Swali korofi: Hii ni sensa au siasa?

Swali korofi: Hii ni sensa au siasa?

Kitu chochote ukiona nguvu kubwa inatumika kukinadi ujue kuna tatizo wananchi wameumizwa na kodi na tozo ambazo hawazielewi na serikali haina majibu chanya

Msemaji mkuu wa serikali amebaki kupiga siasa wakati alipaswa kutoa majibu ya maswali magumu kutoka kwa wananchi ila anaishia kutoa majibu mepesi tu.
 
Mkuu suala la malipo likiwa wazi kiasi hiki nadhani makarani hawatakuwa salama sana!, Rejea uporwaji wa Vishikwambi uliofanyika hata kwa juzi na jana tu!!
Hapana malipo ya washiriki wote wa Sensa yako very open
 
Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila mafanikio, sikuhesabiwa.

Sitaki kusema mengi, sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama haya ya sensa. Mambo ya sensa ni mambo ya kisasa, ni mambo muhimu kuliko ndimu kwenye maendeleo ya taifa letu. Lakini, kama kawaida yetu, siasa imeiingilia sensa yetu na kuitishia kuiharibu bila aibu.

Sensa yetu imegeuka uwanja wa kisasa wa siasa. Kwanza, siasa ilianza kwenye kuwapata makarani, CCM yetu ikateka mchakato na 'kuteua' makarani tuliowataka. Pili, matangazo yote ya sensa yalituma ujumbe mmoja wa wazi; sensa ingefanyika tarehe 23 Agosti, 2022.

Hawafiki watanzania mia waliojua kuwa sensa ingefanyika kwa siku saba. Nani alipaswa kutuambia mapema na kutuelewesha? Bila kutulewesha kuhusu hili hakutimiza wajibu wake, tumfanyaje? Pia, utitiri wa maswali ya sensa unasemwa kupunguza kasi ya zoezi la sensa.

Halafu, ni kama jana wamehesabiwa viongozi tu na 'wenye majina' huko mitaani. Asilimia kubwa ya wananchi wa kawaida hawakufikiwa na kuhesabiwa. Viongozi wanarindima mitandaoni kuonesha walivyohesabiwa. Ni sensa au siasa? La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi; wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho!

Sensa kwa maendeleo, sensa si upendeleo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
Huu imeonyesha udhaifu wa walio madarakani. Naamini waliokuwa wanasita kumkabidhi madaraka baada ya msiba ule walikuwa sahihi
 
Mkuu, suala zima muhimu lililopo nyuma ya Sensa ni umiliki wake. Endapo kila mwananchi akiona ni kitu muhimu kuhasabiwa, hatosita kufanya hivyo ijapokuwa kuna changamoto za hapa na pale ambazo zimeonyesha kujitokeza.

Wingi wa maswali yaliyopo kwenye dodoso yakihitaji taarifa ambazo zipo NIDA ni kitu ambacho kinachelewesha zoezi hili kwenda kwa mwendo wa haraka. Mimi nashauri kwa sensa ijayo ya 2032, zoezi hili lisimamiwe na viongozi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji badala ya makarani wa sensa kama ambavyo inafanyika hivi sasa.

Viongozi hawa wapo siku zote karibu na wananchi wao, kiasi kwamba wana taarifa sahihi kuhusu makazi yao, familia zao, vipato vyao na shughuli zao za kiuchumi.
 
Kwa kifupi zoezi wangeachiwa viongozi wa mashina wajaze kwa wakazi wao manually na wawepo makarani kama wawili kwenye ofisi ya serikali za mtaa wachukue data, kama kuna utata karani anapiga simu. Kwisha habari. Sasa vishikwambi kila karani nchi nzima shilingi ngapi?
Na sidhani kama jpm angekubali kutumia mabilioni yote hayo ila yote heri tarehe 23 na 24 sijaona misururu mirefu kwenye ATM, walimu wameponea hapo
 
Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila mafanikio, sikuhesabiwa.

Sitaki kusema mengi, sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama haya ya sensa. Mambo ya sensa ni mambo ya kisasa, ni mambo muhimu kuliko ndimu kwenye maendeleo ya taifa letu. Lakini, kama kawaida yetu, siasa imeiingilia sensa yetu na kuitishia kuiharibu bila aibu.

Sensa yetu imegeuka uwanja wa kisasa wa siasa. Kwanza, siasa ilianza kwenye kuwapata makarani, CCM yetu ikateka mchakato na 'kuteua' makarani tuliowataka. Pili, matangazo yote ya sensa yalituma ujumbe mmoja wa wazi; sensa ingefanyika tarehe 23 Agosti, 2022.

Hawafiki watanzania mia waliojua kuwa sensa ingefanyika kwa siku saba. Nani alipaswa kutuambia mapema na kutuelewesha? Bila kutulewesha kuhusu hili hakutimiza wajibu wake, tumfanyaje? Pia, utitiri wa maswali ya sensa unasemwa kupunguza kasi ya zoezi la sensa.

Halafu, ni kama jana wamehesabiwa viongozi tu na 'wenye majina' huko mitaani. Asilimia kubwa ya wananchi wa kawaida hawakufikiwa na kuhesabiwa. Viongozi wanarindima mitandaoni kuonesha walivyohesabiwa. Ni sensa au siasa? La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi; wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho!

Sensa kwa maendeleo, sensa si upendeleo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
Mbona ilielezwq wazi Sensa ni siku saba ndugu yangu? Viongozi kuonekana jana naamini ni kwa nia njema kuonyesha njia. #Tushirikiane tukamilishe jambo hili.🙏🙏🙏
 
Kwa kifupi zoezi wangeachiwa viongozi wa mashina wajaze kwa wakazi wao manually na wawepo makarani kama wawili kwenye ofisi ya serikali za mtaa wachukue data, kama kuna utata karani anapiga simu. Kwisha habari. Sasa vishikwambi kila karani nchi nzima shilingi ngapi?
Nakubaliana nawe watendaji wa vijiji mitaa na kata ndio wenye watu wangekuwa ndio watendaji wakuu wa zoezi hili na wakapewa msaada wa nguvu kazi kidogo kuwaongeza nguvu wanayajua maeneo yao na watu wao zoezi lisingekuwa gumu hizi kwa kiasi fulani siasa imevuruga mambo
 
Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila mafanikio, sikuhesabiwa.

Sitaki kusema mengi, sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama haya ya sensa. Mambo ya sensa ni mambo ya kisasa, ni mambo muhimu kuliko ndimu kwenye maendeleo ya taifa letu. Lakini, kama kawaida yetu, siasa imeiingilia sensa yetu na kuitishia kuiharibu bila aibu.

Sensa yetu imegeuka uwanja wa kisasa wa siasa. Kwanza, siasa ilianza kwenye kuwapata makarani, CCM yetu ikateka mchakato na 'kuteua' makarani tuliowataka. Pili, matangazo yote ya sensa yalituma ujumbe mmoja wa wazi; sensa ingefanyika tarehe 23 Agosti, 2022.

Hawafiki watanzania mia waliojua kuwa sensa ingefanyika kwa siku saba. Nani alipaswa kutuambia mapema na kutuelewesha? Bila kutulewesha kuhusu hili hakutimiza wajibu wake, tumfanyaje? Pia, utitiri wa maswali ya sensa unasemwa kupunguza kasi ya zoezi la sensa.

Halafu, ni kama jana wamehesabiwa viongozi tu na 'wenye majina' huko mitaani. Asilimia kubwa ya wananchi wa kawaida hawakufikiwa na kuhesabiwa. Viongozi wanarindima mitandaoni kuonesha walivyohesabiwa. Ni sensa au siasa? La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi; wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho!

Sensa kwa maendeleo, sensa si upendeleo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
Hebu acha upumbavu wewe
 
Hivi ukikaa nyumbani eti unasubiri makarani wa sensa uhesabiwe hv utakula Sensa kweli?
 
Kwa maana halisi hii sio SENSA sijui tuiite mdudu gani.Maana ya SENSA ni shughuli ya kuhesabu watu na Makazi.Sasa kinachofanyika ni nini kama wanahesabu redio,tv,vifo,kadi za nida,mifugo,simu za kupangusa,viswaswadu,wanaocheza game kwenye simu,matumizi ya internat,laptop,desk top,sabufa,mashamba,mazao,wamachinga,mitaji ya wafanyabiashara,magari,pikipiki,baiskeli,madini,vyeti vya kuzaliwa.Kwa mwendo huu hii shughuli haifai kuitwa research kwababu haijawi kutokea research kubwa hivi.Hata huwe profesa wa sensa au research huwezi valid data au valid processed data(information).Kwa namna hii bado kazi hipo viongozi wajipange au waamue kutumia siasa ili hili swala la SENSA lipite na maisha yaendelee la sivyo kuna kutokwa jasho kinywani.
 
Sijui kwa mikao mengine, ila kwa Dar es salaam zoezi zima la sensa limefeli...
 
Kama watanzania tulijiandaa kuhesabiwa jana tarehe 23 Agosti, 2022, mambo yamekuwa si mambo. Nilikuwa nyumbani kwangu Sombetini, Arusha tangu asubuhi hadi usiku nikawasubiri makarani wa sensa bila mafanikio, sikuhesabiwa.

Sitaki kusema mengi, sitaki kuonekana nachonga kwa mambo ya kitaifa kama haya ya sensa. Mambo ya sensa ni mambo ya kisasa, ni mambo muhimu kuliko ndimu kwenye maendeleo ya taifa letu. Lakini, kama kawaida yetu, siasa imeiingilia sensa yetu na kuitishia kuiharibu bila aibu.

Sensa yetu imegeuka uwanja wa kisasa wa siasa. Kwanza, siasa ilianza kwenye kuwapata makarani, CCM yetu ikateka mchakato na 'kuteua' makarani tuliowataka. Pili, matangazo yote ya sensa yalituma ujumbe mmoja wa wazi; sensa ingefanyika tarehe 23 Agosti, 2022.

Hawafiki watanzania mia waliojua kuwa sensa ingefanyika kwa siku saba. Nani alipaswa kutuambia mapema na kutuelewesha? Bila kutulewesha kuhusu hili hakutimiza wajibu wake, tumfanyaje? Pia, utitiri wa maswali ya sensa unasemwa kupunguza kasi ya zoezi la sensa.

Halafu, ni kama jana wamehesabiwa viongozi tu na 'wenye majina' huko mitaani. Asilimia kubwa ya wananchi wa kawaida hawakufikiwa na kuhesabiwa. Viongozi wanarindima mitandaoni kuonesha walivyohesabiwa. Ni sensa au siasa? La mwisho, malipo ya makarani yawe wazi; wanalipwa ngapi, lini na kwa namna gani? Kificho ni kitisho!

Sensa kwa maendeleo, sensa si upendeleo!

Mzee Tupatupa wa Lumumba (safarini kwenda Dodoma)
P
 
Wewe unaonaje? 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220828-173257.png
    Screenshot_20220828-173257.png
    158.5 KB · Views: 1
Back
Top Bottom