. Sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama haya ya sensa. Mambo ya sensa ni mambo ya kisasa. Ni mambo muhimu kuliko ndimu kwenye maendeleo ya taifa letu. Lakini, kama kawaida yetu, siasa imeiingilia sensa yetu na kuitishia kuiharibu bila aibu.
Sensa yetu imegeuka uwanja wa kisasa wa siasa. Kwanza, siasa ilianza kwenye kuwapata Makarani. CCM yetu ikateka mchakato na 'kuteua' Makarani tuliowataka. Pili, matangazo yote ya sensa yalituma ujumbe mmoja wa wazi: Sensa ingefanyika tarehe 23 Agosti, 2022.
Hawafiki watanzania mia waliojua kuwa sensa ingefanyika kwa siku saba. Nani alipaswa kutuambia mapema na kutuelewesha bila kutulewesha kuhusu hili? Hakutimiza wajibu wake? Tumfanyaje? Pia, utitiri wa maswali ya sensa unasemwa kupunguza kasi ya zoezi la sensa.
Halafu, ni kama jana wamehesabiwa viongozi tu na 'wenye majina' huko mitaani. Asilimia kubwa ya wananchi wa kawaida hawakufikiwa na kuhesabiwa. Viongozi wanarindima mitandaoni kuonesha walivyohesabiwa. Ni sensa au siasa? La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi: wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho
Sensa kwa maendeleo, sensa si upendeleo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
Mkuu hakika, inapaswa watu kuwajibika kwa hili akianzia bimkubwa wenu huko mbogamboga.Kama watanzania, tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022. Mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku. Nikawasubiri Makarani wa sensa bila mafanikio. Sikuhesabiwa.
Sitaki kusema mengi. Sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama haya ya sensa. Mambo ya sensa ni mambo ya kisasa. Ni mambo muhimu kuliko ndimu kwenye maendeleo ya taifa letu. Lakini, kama kawaida yetu, siasa imeiingilia sensa yetu na kuitishia kuiharibu bila aibu.
Sensa yetu imegeuka uwanja wa kisasa wa siasa. Kwanza, siasa ilianza kwenye kuwapata Makarani. CCM yetu ikateka mchakato na 'kuteua' Makarani tuliowataka. Pili, matangazo yote ya sensa yalituma ujumbe mmoja wa wazi: Sensa ingefanyika tarehe 23 Agosti, 2022.
Hawafiki watanzania mia waliojua kuwa sensa ingefanyika kwa siku saba. Nani alipaswa kutuambia mapema na kutuelewesha bila kutulewesha kuhusu hili? Hakutimiza wajibu wake? Tumfanyaje? Pia, utitiri wa maswali ya sensa unasemwa kupunguza kasi ya zoezi la sensa.
Halafu, ni kama jana wamehesabiwa viongozi tu na 'wenye majina' huko mitaani. Asilimia kubwa ya wananchi wa kawaida hawakufikiwa na kuhesabiwa. Viongozi wanarindima mitandaoni kuonesha walivyohesabiwa. Ni sensa au siasa? La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi: wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho
Sensa kwa maendeleo, sensa si upendeleo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
Acha mawazo mgando sensa inafanyika hata kwenye mataifa makubwa sio Tanzania tu na jana hiyo hata wananchi wa kawaida walihesabiwa tatizo la wabongo viongozi wasingehesabiwa mngesema piaKama watanzania, tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022. Mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku. Nikawasubiri Makarani wa sensa bila mafanikio. Sikuhesabiwa.
Sitaki kusema mengi. Sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama haya ya sensa. Mambo ya sensa ni mambo ya kisasa. Ni mambo muhimu kuliko ndimu kwenye maendeleo ya taifa letu. Lakini, kama kawaida yetu, siasa imeiingilia sensa yetu na kuitishia kuiharibu bila aibu.
Sensa yetu imegeuka uwanja wa kisasa wa siasa. Kwanza, siasa ilianza kwenye kuwapata Makarani. CCM yetu ikateka mchakato na 'kuteua' Makarani tuliowataka. Pili, matangazo yote ya sensa yalituma ujumbe mmoja wa wazi: Sensa ingefanyika tarehe 23 Agosti, 2022.
Hawafiki watanzania mia waliojua kuwa sensa ingefanyika kwa siku saba. Nani alipaswa kutuambia mapema na kutuelewesha bila kutulewesha kuhusu hili? Hakutimiza wajibu wake? Tumfanyaje? Pia, utitiri wa maswali ya sensa unasemwa kupunguza kasi ya zoezi la sensa.
Halafu, ni kama jana wamehesabiwa viongozi tu na 'wenye majina' huko mitaani. Asilimia kubwa ya wananchi wa kawaida hawakufikiwa na kuhesabiwa. Viongozi wanarindima mitandaoni kuonesha walivyohesabiwa. Ni sensa au siasa? La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi: wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho
Sensa kwa maendeleo, sensa si upendeleo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
Lengo kubwa ilikua ni uzinduzi wa sensa maana Sensa haifanyiki Tanzania tu hata nchi za ulaya zinafanya sensa punguzeni kukosoaBila shaka hii SENSA inatumika zaidi na viongozi wa kisiasa "just for publicity" ili kuonekana wao ni wazalendo.
Hivi kulikua na umuhimu gani wa kuifanya tarehe 23 kua siku ya mapumziko kama watanzania walio wengi hawatafikiwa siku hiyo??
Halafu kuna haja gani ya kuhesabu watu kila baada ya muongo mmoja badala ya kutengeneza mfumo (National Population Register) ikawa kila anaezaliwa,anaehamia, anaehama na anaefariki anarekodiwa?Lengo kubwa ilikua ni uzinduzi wa sensa maana Sensa haifanyiki Tanzania tu hata nchi za ulaya zinafanya sensa punguzeni kukosoa
Miye nakusabahi TU kwani sijakusoma kitambo Sana. Mengine acha yaende hivyo hivyo huenda yakaboost brain zetu tukazinduka au tukalala zaidi!Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila mafanikio, sikuhesabiwa.
Sitaki kusema mengi, sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama haya ya sensa. Mambo ya sensa ni mambo ya kisasa, ni mambo muhimu kuliko ndimu kwenye maendeleo ya taifa letu. Lakini, kama kawaida yetu, siasa imeiingilia sensa yetu na kuitishia kuiharibu bila aibu.
Sensa yetu imegeuka uwanja wa kisasa wa siasa. Kwanza, siasa ilianza kwenye kuwapata makarani, CCM yetu ikateka mchakato na 'kuteua' makarani tuliowataka. Pili, matangazo yote ya sensa yalituma ujumbe mmoja wa wazi; sensa ingefanyika tarehe 23 Agosti, 2022.
Hawafiki watanzania mia waliojua kuwa sensa ingefanyika kwa siku saba. Nani alipaswa kutuambia mapema na kutuelewesha? Bila kutulewesha kuhusu hili hakutimiza wajibu wake, tumfanyaje? Pia, utitiri wa maswali ya sensa unasemwa kupunguza kasi ya zoezi la sensa.
Halafu, ni kama jana wamehesabiwa viongozi tu na 'wenye majina' huko mitaani. Asilimia kubwa ya wananchi wa kawaida hawakufikiwa na kuhesabiwa. Viongozi wanarindima mitandaoni kuonesha walivyohesabiwa. Ni sensa au siasa? La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi; wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho!
Sensa kwa maendeleo, sensa si upendeleo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
🤔Nakuomba uungane nami Lucas mwashambwa kumsaidia mh Rais wetu mpendwa
Dhima ya kukusanya takwimu za idadi ya wananchi ni la mhimu sana ila namna linavyofanyika, matumizi ya rasilimali fedha/vifaa na matarajio ya matumizi yake huchakachuliwa kwa sababu binafsi na za kisiasa.Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila mafanikio, sikuhesabiwa.
Sitaki kusema mengi, sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama haya ya sensa. Mambo ya sensa ni mambo ya kisasa, ni mambo muhimu kuliko ndimu kwenye maendeleo ya taifa letu. Lakini, kama kawaida yetu, siasa imeiingilia sensa yetu na kuitishia kuiharibu bila aibu.
Sensa yetu imegeuka uwanja wa kisasa wa siasa. Kwanza, siasa ilianza kwenye kuwapata makarani, CCM yetu ikateka mchakato na 'kuteua' makarani tuliowataka. Pili, matangazo yote ya sensa yalituma ujumbe mmoja wa wazi; sensa ingefanyika tarehe 23 Agosti, 2022.
Hawafiki watanzania mia waliojua kuwa sensa ingefanyika kwa siku saba. Nani alipaswa kutuambia mapema na kutuelewesha? Bila kutulewesha kuhusu hili hakutimiza wajibu wake, tumfanyaje? Pia, utitiri wa maswali ya sensa unasemwa kupunguza kasi ya zoezi la sensa.
Halafu, ni kama jana wamehesabiwa viongozi tu na 'wenye majina' huko mitaani. Asilimia kubwa ya wananchi wa kawaida hawakufikiwa na kuhesabiwa. Viongozi wanarindima mitandaoni kuonesha walivyohesabiwa. Ni sensa au siasa? La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi; wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho!
Sensa kwa maendeleo, sensa si upendeleo!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
Kwamba mimi nikimuona Mwigulu ama Diamond amehesabiwa ndiyo nitakuwa na moyo ama ari ya kuhesabiwa? Lahasha!Ndugu yangu kwanza nakupongeza kwa uzalendo wako wa kuamua kuwasubiri makarani wa Sensa ili uhesabiwe, pili napenda kukuomba uendeleza uzalendo huo ili makarani wakifika wapate taarifa zote, naomba nikuhakikishie kuwa hakuna atakaye achwa bila kuhesabiwa,
Zoezi hili linatumia mfumo mpya wa teknolojia ukilinganisha na sensa zilizotangulia huko nyuma, hivyo changamoto za hapa na pale Ni kawaida kutokea, lakini zoezi huku mitaani linaendelea vizuri tu,
Mimi Kama kijana niliye huku mitaani na ninayeifuatilia zoezi hili na Kuendelea kuwahamasisha watu kutoa ushirikiano kwa makarani wanasema zoezi linaendelea vizuri tu na ushirikiano wanatoa kwa makarani
Kuhusu sijuwi viongozi kuonekana wakihesabiwa siku ya Jana na kupiga picha ilikuwa Ni njia ya Kuendelea kuwahamasisha watanzania waendelee kutoa ushirikiano na wote tuhesabiwe, ndio maana hukuona siasa zozote maana hili siyo zoezi la kuhesabu wanachama wa chama chochote maana hiyo Ni kazi ya chama husika kujuwa idadi ya wanachama wake, ndio maana uliona hata viongozi wa upinzani wakihamasisha watu wahesabiwe
Nakuomba uungane nami Lucas mwashambwa kumsaidia mh Rais wetu mpendwa kuwahamasisha watanzania waweze kuhesabiwa, ili iwe lahisi kwa mh Rais wetu kupanga mipango ya maendeleo na kibajeti itakayo gusa maisha ya kila mtanzania na makundi yote, kupanga maendeleo ambayo hayatamuacha mtu nyuma
Naunga mkono hojaSensa ya watu na makazi,
#HAKUNA KAMA SAMIA