Unatamani mapinduzi ya Kijeshi?? Yaani utawala wa kijeshi kwako ndo unaona suluhu ya demokrasia?? Hii nchi ina watu haki 🙌Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.
kuropoka tu ndicho anachoweza....wenye akili ndogo wanamuona anafaa, mbona hajamtoa Slaa mahabusu ...si alisema sasa ni siasa za harakati/mshikemshike.Wanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu 2025?,au an individual ability ya Tundu Lissu kuiingiza Chadema ikulu kwa Lissu kumshinda kirahisi mgombea wa CCM wa 2025 kwa sababu anajulikana?。 Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。
Karibuni tujadili。
1。 Tuanze na Mwenyekiti Mbowe,hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema,tatizo ni Mbowe ame overstay,hivyo kufikia point ya saturated solution,it can take no more than it can,yaani Mbowe hapo alipofika,amefikia optimum ya uwezo wake hawezi kufanya chochote zaidi ya ukinganganizi wa kung'ang'ania madaraka kwa excuse ya hakuna mwingine yoyote anayeweza,hivyo kwangu mimi ile siku Mbowe ametangaza kutetea kiti chake,that was the end of ndoto ya Lissu kuwa mwenyekiti Chadema kwasababu Mbowe ni undefitable!Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
Paskali
Unatamani mapinduzi ya Kijeshi?? Yaani utawala wa kijeshi kwako ndo unaona suluhu ya demokrasia?? Hii nchi ina watu haki 🙌
Sijaiona ability zaidi ya Ability aliyokuwa nayo Mwalimu katika uongozi wa Nchi hii !Wanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu 2025?,au an individual ability ya Tundu Lissu kuiingiza Chadema ikulu kwa Lissu kumshinda kirahisi mgombea wa CCM wa 2025 kwa sababu anajulikana?。 Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。
Karibuni tujadili。
Paskali
Na huyu hapa huu si uropokaji mchana wa jua kali mtu yuko bwaxi hivikuropoka tu ndicho anachoweza....wenye akili ndogo wanamuona anafaa, mbona hajamtoa Slaa mahabusu ...si alisema sasa ni siasa za harakati/mshikemshike.
Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。
Paskali
Nilidhani unamjadili Lissu kumbe ni yale yale kuhusu Mbowe!Wanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu 2025?,au an individual ability ya Tundu Lissu kuiingiza Chadema ikulu kwa Lissu kumshinda kirahisi mgombea wa CCM wa 2025 kwa sababu anajulikana?。 Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。
Karibuni tujadili。
1。 Tuanze na Mwenyekiti Mbowe,hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema,tatizo ni Mbowe ame overstay,hivyo kufikia point ya saturated solution,it can take no more than it can,yaani Mbowe hapo alipofika,amefikia optimum ya uwezo wake hawezi kufanya chochote zaidi ya ukinganganizi wa kung'ang'ania madaraka kwa excuse ya hakuna mwingine yoyote anayeweza,hivyo kwangu mimi ile siku Mbowe ametangaza kutetea kiti chake,that was the end of ndoto ya Lissu kuwa mwenyekiti Chadema kwasababu Mbowe ni undefitable!Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
Paskali
Bora huo ili hiki chama kinachokaa madarakani kwa shuruti kitoke tuanze upya.Unatamani mapinduzi ya Kijeshi?? Yaani utawala wa kijeshi kwako ndo unaona suluhu ya demokrasia?? Hii nchi ina watu haki 🙌
Lengo ni nini hasa...!? Mbona hujataja vyuma vingine ambavyo iliwahi kugombea nafasi hiyo, mfano Makamba, Mwigulu na wengineo?"Makonda"
Katika ulimwengu wa nchi zenye maendeleo kidogo, Demokrasia inayoubiriwa na Nchi za Magharibi ni kupotezeana muda kufikia Maendeleo halisi ya kiteknolojia kiuchumi na kijamii. Hizi nchi zinahitaji demokrasia ya kipekee inayozingatia tamaduni za watu wake.demokrasia
Labda mchakato lakini mapinduzi ya kijeshi akija akina Mobutu,au Amin au Bokassa utajuta kuzaliwa.Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.
Tutalia wote, hata hawa wanaoona ni sahihi kuchezea demokrasia sasa na kutawala kwa shuruti.Labda mchakato lakini mapinduzi ya kijeshi akija akina Mobutu,au Amin au Bokassa utajuta kuzaliwa.
Usije ukalia na kusaga meno.Utawala wa kijeshi haukoselewi,hauitaji maoni yako,wakikwambia lala saa mbili usiku ndio hivyo.
Siasa za karne hii zinataka makondoo tuu.Lisu angefaa sana kipindi cha kugombea uhuru.
Angemsaidia sana Nyerere.
Ni aina ya watu wanaopenda kupambana na mifumo, ila siasa za karne hii hazitaki watu wa aina hiyo.
Hana yote mawili.😃😃😃😃Wanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu 2025?,au an individual ability ya Tundu Lissu kuiingiza Chadema ikulu kwa Lissu kumshinda kirahisi mgombea wa CCM wa 2025 kwa sababu anajulikana?。 Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。
Karibuni tujadili。
1。 Tuanze na Mwenyekiti Mbowe,hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema,tatizo ni Mbowe ame overstay,hivyo kufikia point ya saturated solution,it can take no more than it can,yaani Mbowe hapo alipofika,amefikia optimum ya uwezo wake hawezi kufanya chochote zaidi ya ukinganganizi wa kung'ang'ania madaraka kwa excuse ya hakuna mwingine yoyote anayeweza,hivyo kwangu mimi ile siku Mbowe ametangaza kutetea kiti chake,that was the end of ndoto ya Lissu kuwa mwenyekiti Chadema kwasababu Mbowe ni undefitable!Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
Paskali
Sio rahisi Tundu Lissu kukishinda chama Dola isitoshe Katiba yenyewe inaruhusu na kutambua demokrasia ya chama kimoja tu.Wanabodi,

Kaka Paschal,Wanabodi,