Swali Kuhusu Thamani Kuu ya Tundu Lissu Ndani ya Chadema ni Ipi Kati ya Uwezo wa Uenyekiti wa Chadema au Uwezo wa Kuiingiza Chadema Ikulu 2025 ?

Wanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu 2025?,au an individual ability ya Tundu Lissu kuiingiza Chadema ikulu kwa Lissu kumshinda kirahisi mgombea wa CCM wa 2025 kwa sababu anajulikana?。 Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。

Karibuni tujadili。
1。 Tuanze na Mwenyekiti Mbowe,hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema,tatizo ni Mbowe ame overstay,hivyo kufikia point ya saturated solution,it can take no more than it can,yaani Mbowe hapo alipofika,amefikia optimum ya uwezo wake hawezi kufanya chochote zaidi ya ukinganganizi wa kung'ang'ania madaraka kwa excuse ya hakuna mwingine yoyote anayeweza,hivyo kwangu mimi ile siku Mbowe ametangaza kutetea kiti chake,that was the end of ndoto ya Lissu kuwa mwenyekiti Chadema kwasababu Mbowe ni undefitable!Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Paskali
kuropoka tu ndicho anachoweza....wenye akili ndogo wanamuona anafaa, mbona hajamtoa Slaa mahabusu ...si alisema sasa ni siasa za harakati/mshikemshike.
 
Unatamani mapinduzi ya Kijeshi?? Yaani utawala wa kijeshi kwako ndo unaona suluhu ya demokrasia?? Hii nchi ina watu haki 🙌

..Ccm ndio wanaelekea kuufunga mlango wa siasa za kidemokrasia.

..hali ikiendelea namna hii wanavyotupeleka Ccm usije ukashangaa tukaishia huko anakotamani huyo mchangiaji.
 
Wanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu 2025?,au an individual ability ya Tundu Lissu kuiingiza Chadema ikulu kwa Lissu kumshinda kirahisi mgombea wa CCM wa 2025 kwa sababu anajulikana?。 Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。

Karibuni tujadili。

Paskali
Sijaiona ability zaidi ya Ability aliyokuwa nayo Mwalimu katika uongozi wa Nchi hii !
That means tangu baada ya hapo yeyote anaweza kuwa na ability ya aina yake iwe inakubalika au haikubaliki kiuongozi na bado akaweza kuwa Kiongozi bila wasiwasi wowote ule Including Tundu Lissu 😳🙌👍. !
I hope nimeeleweka !
Sina la kuongezea 🙏🙏
 
Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。

Paskali

Habari ndani ya Habari...

Nadhani hii ni habari kubwa sana, na tunaokujua hiki kitu ni cha kuchukuliwa kwa umakini.

Anyways, hakuna mgombea wa Upinzani wa kupambana kias cha kuitoa CCM madarakani.

Angalao FAM kazuia siasa za watu kuuwawa kwa mamia kwa sababu ya uchaguzi... Tusipoliona hilo, dark days ahead
 
Wanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu 2025?,au an individual ability ya Tundu Lissu kuiingiza Chadema ikulu kwa Lissu kumshinda kirahisi mgombea wa CCM wa 2025 kwa sababu anajulikana?。 Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。

Karibuni tujadili。
1。 Tuanze na Mwenyekiti Mbowe,hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema,tatizo ni Mbowe ame overstay,hivyo kufikia point ya saturated solution,it can take no more than it can,yaani Mbowe hapo alipofika,amefikia optimum ya uwezo wake hawezi kufanya chochote zaidi ya ukinganganizi wa kung'ang'ania madaraka kwa excuse ya hakuna mwingine yoyote anayeweza,hivyo kwangu mimi ile siku Mbowe ametangaza kutetea kiti chake,that was the end of ndoto ya Lissu kuwa mwenyekiti Chadema kwasababu Mbowe ni undefitable!Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Paskali
Nilidhani unamjadili Lissu kumbe ni yale yale kuhusu Mbowe!

Amandla...
 
"Makonda"
Lengo ni nini hasa...!? Mbona hujataja vyuma vingine ambavyo iliwahi kugombea nafasi hiyo, mfano Makamba, Mwigulu na wengineo?
===
Kwenye mada, Antipasu simtofautishi sana na "watu" wa Benghazi dhidi ya maslahi tukuka ya Chama kikuu na Taifa la Libya wakati wa M. Gaddafi (R.I.P)!

demokrasia
Katika ulimwengu wa nchi zenye maendeleo kidogo, Demokrasia inayoubiriwa na Nchi za Magharibi ni kupotezeana muda kufikia Maendeleo halisi ya kiteknolojia kiuchumi na kijamii. Hizi nchi zinahitaji demokrasia ya kipekee inayozingatia tamaduni za watu wake.

Siyo hii demokrasia inayopinga mtoto kumnawisha mikono mzazi wake kabla na baada ya kula eti ni unyanyasaji!!!
 
Mchungaji Mwingira kasha wahi sema "Lissu ni mshindi" licha ya nguvu kubwa inayo tumika kumshinda lakini mwisho huonekana ni mshindi,kipindi cha JPM kila mmoja aliufyata hata ndani ya CCM hakuna aliyekuwa anasema hata Suu,isipo kuwa Mzee Membe alone,wengine wote walikuwa kimya na kuogopa,lakini Lissu ndo alikuwa mwamba haswa kila mtu ni shaidi.

Huyu bwana ni mtu muhimu kwenye taifa hili,ni vile Afrika tunakumbatia sana ujinga na upumbavu.Mtu mwenye akili timamu hawezi kudai au kusema taifa hili lina uchaguzi Kuna muda mtu Mweupe kumuona mtu mweusi kama Nyani anaye vaa nguo huwa Sawa.
 
Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi.
Labda mchakato lakini mapinduzi ya kijeshi akija akina Mobutu,au Amin au Bokassa utajuta kuzaliwa.
Usije ukalia na kusaga meno.Utawala wa kijeshi haukoselewi,hauitaji maoni yako,wakikwambia lala saa mbili usiku ndio hivyo.
 
Mkuu Pascal, mbona hili jambo Kwa LISSU liko wazi.unajua LISSU ni anayetabirika ?.

LISSU hakuutaka Uenyekiti, aligombea Umakamo akijua Urais atapewa yeye.

Kumbe, Mbowe anataka amzunguke, Uenyekiti yeye, na Urais agombee yeye, na mwisho anamtuma Wenje agombee Umakamo.

Sasa ipi Thaman ya LISSU CHADEMA?.

Ukweli ni kwamba LISSU hata awe Mwanachama wa kawaida, awe makamo auwenyekiti, awe Mgombea Urais, Yeye anabaki kua wa THAMANI .

Akiwa Mwenyekiti, ni No reform, No Election.

Akiwa Mgombea ni No Reform , No Election .
 
Lisu angefaa sana kipindi cha kugombea uhuru.

Angemsaidia sana Nyerere.

Ni aina ya watu wanaopenda kupambana na mifumo, ila siasa za karne hii hazitaki watu wa aina hiyo.
 
Labda mchakato lakini mapinduzi ya kijeshi akija akina Mobutu,au Amin au Bokassa utajuta kuzaliwa.
Usije ukalia na kusaga meno.Utawala wa kijeshi haukoselewi,hauitaji maoni yako,wakikwambia lala saa mbili usiku ndio hivyo.
Tutalia wote, hata hawa wanaoona ni sahihi kuchezea demokrasia sasa na kutawala kwa shuruti.
 
Wanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu 2025?,au an individual ability ya Tundu Lissu kuiingiza Chadema ikulu kwa Lissu kumshinda kirahisi mgombea wa CCM wa 2025 kwa sababu anajulikana?。 Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。

Karibuni tujadili。
1。 Tuanze na Mwenyekiti Mbowe,hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema,tatizo ni Mbowe ame overstay,hivyo kufikia point ya saturated solution,it can take no more than it can,yaani Mbowe hapo alipofika,amefikia optimum ya uwezo wake hawezi kufanya chochote zaidi ya ukinganganizi wa kung'ang'ania madaraka kwa excuse ya hakuna mwingine yoyote anayeweza,hivyo kwangu mimi ile siku Mbowe ametangaza kutetea kiti chake,that was the end of ndoto ya Lissu kuwa mwenyekiti Chadema kwasababu Mbowe ni undefitable!Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

Paskali
Hana yote mawili.😃😃😃😃
 
Sio rahisi Tundu Lissu kukishinda chama Dola isitoshe Katiba yenyewe inaruhusu na kutambua demokrasia ya chama kimoja tu.
 
Kaka Paschal,

We ni mtu smart sana katika wasilisho lolote hapa jukwaani. Na ni mtu tricky sana ambapo inahitaji msomaji awe na 'intuition' kubwa kwanza kuweza kung'amua nini umeandika na nini unamaanisha. Mara nyingi unachokiandika sicho unachomaanisha.

Turejee madani, sina imani kama lengo la mada ni Lissu/Mbowe/Chadema, mahala mimi nimeona ni sehemu ulipotaja wagombea wa CCM. Kabla ya kutia neno nina swali, je unazungumzia uchaguzi huu wa mwaka huu au mwaka 2030? Kama ni mwaka huu hao wagombea wa CCM kwanini umewaweka wakati hawatagombea 2025 unless 2030?? Na kama ni uchaguzi wa 2030, je bado Lissu atakua ana mvuto ule ule wa kugombea nafasi ya Urais??

AU MKUU, MADA YAKO NI WAGOMBEA FROM BOTH PARTIES WA 2025??????

Sasa kujibu mada kwa muktadha wa "common understanding" ni kwamba Lissu sio presidential material, hana sifa za urais. Lakini Lissu ana sifa zote za uenyekiti wa Chadema kumzidi Mbowe, hivyo ana uwezo wa kuleta upinzani mkubwa sana. Lissu anakubalika na jamii kubwa ya watanzania, anajiamini na ana uthubutu mkubwa wa kusema na kufanya jambo. Lissu hana cha kupoteza, kama alipigwa risasi na akapona anaamini muda wote yupo vitani. Lakini Mbowe hana sifa wala dalili ya sifa yoyote kati ya hizo. Labda zamani alikubalika kwenye kuongoza ila sio siasa ya sasa iliyojaa uanaharakati zaidi ikichagizwa na kundi kubwa la vijana waliomaliza vyuo na kukosa ajira ambao wana uelewa mkubwa kwa sasa tofauti na miaka ya nyuma. So katika "balanced political" politics kwa sasa Lissu ni the best kua mwenyekiti na Mbowe awe mshauri wa chama!!!
 
Back
Top Bottom