Swali kutoka kwa mdau kuhusi hizi imani tatu, Uislamu, Ukristo na kwa Mganga

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Swali kutoka kwa mdau kuhusi hizi imani tatu, Uislamu, Ukristo na kwa Mganga
Screenshot_20241112_113712_Instagram.jpg
Naomba kuwasilisha bila kuongeza kitu chochote.

Nawasilisha.
 
Kote huko si sahihi, ila sehemu moja wengi wanaenda sana kiasi dhambi hiyo wanaiona kawaida, hili kosa jingine ni jipya kwao.

Ni kama wanaowala ndogo wadada, wanawashangaa wanaowala wanaume, lakini wote ni wazee wa NUKT A.
 
kwa mganga hawashangai kwasababu ni sawa na ule usemi usemao "rudi nyumbani kumenoga!" ama ule usemao "kurudisha mpira kwa kipa!"

Dini ni tamaduni ambazo zimechanganyika na imani, Africa uislamu na ukristo ni tamaduni na imani za kurithi si chimbuko asili la Africa na ndio maana wengi wao huzirudia pale wanapopatwa na shida ambazo sehemu nyengine hazikutatuliwa!.
Na moja kati ya sifa ya imani na tamaduni ni huwa zina jilinda ili kutoingiliana na tamaduni nyengine na ziweze kuishi tena kesho ijayo, ndio maana ukienda kwa wakristo watakuambia uganga ni mmbaya, waislamu watakuambia pia ukristo ni mmbaya, sawasawa na uganga pia haupatani na hizo imani mbili pia!.

Binafsi sina hakika kama uganga, ukristo na uislamu unaweza kutatua shida zetu!, zaidi zaidi yakuigawa jamii tu!, ulimwengu wakiroho nafikiri ni wakufikirika tu.. kama imani hizo zingekuwa zinatatua mambo kama tunavyoaminishwa basi kuna vingi sana visingekuwa kama tunavyoviona,kuvielewa na kuenenda.
 
Umewahi kujiuliza kwanini Mashekhe wengi ni waganga wa kienyeji?

Unajua kwanini Waislam na Majini wanapatana sana?

Ulishawahi Ona shekhe akitoa Pepo kwa kulikemea?
 
kwa mganga hawashangai kwasababu ni sawa na ule usemi usemao "rudi nyumbani kumenoga!" ama ule usemao "kurudisha mpira kwa kipa!"

Dini ni tamaduni ambazo zimechanganyika na imani, Africa uislamu na ukristo ni tamaduni na imani za kurithi si chimbuko asili la Africa na ndio maana wengi wao huzirudia pale wanapopatwa na shida ambazo sehemu nyengine hazikutatuliwa!.
Na moja kati ya sifa ya imani na tamaduni ni huwa zina jilinda ili kutoingiliana na tamaduni nyengine na ziweze kuishi tena kesho ijayo, ndio maana ukienda kwa wakristo watakuambia uganga ni mmbaya, waislamu watakuambia pia ukristo ni mmbaya, sawasawa na uganga pia haupatani na hizo imani mbili pia!.

Binafsi sina hakika kama uganga, ukristo na uislamu unaweza kutatua shida zetu!, zaidi zaidi yakuigawa jamii tu!, ulimwengu wakiroho nafikiri ni wakufikirika tu.. kama imani hizo zingekuwa zinatatua mambo kama tunavyoaminishwa basi kuna vingi sana visingekuwa kama tunavyoviona,kuvielewa na kuenenda.
Huwa napenda sna kusoma mchango wako, kuhusu haya mambo upo vzuri mno.
 
Kanisan sio sahihi, Kwa mganga ni sahihi kulingana na madhumuni yaliyokupeleka. Pia kws mganga inaweza isiwe sahihi kama unaenda kufanya shirki na sio tiba
 
Kwenda kwa mganga ni sahihi, kwemda kwa mchawi ndiyo hairuhusiwi. Kiswahili hata daktari anaitwa mganga.

Mimi ni Muislam na najivunia Uislam wangu.
Mganga , sangoma, mchawi ni wale wale!
Kwamba kuna waislamu safi tena wacha Mungu, hilo halina ubishi.
Tunaishi nao mitaani.
 
Kanisani haifai kwa mganga inategemea unaenda kufanya kipi hasa
 
Back
Top Bottom